Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. KIPANYA UMEISHIWA.

    HIYO BARABARA NZURI NAMNA HIYO UMEIONA WAPI? MAANAKE INAELEKEA NI YA LAMI LAKINI HAIJAWEKWA MABOMBA YA KUPITISHA MAJI.


    SI LAZIMA UWE UNATOA KILA SIKU KAMA HUNA CHA MAANA. AU USANII UMEISHA NA UNATAKA SASA KUWA MHARIRI MTOA MAONI?

    ReplyDelete
  2. big up mzee wa breakfast kwa kufikisha ujumbe kwa njia hii nina uhakika ujumbe unawafikia walengwa we liendeleze libeneke ipo siku mambo yatakuwa poa na kitaeleweka

    ReplyDelete
  3. Panya mtoa maoni wa kwanza, mtoto wa Fisadi nini wewe?
    Hapo usilolielewa ni nini? Ujumbe murua kabisa huo!

    Ohh..kila raia ana haki ya kutoa mawazo yake. I respect your haki.

    ReplyDelete
  4. wewe mtoa maoni wa kwanza we panya kweli nini uko kama katuni katuni vile sasa hapo ndo umecomment nini? Big up Masoud baelezee baelewe

    ReplyDelete
  5. Mimi nadhani sasa ni wakati mzuri kwa wanahabari kuitembea tanzania ili kuangalia miundombinu yetu hasa ukizingatia kipindi hiki cha mvua ndicho huonyesha ukweli wa mambo na siyo wakati wa kiangazi ambapo barabara nyingi zinapitika. Hiyo itatusaidia kujua hali halisi na kuweza kuyachambaua maneno ya viongozi wetu wanayoyatoa na pia itatusaidia kufanya maamuzi sahihi katika chaguzi zijazo. Ninapendekeza wanahari kufanya hivyo kwa sababu wao ni jicho la jamii na wana uwezo mkubwa wa kuifanya hiyo kazi. Pia najua kwa kipindi hiki wanahabari wengi wanaandika habari zilizo sahihi ukilinganisha na wakati wa uchaguzi.Nadhani wote mmnajua ktk kipindi cha uchaguzi pesa mbele na mengine yatafuatia baadaye na hii ndiyo sababu kubwa ya kuwa na mafisadi ktk uongozi kwa muda mrefu, kwani wakati wa uchaguzi mafisadi wanasafishwa na wanahabari.

    ReplyDelete
  6. jamani msameheni mtoa maoni wa mwanzo kwake yeye, mabomba anayoyasema siyo sehemu ya MIUNDO MBINU!!!! kama kuna maoni ya ajabu ambayo nilishapata kuyaona basi hili oni la kwanza, lazima niliweke katika rekodi zangu, na nitapigania jamaa aingie kwenye rekodi za guiness.

    Kipanya amemuacha mbali sana kiupeo, siyo mtoto wa fisadi jamani, ni aina ya maisha aliyonayo, kisha jiona ana uwezo wa kucomment na kupata mshahara wake wa laki moja na nusu, basi ameshafanikiwa kimaisha hafikirii watu wengine.

    UMECHEMSHA KAKA, NAOGOPA COMMENT YANGU ISIKOSE JUA AMASIVYO UNGEKOMA KWA LUGHA NZURI WANAZOITA MATUSI KWA MTU KAMA WEWE

    ReplyDelete
  7. HAKO KA VIJISENTI VYANGU VINAWATOA ROHO NA KUTAKAGA KUNICHUNGUZAGA JE NINGEKUWAGA NA MABILIONI SI INGEKUWAGA BALAA. NGOJA NIKAPUMZIKEGE HUKO KUNYUMBA.

    ReplyDelete
  8. ASA KIPANYA WANGEREKEBISHA MIUNDO MBINU ACCOUNT ZA NJE YA NCHI WANGEFUNGUA SAA NGAPI WAKAJISAVEI VIJISENT? SI AFADHARI HIYO KIBASI KINAPITA KWA SHIDA LAKINI KINAFIKA KUNA SEHEMU NYINGINE HATA GARI HALIFIKIRIWI KUFIKA HUKO NI BY FOOT DAIMA MILELE HADI MWISHO WA UFISADI.

    ReplyDelete
  9. HAYA MAMBO YA KUMLAANI BABA WA TAIFA MNOKO SABABU ALIPINGA MAFISADI PAMOJA NA SOKOINE.manaonaje wadau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...