Hamadi Billali wa Dar es salaam akipokea zawadi ya shilingi milioni tano alizojishindia kwenye wiki ya pili ya shindano la ‘Kili Time of Your Life’ kutoka kwa Meneja wa Mauzo wa TBL Kanda ya Dar es salaam, Consolata Adam mwishoni mwa wiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo Hamadi si ni muislamu? Waislamu siku hizi huwa wanakunywa bia za Kilimanjaro?

    ReplyDelete
  2. Sasa si wangetafuta Ka-handbag tu watueke huto tujisenti!!! Li-briefcase likuubwa, limepwayaaa.

    ReplyDelete
  3. HUYO CONSOLATA NDIE DADA YETU KUTOKA KARAGWE UMENENEPA HASWA

    ReplyDelete
  4. Yaani siku hizi mambo yanazidi kuwa tight huku kwetu bongo,kilicho baki watu wanatumia nguvu na akili zao kufikiri tu "Bahati nasibu"..badala ya kukomaa na vitu vya uhakika.

    bora nitulie zangu huku Longido nifuge ng'ombe.

    tutafika tu

    ReplyDelete
  5. WATU WENGINE BWANA HUWA HAWAKOSI LA KUSEMA OHH MARA TUJISENT,OHHH MARA HAMADI ANAKUNYWA BIA,NINI KUONGEA UJINGA MTUPU!!KAMA HUNA COMMENT KWANI LAZIMA UANDIKE?MDAU MWENYE HASIRA

    ReplyDelete
  6. yaani hiyo ni million tano. Hela yetu inazidi kushuka tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...