emmy melau toka a-taun mshindi wa shindano la face of tanzania lililofanyika usiku huu hoteli ya moevenpick, dar, akifurahia baada ya kutwa taji
shindi wa pili yvonne ramomi toka zenj (kulia) na mshindi wa tatu edna makanzo wa dar (shoto)
balozi wa palestina nchini na tatiana wakiwa na emmy (tatu kulia), edna makanzo (shoto) yvonne ramomi (pili kulia) na balozi wa redds victoria martin (kulia) baada ya fainali usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. balozi wa redds kuna nguo zinampendeza na nyingine mhhhh

    na huyo ya kushoto kabisa hiyo shingo ndio nini?

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana,but dada mwenye Red was too serious!!!
    Mdau.

    ReplyDelete
  3. Mr. Ebo (Mi masai bwana..mi masai) umeipata hiyo. Maasai (Melau) kaingia wenye ulimbwende. Sijuwi kama ataendelea kudumisha mila huko anakoelekea!

    ReplyDelete
  4. Mhu!!!!!!! Sasa huyo balozi... Si semi sana, waosha vinywa nisaidieni.
    Mulox

    ReplyDelete
  5. balozi wa pakistani anajichagulia tuu,eheee.totozi za kibongo

    ReplyDelete
  6. balozi wa palestina vipi?mbona mkono upo pabaya

    ReplyDelete
  7. One word-Anorexia

    ReplyDelete
  8. Emmy nimefurai Hongeraa!!! nilijua utashinda kwani wewe ni mzuri na tangu uko kambini nilikufuatilia sana nikaona hakuna zaid iyako,mliobaki msichukie endelezeni yale mliopewa kambini MAJAJI MMEJUA KUCHAGUA!!CONGRATULATIONS!!!!

    ReplyDelete
  9. Sura ya huyo balozi inanitisha kwani,hao watoto wawe makini nae mengi sitaki sema ila sura yake inasema kila kitu. Ipo siku mtaelewa nisemayo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...