Home
Unlabelled
kinadada na libeneke la video
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kweli...inapendeza!
ReplyDeleteNi kazi laini, haihitali nguvu nyingi kuifanya kwa hiyo akina dada wanaikimbilia.
kazi inapendeza, lakini mimi nitashukuru sana iwapo watu watathamini sherehe/shughuli za wenzao, wavae nguo za heshima.
ReplyDeleteJeans kwa kweli mimi sipendi kama vazi la heshima.
Kuna suruale za aina mbalimbali nzuri tu si lazima Jeans jamani,
Mbona ma MC wanapendeza?
Kuna tabia mbaya sana Tanzania ya wapiga picha na madj kukurupuka bila kujali usmart wa mavazi yao.
Naomba wajirekebishe
Hivi mlidhani wadada wa bongo wajinga au maana sielewi,midume bwana kazi kututia ununda tu.Tushawapikia kuleni mkalale.
ReplyDeletenaomba kuuliza je huyu ni HALIMA MCHUKA? Jamani wamefanana. kama ni yeye poa sana, niliona mwaka juzi rais wetu JK alimtembelea Muhimbili alikuwa anaumwa alipata stroke. Mungu ni Mwema amepona.
ReplyDeleteMIJITU MINGINE MIJINGA BWANA, ETI INAULUZIA HAIKUJUA WAKINADADA NAO WANAFANYA KAZI HIZI KATIKA MAHARUSI. POLE SANA ULIDHANI NI WANAUME TU WENYE UBAVU WA KUFANYA KAZI HII. KWA TAARIFA YAKO WANAWAKE WAMEENDELEA SANA NA ASILIMIA KUBWA WANA AKILI NA MAARIFA YA KUPATA PESA NA KUZITUNZA KULIKO WANAUME. JE UMESHAMWONA DADA LULU MWANJESA???? NI HODARI WA KILA FANI, HATA U-MASTER CEREMONY KWENYE MAHARUSI NA SHEREHE KUBWA. NYIE MLIE TU.
ReplyDeleteIlala Hoyeeeeeee!