mdau wa butiama madaraka nyerere (juu kulia) akiwa katika picha ya kumbukumbu na wadau wengine kwenye kaburi la muasisi wa rhodesia ambayo baadaye ikaja kuitwa zimbabwe. habari kamili za cecil rhodes bofya hapa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

 1. Ni kujidhalilisha kumtambua Cecil Rhodes kama mwasisi wa Rhodesia - unless sielewi vizuri maana ya mwasisi. Kuipa nchi jina lake haimfanyi mwasisi. Kama unabisha muulize rafiki yangu Robati ambaye sijui kama ameshaishinda huo uchaguzi.

  Mwisho hongera Muhidini kwa uteuzi. Naamini utaepa epa...

  ReplyDelete
 2. hivi nyie wazalendo kweli mnamfahamu huyo mshenzi ndani ya hilo kaburi au? ni sawa na wa-jew aende kupiga picha kwenye kaburi la hitler. huyu rhodes ndio aliye-fund british colonialism in afrika. it was rhodes who originated the racist "land grabs" to which zimbabwe's current miseries can ultimately be traced. it was rhodes who in 1887 told the House of Assembly in Cape Town that "the native is to be treated as a child and denied the franchise. we must adopt a system of despotism in our relations with the barbarians of South Africa". In less oratorical moments, he put it even more bluntly: "I prefer land to niggers". na hao niggers aliwasema ni kama nyie hapo juu.

  ReplyDelete
 3. Bwana Michuzi, hasante kwa picha nzuri. hata hivyo inatisha ukiona kizazi kipya hakijui hata heshima ya kaburi. Watu husimama ukingoni mwa kaburi na siyo juu ya kaburi hata kama ni ya CR

  ReplyDelete
 4. Ukienda kwenye kaburi la Adolf Hitler (kama lingekuwepo), haina maana kuwa unamuenzi.

  Unaweza kuwa unataka kuona tu wapi alipozikwa huyo mtu ambaye inasemekana aliongoza maovu makubwa dhidi ya binaadamu wenzake.

  Haina maana kuwa kila anayekwenda pale anamuunga mkono.

  ReplyDelete
 5. Watu tunaruhusiwa kuwa na mitazamo tofauti. Lakini kama ukiwa unajua historia ya Afrika Kusini, Zimbabwe na Zambia, nadhani watu kama hawa na Ian Smith hawafai kupewa heshima yoyote ile kwenye historia na maisha yetu.

  Ni kweli hatuna budi kujua na kuelewa yaliyotokea miaka iliyopita, lakini, binafsi nitaungana na mchangiaji hapo juu.

  Kuchukua picha la kaburi sio tatizo; posing in front of it, it's a shame. Kama nilvyosema, tunaruhusuwa kuwa na mitazamo tofauti, lakini kama hao waliochukua hizo picha 'kama kuonesha heshima fulani, au association and pride' is just bulls**t! Mataifa makubwa yanajua 'dhambi' ya ukoloni na biashara ya utumwa. Lakini sisi mhh...

  Tufungue macho wanawane.

  Rhodes said of the British, "I contend that we are the finest race in the world and that the more of the world we inhabit the better it is for the human race."

  ReplyDelete
 6. You just need to know your ABC man. I mean world history. Kuna ule ushamba wa kibongo wa kudandia mambo bila ya kuyajua. Just ask the natives of any particualar place and they will let you know in brief of their history before you embark yourself in anything than making it look offensive to them. I wont be suprised ukamkuta mbongo ana tshirt ya NAZI, KKK au confiderate flag jacket na akadhani hiyo ni fashion. There is a real need to start world history in our schools carriculum otherwise tukajiabisha huko mbeleni.
  Do your homework because before sharing your views. Somethings are too offensive to your race and may make you look like one of the following:
  1. House nigga
  This is a black slave man who thought he was batter off than his fellow black man because he worked in the house
  2.Uncle Tom:
  This is a black man who thinks he is white or any other superior race because of his education or the position his family hold in the society.
  3. Just plain dumb

  ReplyDelete
 7. Its like watoto wa Martin Luther king kuenzi kaburi la CR au so lilotokea UK la prince of Wales kuvaa chapa ya NAZI mkononi.
  Historia muhimu kuliko kujiabisha jamani.

  ReplyDelete
 8. MCHANGIAJI HAPO JUU,PRINCE OF WALES SIE ALIE VAA SWASTIKA, NYINYI NDIO INABIDI KUFANYA RESEARCH KABLA KUANDIKA UTUMBO.

  ReplyDelete
 9. It's Rhosed who left misery to black Zimbabweans. There are lots to talk about black history in Zimbabwe than this man (Rhodes).

  ReplyDelete
 10. Please next time when you go to Zimbabwe can you post us some photos about black history in Zimbabwe like The Great Zimbabwe ruins.
  Early uropean historians and travellers praised the Great Zimbabwe. They wrote that "it's the largest ruins in the southern Africa. It consists of 12 clusters of buildings, spread over 3 square miles. It's outer walls were made from 100,000 of granite bricks. in the fourteeth century, the city housed 18,000 people, comparable in size to that of London of the same town". Also a portugese contemporary, Antonio Bocarro states that Emperor Monomotapa had a social welfare system which is now practised in western governments.
  It's so wonderful to hear that Africans introduced welfare system.

  UK

  ReplyDelete
 11. Huyo shamba hapo juu kwa kukuhabarisha ingia GOOGLE utapata habari zote. Ingiza tuu prince of wales with swastika. Thats it usiwe maimuna na kuuliza si ujinga

  ReplyDelete
 12. Kwa ufupi Prince Harry ndiye aliyevaa swastika kwenye party na alikodi toka dukani. Vijana wengi tu hapa Uingereza wamekuwa wakivaa swastika kwenye party as a fancy dress wanavyoita wao waingereza. Na haijawahi leta shida wala mzozo. Ila alipovaa Prince Harry basi ikawa shida. Paparazi wa hapa Uingereza wako obbessed with the royal family. Paparazi wengi wana cash millions of pounds. Hivyo kila anachofanya hata kiwe kidogo mapaparazi wanakuza na kuwa zogo. Ni sawa na hapo Tanzania, leo mama Kikwete akivaa ki-mini au nguo inayombana iwe kwenye party au kutembelea rafiki basi intakuwa zogo nchi nzima, mtu wa kawaida akivaa hakuna shida.

  ReplyDelete
 13. Wazimbabwe ndiyo watakuwa wanafahamu ubaya wa Cecil Rhodes zaidi kuliko watu wengine. Kama ni kweli, kwanini hawajaliondoa kaburi lake na kumrudisha alikotoka?

  Nafikiri ni kwa sababu ya umuhimu wa historia. Historia ni historia, iwe mbaya au nzuri. Iwe tunaipenda au hatuipendi.

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...