THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

mrembo wa a-taun ashinda face of tanzania

emmy melau toka a-taun mshindi wa shindano la face of tanzania lililofanyika usiku huu hoteli ya moevenpick, dar, akifurahia baada ya kutwa taji
shindi wa pili yvonne ramomi toka zenj (kulia) na mshindi wa tatu edna makanzo wa dar (shoto)
balozi wa palestina nchini na tatiana wakiwa na emmy (tatu kulia), edna makanzo (shoto) yvonne ramomi (pili kulia) na balozi wa redds victoria martin (kulia) baada ya fainali usiku huu


Kuna Maoni 9 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  balozi wa redds kuna nguo zinampendeza na nyingine mhhhh

  na huyo ya kushoto kabisa hiyo shingo ndio nini?

 2. Anonymous Anasema:

  Hongereni sana,but dada mwenye Red was too serious!!!
  Mdau.

 3. Anonymous Anasema:

  Mr. Ebo (Mi masai bwana..mi masai) umeipata hiyo. Maasai (Melau) kaingia wenye ulimbwende. Sijuwi kama ataendelea kudumisha mila huko anakoelekea!

 4. Anonymous Anasema:

  Mhu!!!!!!! Sasa huyo balozi... Si semi sana, waosha vinywa nisaidieni.
  Mulox

 5. Anonymous Anasema:

  balozi wa pakistani anajichagulia tuu,eheee.totozi za kibongo

 6. Anonymous Anasema:

  balozi wa palestina vipi?mbona mkono upo pabaya

 7. Anonymous Anasema:

  One word-Anorexia

 8. Anonymous Anasema:

  Emmy nimefurai Hongeraa!!! nilijua utashinda kwani wewe ni mzuri na tangu uko kambini nilikufuatilia sana nikaona hakuna zaid iyako,mliobaki msichukie endelezeni yale mliopewa kambini MAJAJI MMEJUA KUCHAGUA!!CONGRATULATIONS!!!!

 9. Anonymous Anasema:

  Sura ya huyo balozi inanitisha kwani,hao watoto wawe makini nae mengi sitaki sema ila sura yake inasema kila kitu. Ipo siku mtaelewa nisemayo.