Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wauguzi wanafunzi wakati alipotembelea hospiali ya Mvumi wilayani Chamwino na kuzungumza na waganga na wauguzi na kutoa msaada kwa wagonjwa. Shoto ni askofu wa Dayosisi ya Kati (DCT), Godfrey Mhogola.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. CCM LONDON WAZIMA PINDA ANAWASUBIRI MPIGE KAZI. MKIJINYOOSHA ATAWAPINDA VIZURI.
    academia TUMAINI GEOFREY TEM MOSHI

    ReplyDelete
  2. msirudie tena kumuita mama pinda huyo ni mke wa pinda

    ReplyDelete
  3. Inapendeza kumuona Mke wa Kiongozi wetu wa nchi akiwa kwenye harakati za kuwasaidia Watanzania katika kuboresha maisha yao. Huu ni mfano wa kuigwa. Hatuna budi kumpa kila aina ya ushirikiano kwa mambo yote anayoyafanya. Tuzidi kusonga mbele, kurudi nyuma kwetu ni mwiko. Endeleza mapambano Mama.

    Mungu ibariki Afrika,
    Mungu ibariki Tanzania,
    Mungu wabariki Mzee Pinda na Mama Pinda.

    ReplyDelete
  4. Nauliza , designer wa first lady hawezi kusaidia kidogo hapa?

    ReplyDelete
  5. watu wa itifaki jamani ebu mtengenezeni 2nd lady kwakweli looh! KUWA Mke wa waziri mkuu si jambo dogo hivi vitenge vya efu tatu mia tano na mashono ya efu saba nywele........ hapana. Nasema kwa nia njema huyu mama plz tunaomba tujioneee tofauti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...