jfk akiwa na vijana jazz enzi hizo za miaka ya 80
jfk leo hii akiwa na njenje akiimba 'jojina'. huyu ndiye mdau anayetuletea zile za enzi hizo. pamoja na vijana jazz pia alikuwa na tancut almasi 'fimbo lugoda' ya iringa na hadi leo anaendeleza libeneke. pia alikuwa jaji wa bongo star search na pia ni mwenyekiti wa kamati ya hakimiliki. hivi karibuni anatarajia kuanzisha globu ya mambo ya muziki wa bongo. kaeni mkao wa kula...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Namuaminia jamaa!Ni mkali.

    ReplyDelete
  2. Umeondoka Georgina, umeniachia masikitiko...

    Georgina, Georgina ohhh.....

    Georgina mama ohh!

    What a great music, they had Elvis, we had our own Marijani Rajabu.

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  3. J.Kitine ni mwanamuziki wa zamani, anaeheshimika!
    Lakini sasa naona anataka kujiharibia! Kitendo cha kuwa katika bench la majaji na watu wasio na busara wala hekima, kina kupunguzia hadhi yako, zaidi ni pale wanapopanga matokeo ya nani awe mshindi! Mzee kitine kama kuna mwaka BSS imefanya ufisadi, wewe ukiwa ni miongoni mwa majaji basi ni mwaka huu!
    Kulikuwa na kila dalili ya majaji kuwabeba watu wao kwa faida zao binafsi, wengine kwa tamaa za ngono, na baada ya kukosa walichopata wakaamuwa kuwanywea bombe siku ya final ili wawanange!Nimashindano yaloanza vizuri, lakini yakamalizika vibaya, kwa mshindi kupangwa na majaji na si kwa kura za wadau au kipaji cha mshindi!
    Mzee Kitine wewe ukiwa kama mwanamuziki mkongwe, mwenye taaluma (sio m'babaishaji),usikubali kunaswa kwenye mitego ya kitoto ya akina Seven, bado wanasumbuliwa na utoto, ndo maana hata wanathubutu kuacha kanuni za taaluma zao na kufuata ushabiki wao binafsi! Mzee Kitine next time kama BSS itaendeshwa kwa mtindo kama huu, bora usiwepo kwenye bench la majaji ilikulinda hadhi yako.

    ReplyDelete
  4. Poa sana mkongwe wetu hiyo blogi lazima tuiviziti saaaaana tuuuuu

    ReplyDelete
  5. hongera myuzishani,

    hivi hatimiliki bongo imefikia wapi? Pirates wamekwisha siku hizi?

    ReplyDelete
  6. J.Kitine ni mwanamuziki wa zamani, anaeheshimika!
    Lakini sasa naona anataka kujiharibia! Kitendo cha kuwa katika bench la majaji na watu wasio na busara wala hekima, kina kupunguzia hadhi yako, zaidi ni pale wanapopanga matokeo ya nani awe mshindi! Mzee kitine kama kuna mwaka BSS imefanya ufisadi, wewe ukiwa ni miongoni mwa majaji basi ni mwaka huu!
    Kulikuwa na kila dalili ya majaji kuwabeba watu wao kwa faida zao binafsi, wengine kwa tamaa za ngono, na baada ya kukosa walichopata wakaamuwa kuwanywea bombe siku ya final ili wawanange!Nimashindano yaloanza vizuri, lakini yakamalizika vibaya, kwa mshindi kupangwa na majaji na si kwa kura za wadau au kipaji cha mshindi!
    Mzee Kitine wewe ukiwa kama mwanamuziki mkongwe, mwenye taaluma (sio m'babaishaji),usikubali kunaswa kwenye mitego ya kitoto ya akina Seven, bado wanasumbuliwa na utoto, ndo maana hata wanathubutu kuacha kanuni za taaluma zao na kufuata ushabiki wao binafsi! Mzee Kitine next time kama BSS itaendeshwa kwa mtindo kama huu, bora usiwepo kwenye bench la majaji ilikulinda hadhi yako.

    Hii comment ya annon wa April 27, 2008 2:50 PM nimeifagiia sana kwa kweli, Huyu jamaa anajishushia sifa bure kukaa na wale wahuni kina J na salama.

    ReplyDelete
  7. Na nyie Njenje hamna mpya kila mwaka nikija Bongo kwenye show zenu Manyimbo yale yale mnashindwa kutunga nyingine na hata hizo copy ni zile zile tu , hebu tengenezeni copy nyingine .. sio kila sio , masafa marefu , geogrina , ewe mola wangu , .. Kitime nadhani utafikisha ujumbe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...