mdau ughaibuni anaomba msaada kwenye tuta. anaomba kujua jina halisi ya ala hii ya muziki. yeye anafanya biashara ya vitu vya kitamaduni toka bongo, na anatumia tovuti yake kutangaza. nayo ni http://www.simplytanzanian.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. hii kitu inaitwa MARIMBA kwa kiswahili, kwa kiingereza inaitwa xylophone....kwisha mjadala.
    i'm out. EMERGENCYPOISON.

    ReplyDelete
  2. marimbazzzzzzzzzz!

    ReplyDelete
  3. marimba.

    ReplyDelete
  4. Zeze ndio jina halisi na watumizi wazuri wa ala hiyo ni wagogo

    ReplyDelete
  5. Hii ni aina mojawapo ya marimba ambayo inachezwa kwa vidole. Kuna marimba nyingine inayopigwa kwa fimbo fupi kama zinazotumika kupiga ngoma.

    ReplyDelete
  6. MARIMBA- Originate from Dodoma......mkuu wake ni Mzee Zawose....huyo ndo KING wa kupiga marimba.

    ReplyDelete
  7. Du hii inaitwa MARIMBAZZZ, niliicheza zamani lakini yaumiza vidoleeeee!

    ReplyDelete
  8. Ask Kamongo Singer Mr. Ebo

    it should be marimba

    ReplyDelete
  9. Michuzi hujasomea Marketing wewe, hahah haha sikulaumu, hiyo ni njia ya kufikisha hiyo web yake ktk hadhira...tunaita 'dirty marketing' mdau usijali nadhani tumeisikia na tutakupa clicks...hits...huwezi nambia na kuuza kote huko hujui tunaitaje...mlipeni michuzi wa watu jamani

    ReplyDelete
  10. Hicho chombo kinaitwa KALIMBA(Thumb piano)na huko Zimbabwe na nchi za kusini kinatwa MBIRA:
    Malimba(xylophone) inatengenezwa kwa Mbao au Metal bars(vipande vya chuma) na wala haipigwi kwa kutumia vidole katika nchi nyingi za africa Malimba huwekewa vibuyu kwa chini ili kuleta sound nzuri.

    ReplyDelete
  11. hiki kinaitwa kilimba.Mzee mmoja anaitwa Kaditenda huko Vikumburu ndo prodyuza.'Kilimba sio Marimba'

    Mdau wa Mayfair

    ReplyDelete
  12. kwa kigogo tunaita marimba ila sijui kama kwa kiswahili inaitwa hivyo pia.
    chigwiye misi a.k.a malecela

    ReplyDelete
  13. anony umenikumbusha hilo jina zawose,maana yake (za wote) kwa kigogo hii ni marimba inatumiwa na wagogo ktk mambo ya burudani

    ReplyDelete
  14. This instrument ina majina mengi depending on the geographical location and lugha ya wananchi. Kiswahili yaitwa marimba and there are variations of this including kirimba kama alivyosema mdau hapo juu, na wengine huweka marimba juu ya kibuyu kinachoitwa zeze kuiongeza sauti.Makabila mengi watumia instrument hiyo mimi nafahamu kuwa mabingwa sana ni wagogo pia waha na pengine wanyamwezi. Tulipokuwa wadogo alikuwa mtu mmoja akijiita Kitamtamu alikuwa akitutumbuiza sana na marimba yake tabora sokoni.From central africa the instrument mbira moved to south africa with the migrant mine workers, siku hizi hata mzungu mmoja kawa fundi sana wa mbira Chris Berry.Strictly marimba is not a xylophone its a lamellophone

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...