waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Mrekani nchini, Mark Green , ofisini kwake jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. "PINDA AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI" Kwa sisi watu wa lugha, senetensi hii ina onesha michuzi una "inferiority complex" kwa wamarekani.

    Haikutakiwa sentensi iandikwe hivyo, ilitakiwa iwe hivi " BALOZI WA MAREKANI AKUTANA NA PINDA".
    Kwa sababu zifuatazo; kwanza cheo cha waziri mkuu ni kikubwa kuliko cha balozi, hata kama ni waziri mkuu wa kisiwa kidogo kama mafia au pemba na balozi ni wa taifa kubwa kama marekani!
    Haijalishi ubora au udhaifu wa nchi husika.

    Pili, balozi wamerakani ndio kamfuata waziri mkuu ofisini kwake (yeye ndo alikuwa na haja), ndo maana hata wewe ukienda kwa "bosi" wako (unahaja zako) husemi "bosi" kakutana na mimi (no) utasema nimekutana na "bosi" au naenda kukutana na "bosi",kwa hiyo kama unataka kumfanya mmoja wao subject basi ni balozi ndio kakutana na waziri mkuu! Sababu alie na haja siku zote ndio huwa "subject",

    Hata rais akiwa na haja ya kukutana na wananchi, huandikwa rais akutana na wananchi, lakini pindi wananchi wanapokuwa na shida ya kukutana na rais (wakiandamana) huandikwa wanachi wakutana na rais!

    Lakini kuepusha kujichanganya ni bora ungeandika "Pinda na balozi wa marekani wakutana" Hakuna subject hapo, ingawa bado utakuwa umemmnyima haki yake waziri mkuu sababu, kafuatwa ofsini kwake! Hawakukutana kwa bahati mbaya kwenye vikao, au mgahawani!

    Ngoja ni sgn off nisijeitwa Bakar Abeid

    ReplyDelete
  2. BABLII:

    Naona umetoa lecture ya Journalism 101...Bahati mbaya bro. Michuzi alikacha vipindi ndiyo maana unanona uandishi NOT RICHEBO, ndiyo maana akakimbilia kupiga picha na uandishi akawaachia wakina Mkapa, ndiyo maana wanaiba bila nidhamu, kwa kuwa fani ya uongozi siyo yao bali ni kushika karamu na karatasi na kuteketeza wino...

    Ni hayo tu...

    MSUMBUFU....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2008

    mbona leo hakuna brekiing nuuuuuuuuuuuuuuz umepigwa bao nyama we.

    ReplyDelete
  4. wadau msikariri jifunzeni free stiyles (mitindo huria ya sentesi)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...