Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. bila shaka hii itakuwa kwenye sherehe,ila chapati zenyewe zinaonekana zimepoa zimekuwa kavu ukila kipande kimoja hutamani kingine maana meno yatauma.

    ReplyDelete
  2. machapansiiiiiii!

    ReplyDelete
  3. Mbona vichapati vyewenyewe vyembamba kama kaukau?
    Hata hamu ya chapati imeniisha.

    ReplyDelete
  4. Hizi chapati zinaonekana kua ngumu sana. Pia mtengenezaji kaziunguza.

    Inanikumbusha chapati za Mama Frank pale UCLAS (kwa sasa Ardhi university).

    Mdau,
    Jeremani

    ReplyDelete
  5. HEHEHE MICHUZI KAKA YANGU NILIMISS CHAI YA ASUBUHI JANA BAADA YA KUONA HIZI CHAPATI ILIBIDI NITOKE NIKATAFUTE CHAI NA NACHAPA HUWEZI AMINI ILA HABARI NDIO HIYO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...