timu ya mkoa maalumu wa kisoka ya ilala leo imeshinda mkoa wa kinondoni kwa mabao 5-0 katika fainali za safari lager taifa cup neshno na mpir umeisha dakika mbili zilizopita.
ilala, inayofundishwa na kocha machachari jamhuri kihwelo 'julio', itapewa kombe na kitita cha shilingi milioni 30 zilizotolewa na wadhamini ambao ni kampuni ya bia ama tbl.
mshindi wa tatu ni mbeya ambao wameifunga arusha 4-3 katika mchezo uliochezwa awali katika mtanange huu wa wiki tatu uliojumuisha timu kutoka mikoa yote 23 ya bara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2008

    Bwana Muhidin.Weka hii labda TFF waweza kuisoma.Tanzania is divided into 26-27? regions (mkoa)including Visiwani
    TUNAHITAJI MZIZIMA UNITED KAMA ZAMANI,MAMBO YA TEMEKE ILALA SIJUI KINONDONI IS NOT FAIR KWA MIKOA MINGINE,MIKOA AMBAYO MNGEIGAWA NI ILE MIKUBWA KAMA TABORA,SHY N.K LAKINI BADO ITAPOTEZA MAANA YA NENO MKOA.MKUU WA MKOA WA KINONDONI NI NANI?WILAYA ZAKE NI ZIPI?ILALA,TEMEKE?MKUU WA MKOA WA DAR NI MH.ABAS KANDORO.TFF INAFUATA KANDA(Zones) ZA KIPOLISI!!KITU AMBACHO MNGEKIWAZA NA KUKIFANYA ILIKUWA NI KURUHUSU MIKOA YA TZ VISIWANI KUJIUNGA NA MASHINDANO HAYA KULIKO KUPANGUA DARESALAAM.KWANZA INGESAIDIA KUONGEZA NGUVU YA MSHIKAMANO NA MSISIMKO.TFF SIL VOUS PLAIT.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...