Wachezaji wa Man u jana wliafanya bonge la vagi baada ya kukataa kutoka uwanjani mpira ulipoisha jana. Inaonyesha iliwauma vibaya sana kipigo cha jana mpaka wakashindwa kujibihev. kwa maelezo zaidi bofya hapa http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/
sport/football/article1013041.ece

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Nimesoma na hivi ndivyo inavyosomeka!

    "Patrice Evra, Paul Scholes, John O'Shea, Gerard Pique and Gary Neville were taking part in a warm-down session on the pitch when they were asked to move."

    kama unatatizo la kuelewa lugha za watu nikwamba hao jamaa walikuwa wanafanya mazoezi ya mwisho baada ya mechi then waondoke hakuna kitu ambacho kinaeleza walitia vurugu mbali ya kuelewana tu.

    Unapasha viungo kabla ya mechi then kabla hujalala or kurudi home unafanya mazoezi ya kutuliza mwili.

    well nafungua english school karibu sana,

    G7
    UK

    ReplyDelete
  2. JAMANI WADAU WILLIAM -UK YUKO WAPI LEO KIMYA NADHANI ATAKUWA NDANI YA BLANKET AU AMEVIMBA MACHO MPAKA AWEZI KUONA SCREEN MAANA INGEKUWA WAMEFUNGA BWANA WEEE TUNGEKUWA HATUNYWI MAJINA HAPA ANGEKUWA AMETUMA MACOMMENT YAKE KIBAO .WILLIAM NJOOO UWANJANI TUKUONE LEO UNAJIFANYAGA MBABE WA WA TIMU ZOTE DUNIANI AHAAAAAA

    MDAU BWALA LA MAINI

    ReplyDelete
  3. Ile ya jana ilikua embarrassment kwa manu, hawakuweza kuamaini kuwa wangechezewa kandandanda kama vile.
    Si ajabu kuona wanaanzisha vagi hilo, na kinachowauma zaidi ni sio kufungwa tu bali kuchezewa kama vile timu ya daraja la kumi. Aibu kubwa kwa man u. waendelee kuwaonea akina wigan na derby lakini wakija kwa vijeba wawe na heshima na adabu, nisikilizie watakavyochemsha jumanne.

    ReplyDelete
  4. mdau uliyetuma hii picture umekosea sio walikataa kutoka uwanjani
    ni kwamba baada ya mechi huwa wachezaji walikokuwa wa akiba huwa wanafanya mazoezi kidogo kwa kuwa hakucheza halafu wanarudi chumba cha kuvalia na kuondoka sasa hii imetokea sio kama hawakutaka kutoka uwanjani.

    ReplyDelete
  5. hiyo ndiyo habari ma u kwani ukiona mweenzio ananyolewa wewe tia maji .
    immarati tulivumilia

    ReplyDelete
  6. William wa UK mbona kimya? sijamuona toka ya kule kwenye pic ya baraka wa ujerumani baada kuwapiga mbili man u, jana ndio mwanzo kutoleshwa penalt msimu wote mlikuwamnasema chelsea tunabutuwa mipira jana mbona ilikuwa chini tu hahaahah william wa UK pole kubali basi asiyekubali kushindwa si mshindani sindio maneno yako william wa UK? hahaahahah najuwa hutembelei kwa michuzi mpaka ushinde hahahaha.

    ReplyDelete
  7. Wachongaji sio tu wamefungwa bali hata meno wametolewa. Nemanja Vidic kashonwa nyuzi kadhaa na jina lilitoka. Cheki http://edition.cnn.com/2008/SPORT/football/04/27/england.row/

    ReplyDelete
  8. Patrice Evra, Gary Neville, Park Ji-Sung and Paul Scholes were warming down after Chelsea's 2-1 victory at Stamford Bridge when a row ensued with the ground staff tending to the pitch.
    Sijui chanzo kilikuwa nini.
    source-skysports.com

    ReplyDelete
  9. hawa man u wakipigwaga mibao basi ubabe tu... ngojen j4 mtaona kilichomnyoa kanga manyoa...nyama nyie!!

    ReplyDelete
  10. MASHETANI WEUSI HOPELESS KABISA

    ReplyDelete
  11. manchesta united IS VERY KENGE..WHY MNAPIGANA?

    ReplyDelete
  12. LEO NI RAHA TUPU MJINI MAANA WAZEE WA KUCHONGA AKA WACHOVU MAN U LEO WAMELALA MAPEEMA..RAHA TUPU MWANAWANE

    ReplyDelete
  13. kufungwa ni kitu cha kawaida but hawa jamaa watachukua kikombe thats for sure

    ReplyDelete
  14. wewe G7 Uk, unataka kufungua shule ya english wakati huelewi kilichoandikwa hapo, halafu unataka kuwakosoa watu hebu jifunze tena hicho kiinglish chako.
    hao wachezaji walikataa kutoka uwanjani baada ya kuombwa waondoke. ndio hapo kasheshe lianze baina yao na stewards wa stamford bridge. Kama wewe mshabiki wa man u basi nenda kamkosowe Fargurson sio unakuja hapa na hasira zako ukataka kujifanya kiingereza kinapanda saana.
    Choo walichokipaka sio kidogo soma linki zingine hizo, mpaka ferdinand anaomba msamaha kwa kumpiga teke dada mfanya kazi wa hapo stamford bridge.

    http://uk.eurosport.yahoo.com/27042008/58/premier-league-fa-review-bridge-scuffle.html


    http://www.goal.com/en/Articolo.aspx?ContenutoId=674097

    Halafu baada ya kusoma linki hizi karudie na ile ya kwanza ulioikosoa bwege wee.

    ReplyDelete
  15. HAHAHA anony unanitafuta mbona comment mimi nimeweka angalia vizuri juu hapo,nimeanza kwa kusema ferguson ferguson amewapa kombe chelsea kwa formation & selection kilichobakia ni kuwa kabidhi trophy,tangulini manchester utd wakacheza defensive football unajua nashindwa kuelewa all over a suddent formation imebadilika from 4-4-2 to 4-3-3 ambayo mourinho ndio alikuwa anatumia na ndio ilimpaa makombe ,man utd usemi wetu ni( our best defense is when will play offensive football and the best defense is when we play attachking football) sasa naona ferguson anataka kutugeuza reading tatizo mtak yote hukosa yote. anatakiwa apange timu kutokana na kila mechi sio unamtukana mamba kabla hujavuka mto pumbavuu kabisa.alafu kingine wachezaji wote wa man utd including Ronaldo inabidi watingishwe haswa wajue timu bure ni ile inayoshinda makombe na ku perfome kwenye mechi kubwa kama Roma mwaka jana 7-1 sio kuwafunga newcastle 6-1 alafu mnaenda kufungwa na chelsea sasa advantage iko wapi. fair play to chelsea they were the better team jana and i was suprised wameshinda 2-1 tu ingekuwa zaidi, Ukweli ni kwamba chelsea wakishinda kombe tusithubutu kusema Bahati maana wamoenesha nini maana ya mwanaume halisi hata wasipo shinda tukubali chelsea wame over over archive mwaka. any way manchetser united warudi kucheza 4-4-2 watashinda mechi zote na Barcelona vs Deportive wamefungwa 2-0 japo ni timu B lakini honesstly inabadii wachezaji wao pia wachapwe viboko,

    ila shevshenko amekuwa beki siku hizi hahaha

    umefurahi mdau
    William uk( Man utd for life)

    nimetoka spain nawahi najiaanda kwenda old trafford

    ReplyDelete
  16. Duh kumbe hamtupendi hivyooo eeeeh!.. anayerusha ngumi hapa nani> tazama picha...

    ReplyDelete
  17. G7
    UK again narudia hiyo link na maelezo yangu hakuna tofauti ambayo unaweza kusema nimekosea. Narudia hao jamaa walikuwa wanafanya mazoezi ya kumalizia( warm-down) ambacho ni kitu cha kawaida na kiustaarabu timu mwenyeji huwa hawamind kitu kama hicho. na nimesema kwamba ni kitu cha kuelewana tu sio issue ya kusema wamefungwa na ndio maana wameshindwa kutoka hakuna sehemu inasema hivyo na subiri utasikia nani atapewa adhabu baada ya kufuatilia FA na Chelsea.

    Kumbuka hapa sio mchangani ni sehemu za kimataifa tafadhali.

    kama ni choo or what siwezi kujibu kwani tunatofautiana malezi. wengine wamezaliwa kutokana na steem ya pombe na ufisadi so!

    kama unasuala la kuelewa zaidi usiwasumbue watu wamaana ndani ya hii blog just write me: mmkamba@yahoo.com

    ReplyDelete
  18. william uk nipigie hapa 07788660933 nina ticket za tarehe tatu na west ham gas uk hapa nijibu mapema baada ya kesho. hazitakuwepo kama usiponipata acha ujumbe juu ntakuwa napiga box. michu ni important weka hii.

    ReplyDelete
  19. wewe utukane watu kwenye hii blog, halafu wewe utukanwe kwenye email yako, hebu tueleze na wewe ulizaliwa kwenye steem zipi?, za bange au?, Mshamba kweli wewe, hilo jina tu unastukiwa eti G7 uk.

    ReplyDelete
  20. Kweli michuzi blog yako ina maana sana keep it

    William uk( united for life)

    ReplyDelete
  21. Hehehe eti G7 halafu anaacha na email sasa tofauti na wale dada zetu ipo wapi??


    Au akiweka mwanaume email sio Biashara matangazo???

    ReplyDelete
  22. kawaida wale mareserve hufanya mazoezi baada ya mechi sasa hawa groundsmen wa Chelsea wakaleta ubabe.Kama ulikua unafuatilia premiership zamani kila mechi ya kwanza ya msimu washabiki wa timu zingine walikua wakiimba STAND UP IF U HATE MAN U

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...