wazazi wa mtoto salome aliyechinjwa kikatili wikiendi ilopita wakimzika mtoto wao leo tabata segerea. mola ailaze pema roho ya merehemu - amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. now what is going on Back home!!! ppl are loosing their minds? gosh!this is stupid, why one will do that??

    ReplyDelete
  2. Pole sana mama, ni uchungu sana kupoteza mtoto wako, tena kikatili kama ilivyotokea kwa precious baby Salome Yohana. Tunatumaini serikali itafuatilia, na wahusika kuchukuliwa sheria. RIP Salome.

    ReplyDelete
  3. The person who did is very sick up there - a psycho. What a loss to that young life through that loser?!
    Her soul is surely resting in peace.
    JK.

    ReplyDelete
  4. pole mama salome,kupoteza mtoto ni zigumu na uchungu, pole sana, R.I.P

    ReplyDelete
  5. Mungu ailaze roho ya mtoto Salome mahali pema peponi, Amin.

    ReplyDelete
  6. mungu ibariki roho yake na ilaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  7. Masikini Mtoto salome, mungu ailaze roho yake mahala pema Peponi amina. Wazazi poleni sana tunawaombea kwa Mungu awape faraja yake katika hiki kipindi kigumu ...

    ReplyDelete
  8. NASIKIA ETI MTOTO SALOME HAKUWEZA KUSOMEWA MISA NA KANISA KWA SABABU KTK UHAI WAKE HAKUWAHI KUBATIZWA KWA HIYO MISA IKASOMWA NA SHANGAZI YAKE, JE WADAU HII IMEKAA SAWA KWELI?

    ReplyDelete
  9. Hivi huyu malaika wa mungu amewakosea nini hayo mashetani?.Salome ni mtoto mdogo asiye na hatia lakini haya majitu hayaelewi utu na ubinadamu ni kitu gani.Sasa nimeelewa ni kwanini watu wanawauwa majitu kama haya.Kama ushahidi wa kutosha upo kama hili lijitu basi ni bora tulipige mawe mpaka life kwani ni bora kuuwa lishetani limoja na kuokoa roho za mamia ya watu.

    ReplyDelete
  10. Sina uhakika mazishi ya Little Salome yalikuwaje. Lakini unalosema linawezekana maana haya makanisa yetu yameendekeza sheria walizotunga wanadamu zaidi kuliko maandiko matakatifu yanavyotaka. Na hii ndyo inafanya wengi wanayaona makanisa kama institution za biashara zaidi kuliko za kiroho

    ReplyDelete
  11. WAUKAE ndugu yangu, mtoto asomewe misa au asisomewe misa, MUNGU AMEMPOKEA.

    Unajua dunia hii kuna tofauti ya dini na Mungu,taratibu hizi watu wameweka wenyewe na ni kinyume na biblia.

    sasa mtoto mdogo ana tatizo gani?? ana dhambi gani??

    ReplyDelete
  12. kiimani kanisa katoliki kama hujabatizwa linaamini unakua na dhambi ya asili ambayo adamu na eva walituachia, ukishabatizwa( kiimani inaaminika imeondolewa)

    sijui madhehebu mengine sheria zao, ila kama ibada ya mazishi ilifanyika mungu hakatai maombi ya mtu yoyote, mungu yupo ili kutusamehe

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2008

    sasa nyie mlitaka asomewe misa na kanisa gani? labda pia tungewalaumu na mashee hamwenda kumombea? makanisa saccos kama siyo mawanachama no mkopo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...