NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWATOA HOFU WADAU NILIOWATUMIA LINK INAYOELEZA UWEZEKANO WA MDAU KUWA NA JINA LAKE KAMA HIVYO HAPO JUU KWENYE UKURASA WAKE WA WAVUTI.
HAYA NI MANJOMBWENJOMBWE KAMA YA GOOGLE AMBAO KATIKA KUENDELEZA LIBENEKE LAO WAMEAMUA KUFANYA HIVYO. KWA HIYO MDAU ULIYEPATA MWALIKO WANGU WALA USIKONDE. NI VIJIMAMBO VYA PIMPYMAIL TU NA SIO VIRUSI. KUNRADHI KWA YEYOTE NILIYEMKWAZA
MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi sahihisha heading yako............pimpmysearch is not a google affiliate site! its just a novelty site but not related to google!

    ReplyDelete
  2. Michuzi,I'm not sure by doing what you are doing, you are helping people!

    I posted a msg previously about Tzuk.net having 'signs of virus' but for 'fear of the unknown' you didn't post it.

    Put that msg here so that people could challenge me or tzuk.net.

    What are you going to feel if people are infected by virus?

    ReplyDelete
  3. Dont get involved
    Sofisticated screening software warns that if not now, later this package has potential for transmission of trojan malware
    Audhubillahi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2008

    NASAPOTI MAONI YA MDAU alosema aliposti maoni juu ya TZUK.NET na Michuzi ukabania HUKUYATOA.
    MICHUZI....TUNAKUPENDA SANA TENA SANAAAA UMETULETEA MAENDELEO NA NI JONALIST WA KUHESHIMIKA BONGO. Kwanini unabania maoni mengine hutoi, mie binafsi nimeshuhudia hili jambo.
    NOMA SANA, NAOMBA UWE WA KIMATAIFA KAMA UNAVYOSIFIWA NA UTUTENDEE HAKI. Hasa pale tunapotoa maoni ya kuchangia UKWELI ambao PENGINEPO WADAU WENGINE HAWAJUI NA WANAPATA KUFUNGUA MACHO, NDIO MAANA YA BLOG. Samahani kwa kukuingilia kazi yako lakini ukweli tuambiane. Endapo kuna MAONI YA KASHIFA NA MATUSI hapo una haki kabisa ya kuyaficha na kutoyatowa. LAKINI WAFUASI WAKO WANAOTEMBELEA BLOG YAKO NA KUTOA MAONI AMBAYO SI =MATUSI= WATENDEE HAKI NA UYATOWE.
    Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...