LEO WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA WAMETOKA DROO YA 0-0 NESHNO KWENYE MMOJA WA MICHEZO SITA YA KUHITIMISHA LIGI KUU MWAKA HUU AMBAPO YANGA IMETWAA UBINGWA NA PRISONS YA MBEYA IMETWAA NAFASI YA PILI. WATOTO WA MJINI ASHANTI NA COASTAL UNION WAMESHUKA DARAJA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera wana Jangwani kwa kutwaa ubingwa 2008, pia hongera kwa kukataa uteja kwa mtani wenu wa jadi. Poleni wajomba zangu coastal union kwa kushuka daraja.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana wana jangwani kwa kutoa droo na wana msimbazi manake hiyo ni hatua kubwa sana tumepiga kuliko hata
    ubingwa tuliotwaa teh teh teh !!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...