Haya tena wadau wa Munich na Vitongoji vyake mnakaribishwa katika Sherehe ya Ufunguzi wa Club yetu mpya iitwayo Hakuna Matata


Ufunguzi utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 31.05.08 kuanzia saa 12 jioni.


Klabu hii sasa imehamia katika makao yake mapya

Bayer strasse

103 München.


Mdau Malumbo

Munich

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    Hi,naona vijana wa Kitanzania huko majuu sasa mmecharuka.Sasa Kumekucha! I like that.Keep on keeping on.Ndiyo tunataka vile.Kazi kwenu wabongo wa huko majuu.Mkitaka Waitresses kutoka huku nyumbani tangazeni tu muwatumie nauli watakuja mradi msiwaingize mjini tu.Mkitaka Bendi za Hapa nyumbani zije tumeni ujumbe tu zitakuja.Mnaweza kuishi Majuu kama vile bado mko huku nyumbani.Wish you Good Luck!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...