Hello Mr michuzi,

Asante sana kwa blogu yako sisi "wabeba maboxi" lol tunapenda kuitembelea blogu yako to remind us of what we are missing any ways jokes aside I ran across this notice from the immigration website of australia and decided it might be of use to some of our UDSM graduates in tanzania.
I am not sure whether this is new info but UDSM is one of five universities in africa that can take advantage of a visa program to Australia to either work or get further education/training for 18 months I posted the link to the site below.

Mdau wa Huntsville,
Al,
US.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Thanks kwa mtandao na wasamaria wema...enzi hizo hizi post zilikua zikija bongo zinaishia wizarani huko huko kwa watoto wa vingunge na ndugu zao...Bora sasa hivi ni kwa mtandao tu. Mara hii mpaka zifike wizarani heheheh zimeshaisha post..

    Mliomaliza mlimani na major hiyo msiachie hii chance hata kama umri unagonga .....changamkeni...

    ReplyDelete
  2. Hii inaitwa maisha KOMBOLELA! BUTUA UWAOKOE WENZIO! vijana wa Mlimani Engineering changamkieni tenda! wenzenu wa nchi zingine hawalazi damu!

    ReplyDelete
  3. Kwa ushauri wangu nashauri watanzania waombe kwa sababu zifuatazo:

    1.Wa-test vyeti vyao kama vinauzika nje ya nchi au mwisho wa soko la hizo digrii ni kariakoo.

    2.Waongeze sifa ya CV zao.Ukifanya kazi nje CV yako pia inakakamaa na kupanda hadhi.

    3.Wajenge uwezo wao (Capacity Building) Katika fani ya Engineering

    4.Australia ni moja ya nchi zenye upungufu wa Engineers wengine waweza ishia kupata ajira za kudumu kule kupata ajira moja kwa moja.

    5.Tanzania tumo kwenye utandawazi ni vizuri vijana wawe exposed naamini wakifanya kazi kama Australia wakirudi nchini watakuwa wachapa kazi hasa sababu kule blabla hakuna kazi ni kazi.

    koloboi@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...