nala mkono nusu na wadau wa ngorongoro na chini ni mdau ambaye kahama mjini na sasa anaendeleza libeneke ngorongoro crater lodge. kabla ya hapo alikuwa sopa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2008

    Michuzi uko Lodware gate,ngorongoro embu bisha?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2008

    Huyu ni Freddy aliyekuwa Tanzania Tourist Corporation (TTC) na baadaye Tanzania Tourist Board? Hongera sana. Naomba tuwasiliane switbert@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2008

    SORRY BROTHER MICHUZI NA WADAU WENGINE. MIMI SIJAELEWA MAANA YA HILO NENO SOPA?
    MDAU.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2008

    mzee wa blog nkuona uko na uncle wangu Fredy Tenga mzee wa utalii mbugani hukoooo.safiii sana mpe hi....

    mdau

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2008

    Freddy Tenga? I presume. Big Up buddy

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2008

    Ohh chezea wake za hao hao .kwa makabila ya huku kwetu arusha moshi tunawaita vimarando(yaani ni kama n'gombe au mbuzi asiye na mchungaji au mmmliki/koko).huku kwetu watakupiga mapanga

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2008

    Hiyo picha ya juu, unaonaje ungesimama na wanaume wenzako......au unatangaza biashara!!!


    NAHIYO PICHA YA CHINI, HIVI HAPO CHINI NI TOPE AU UDONGO WA KASULU UMEMWAGWA HAPO?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2008

    bwana mithupu nasikia huyo jamaa zao wa nyuma wana wivu sana na wanawake zao angalia wasije wakakusimika simu. we still needs our blog

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2008

    Dah haya makoti utadahni mko Ukerewe.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2008

    hahahhaah,dah,Misupu huyu mzee mi nampata sana huyu,anaitwa Mzee F.tenga huyu.Tulikua nae pale dar na mimi ni wanawe wa karibu tu,nashkuru sana kumuona ni mzima wa afya,maana ni kipindi kirefu hatujaonana,ila msalilimie sana.
    Mdau
    Baajun
    Seoul-south korea.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2008

    Hiyo picha ya kinamama wa Kimasai inanikumbusha enzi za bodingi skuu tuko kwenye treni ya kuelekea bara. Ndani ya behewa letu mwanamke mmoja akapata uchungu kujifungua. Bahati kukawa na kinamama watatu hivi wa Kimasai wakaenda kumsaidia. Basi kila aliyekuwa anageuka kuangalia upande ule Masai wawili wanatandika bakora. Mwisho wakawa wanatembeza bakora kama wazimu behewa zima hadi sote tukakimbilia behewa la jirani. Na unaweza kufikiria mabahewa ya TRC ya early 80s yalivyokuwa yanajaa. Mimi bakora haikunipata kwa sababu sikutazama lakini rafiki yangu mmoja (maarufu DSM - jina kapuni) zilimpata kisawasawa kwa sababu ni katika waliojifanya kuwa macho hayana pazia na kinamama wa Kimasai wakaamua kula naye sahani moja. Alifika shuleni na nundu kibao kichwani.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2008

    Dah! Huyo jamaa siyo Fred Tenga huyo au maarufu kama Baba Dick!.Nadahni ndiye kaka mkubwa wa ze Tengas wa bongo Dar s Salaam kina Dr Ringo, Cuthbet, Kim na wengineo. Hao kina Tenga enzi zetu za Tanga walikuwa wana dada mzuri kuliko waschana wote wa Tanga. Sijui yuko wapi kimwana yule. Michuzi kama huyo ndiye Fred mwenyewe hebu niulizie yule dada yake bomba yuko wapi naye?. Au wote ndiyo wamekimbilia huko porini?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 24, 2008

    Misupu ze konoz mbona kwa jam, unaliogopa jibaba la kinasai karibu yako siyo!! hahahahahaha

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 24, 2008

    SOPA????????????!???????????

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 24, 2008

    Vazi la taifa vazi la taifa si hao wamasai hapo wamevaa vazi la taifa, nini tena mnataka.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 24, 2008

    hahahahah,Misupu hapo utakua umechanganya mambo bwana,unaposema sopa?.maana mimi najua alikua pale TAHI -Tanzania Hotel Investment.mtaa wa samora jengo la IPS gorofa ya 4 na alikua ni Chief controlar.SOPA??????Whats this man?mdau, Baajun-Seoul,South korea.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 24, 2008

    anonymous wa 4:06 unaongea pumba au chekecha..aliekwambia vazi la taifa ni la kimasai nani??sie wengine wanyaturu,umasai wapi na wapi

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 25, 2008

    Huyu ni Tenga..watoto wake wapo Washington, DC an New York.Muda mrefu sijamwona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...