CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987)

Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na pendekezo hilo pia.

Naomba hata wale waliokua vidato vya chini (kidato cha 1 mpaka cha 3) watume majina yao kupitia:
betapromotions@gmail.com ili wapate taarifa zingine muhimu.
Tuendelee kuwajulisha pia wasiopitia mtandao mara kwa mara. Tunaendelea kupata majina na mapendekezo ya wale wanaotarajia kushiriki.

Ahsanteni sana!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mdau sijakuelewa unachozungumza hapo? Class re-union Moshi Tech(1987) ndo nini?.Mimi nimesoma hapo 2000.Please nyosha maelezo yako....
    "Shule yetu ufundi mungu ibariki,wabariki walimu pia wanafunzi bila kusahau mwalimu Mpande katika kutuamsha mchakamchaka........"
    aaaahhhhhhhhh
    ansanteniiiiii.

    ReplyDelete
  2. Please Michuzi naomba tuwekee picha Moshi Tech mzee.Siku nyingi sana babu.Nipo USA

    ReplyDelete
  3. Nadhani Michuzi kaombwa tu kutoa tangazo. Labda ukituma maswali kwenye hiyo email address ndiyo utapewa majibu yanayoeleweka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...