jk akiangalia nguo za kitamaduni katika banda la maonyesho la afrika sana siku alipofungua mkutano wa kimataifa wa utalii na safari wa africa travel association (ata) a-taun jana. mkurugenzi wa afrika sana mwafrika merinyo yuko pembeni akifurahia ugeni huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2008

    Waswahili bwana! Ulipaswa kumtolea na kumuonyesha kwa nafasi. Sasa kikwete kwaeka mkono mfukoni, nawe mfanyabiashara unaweka mikono mfukoni badala ya ku-invest hiyo opportunity.
    Marketing kaaazi kweeeeli kweeeeli

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2008

    Wadau naomba nisaidiwe maana nashindwa kuelewa kitu kimoja...Hivi mavazi tunayoyaita ya kitamaduni ndiyo hayo tunasema tena wakati mwingine ni vazi la taifa? na kama ndio kwa vipi....

    Mimi
    Sipendi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...