NA MGAYA KINGOBA

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO AMEMTEUA NDUGU MUHIDIN ISSA MICHUZI KUWA MKUU MPYA WA WILAYA MPYA YA TEGETA ILIYOPO WILAYA YA ILALA, DAR ES SALAAM.


TAARIFA TOKA IKULU IMESEMA UTEUZI HUO, AMBAO UNAANZA MARA MOJA, UNAKUJA SIKU MOJA TU BAADA YA SERIKALI KURIDHIA OMBI LA WAKAZI WA TEGETA KUIFANYA SEHEMU HIYO KUBWA KUWA WILAYA KAMILI, NA KUFANYA DAR ES SALAAM KUWA NA WILAYA NNE - ZIKIWEMO ILALA, TEMEKE NA KINONDONI.


KABLA YA UTEUZI HUO, NDUGU MICHUZI ALIKUWA NI MPIGA PICHA MWANDAMIZI WA MAGAZETI YA SERIKALI YA DAILY NEWS NA HABARI LEO, KAZI AMBAYO IMEBIDI AIAGE ILI KUSHIKA WADHIFA WAKE HUO MPYA.


"HAKIKA NIMEHEMEWA KWANI KAZI YA UKUU WA WILAYA SI NDOGO UKIZINGATIA KWAMBA NDIYO SHINA LA SERIKALI KUU" NDUGU MICHUZI ALISEMA BAADA YA KUHOJIWA NA GAZETI HILI LEO JIONI.


HII SI MARA YA KWANZA KWA RAIS KIKWETE KUTEUA WANAHABARI KUSHIKA NYADHIFA KAMA HIYO, WENGINE WAKIWA NI MH. BETTY MKWASA AMBAYE NI MKUU WA WILAYA YA KOROGWE, NA MH, HALIMA KIHEMBA, MKUU WA WILAYA YA KILOSA. WOTE HAWA NI WANAHABARI


AKIONGELEA HATMA YA BLOGU YAKE, MH. MICHUZI AMESEMA KWA LUGHA YAKE ANAYOPENDA KUITUMIA KWAMBA ATAENDELEZA LIBENEKE KAMA KAWAIDA HATA KAMA ANGECHAGULIWA KUWA RAIS.


"HII BLOGU NI YA JAMII HIVYO SINTOELEWEKA ENDAPO KAMA NITAAMUA KUIACHA ATI KWA SABABU YA KUPATA WADHIFA SERIKALINI.
"SIONI NI JINSI GANI NITASHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YANGU KAMA MKUU WA WILAYA MPYA YA TEGETA NA WAKATI HUO HUO KUHUDUMIA JAMII KUPITIA BLOGU YAO HII," ALISEMA MH. MICHUZI.
UAMUZI WA KUIFANYA TEGETA KUWA WILAYA KAMILI UMEFIKIWA BAADA YA KUONEKANA KWAMBA ENEO HILO LILILOPO KASKAZINI MWA JIJI LA DAR ES SALAAM LIMEKUA KWA KASI NA KUWA NA WAKAZI WENGI KIASI YA KWAMBA KUENDELEA KUWA CHINI YA WILAYA INGINE KUNGELETA MATATIZO KWA WAKAZI WAKE.
MH. MICHUZI ANATARAJIWA KUAPISHWA LEO ASUBUHI NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, MH ABBAS KANDORO, KATIKA SHEREHE ZILIZOPANGWA KUFANYIKA KWENYE OFISI ZA MKUU HUYO WA MKOA, ILALA BOMANI.
SOURCE: GAZETI LA HABARI LEO








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 213 mpaka sasa

  1. Nimecheka sana!

    Idumu blog ya hii,

    maana leo hii sina hata mtu wa kumuuliza habari gani, lakini blog imenifanya walau nicheke japo peke yangu.

    ReplyDelete
  2. sio siri ulinikamata mwee jamani leo cjui nilikuwaje huwa nakuwaga smart kichizi!!!leo nimekamatwa jamani ofisini, wife,jamani..
    it was fools day,, ooh yes im among of them,sure..wht suprises u?
    hey wajinga wezangu jitokezeni tu.
    Sam- Atwn

    ReplyDelete
  3. MIMI NAULIZA KITU kisha chini kabisa ona athari za April fools Day nimetumiwa na mtu asbuhi hii: ILIFAA HII IWE HATA NI MADA KWAKO MICHUZI:
    Hivi tukiamua tupanges SIKU ya WIZI, SIKU YA UZINZI, ZIKU YA KUUANA, SIKU KUTAMANI WAKE/WAUME ZA WENZETU JE ITAKALIWA KIMYA PIA? MAANA HII APRILI MOSI IMETEULIWA SIKU YA WAJINGA NA KILICHOPO HAPO NI TAFSIRI YA SIKU YA KUSEMA UWONGO, TENA TUMEITENGEA MUDA, ADI SANNE ASUBUHI. (NAJUA HISTORIA YA HII SIKU NA WENZETU NJE HUFANYA PRACTICAL JOKES/PRANK) ILA SIJUI KAMA MAANA IPO KATIKA HILI, MIMI SI MDINI/MSIASA AU MFUNGAMANA NA PANDE (NIPO NYUTOOOO) ILA TUANGALIE, SIAMINI KWA WALE WENYE DINI ZAO WANAONA NI VIP HAPO AU MNIELEWESHE. Pia LEO ASUBUHI Radio One wamekomalia Abdala Mwaipaya Amehama Kazi na Anahitaji Vijana kwa Usaili wakaaze nae huko kazi mpya fikiria Simu zilizopigwa, email zitazotumwa na usumbufu, acha mbali gharama mtu anazoingia kwa kuwa ni kituo kilichominiwa na watu (KUONESHA UJASIRI NAITUMA PIA EMAIL RADIO ONE KWA CHANEL DAREKTA) akisema ni jokes tu basi nitamwacha. Hivi ningeenda na Anti-Security Camera zangu leo nikahack sehemu ya mfumo wao wa kompyuta leo asbuhi kisha baada ya masaa niwambie ni Aprili sijui nini. Ebu Jiulize, leo Yahoo, Google, MSN wangesema ni Aprili fools wabadili password zetu adi sanne mngesemaje? Sijui bwana ila mi sijaona Point...

    Ebu Ona Athari za April Fools Day


    Defense Attorney: Will you please state your age?

    Little Old Lady: I am 86 years old.

    Defense Attorney: Will you tell us, in your own words, what happened the night of April 1st?

    Little Old Lady: There I was, sitting there in my swing on my front porch on a warm spring evening, when a young man comes creeping up on the porch and sat down beside me.

    Defense Attorney: Did you know him?

    Little Old Lady: No, but he sure was friendly.

    Defense Attorney: What happened after he sat down?

    Little Old Lady: He started to rub my thigh.

    Defense Attorney: Did you stop him?

    Little Old Lady: No, I didn't stop him.

    Defense Attorney: Why not?

    Little Old Lady: It felt good. Nobody had done that since my Albert died some 30 years ago.

    Defense Attorney: What happened next?

    Little Old Lady: He began to rub my breasts.

    Defense Attorney: Did you stop him then?

    Little Old Lady: No, I did not stop him.

    Defense Attorney: Why not?

    Little Old Lady: His rubbing made me feel all alive and excited. I haven't felt that good in years!

    Defense Attorney: What happened next?

    Little Old Lady: Well, by then, I was feeling so "spicy" that I just laid down and told him "Take me, young man. Take me now!"

    Defense Attorney: Did he take you?

    Little Old Lady: Hell, no! He just yelled, "April Fool!" And that's when I shot him, the little bastard.
    mie simo

    ReplyDelete
  4. Unajipalia makaa kaka!!! Huko hata si pakutania... utakuwa mkuu wa ubaya na si wilaya.. heko kwa siku hii ya upumbavu.. (dRU)

    ReplyDelete
  5. MICHUZI HII IKO TOO OBVIOUS. UNGEANDIKA AMEMTEUA NDUGU DITOPILE MZUZURI KUWA MKUU WA WILAYA YOYOTE INAYOEXIST UNGEWASHIKA WENGI ZAIDI

    ReplyDelete
  6. Kaka michuzi kwa wajinga wa leo mimi simo...hahaa..hahaa...hahaaa

    ReplyDelete
  7. Michuzi leo naona utamfunika Cynthia Masasi.

    Mpaka sasa ni post ya Cynthia ya mwaka 2006 iliyokuwa inaongoza kwa kupata comments nyingi zaidi.

    Alipata comments 238
    http://issamichuzi.blogspot.com/2006/09/masasi.html#comments

    Na mpaka nandika hii post yako ya Mkuu wa Wilaya imehapata comments 203 (comment yangu itakuwa ya 204)

    Michuzi umekuwa Celebrity kupita Cynthia na Marhemu Amina Chifupa.

    Well done!!

    ReplyDelete
  8. Bro Michu, no matter ni siku ya wajinga lakini naona umepigwa konoz na mwanaume mwenzio? Au huko Tegeta ndiyo nani hii wanaishi huko. Maana yake nikufahamuvyo huwa unapenda konoz za kina dada sasa mkuu wa wilaya kama wewe tena na wanaume wenzio? Inshaalah siku yenyewe imekwisha na ukafue fulana.

    ReplyDelete
  9. Lol...april fools day Michuzi usitake kutuchanganya akili bwana..we vipi!!

    ReplyDelete
  10. waoooo nothing more that brilliant work, keep it man..Hatimae!

    ReplyDelete
  11. HAPPY FOOLS DAY.

    Mara kumi ungesema wilaya ya kawe.... tee tee tee tee

    Mdau
    UK

    ReplyDelete
  12. huhuhuhu kaka mithupu umewapata wengi kweli jamani doh...Lkn hata kama ingekua kweli ingekua pouwa sana.

    ReplyDelete
  13. Hahahah... Yeah Right... I didnt buy it either...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...