Welcome to "Miss Tanzania Europe 2008"


The mission of the Miss Tanzania Europe Pageant is to promote Tanzania and its people in the rest of the World: Tourism, culture, the beauty of this East African Nation.


We aim to further raise awareness on issues pertinent to Tanzaniaa and most of all empower the Tanzania Queen to educate and enlighten communities as a goodwill ambassador for Tanzania.


The winner of Miss Tanzania Europe 2008, chosen on June 28th in Essen, Germany, and first runner up will represent Tanzania Europe* at the Miss Tanzania pageant to be held in Dar es Salaam in August 2008.


If you want to apply, please go on the Application-Page


If you wish to apply for running in the Miss Tanzania Europe Pageant, you must be at least 18 years of age, of Tanzanian origin and residing in any State of the European Union wich is a Member of the so called "Schengen-Agreement".



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    mbona havutii??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2008

    Huyu demu vip bona kajikakamaza sana. Wala sio mzuri. Mmechemsha kumuweka kama kitangazio

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    Good Work organisers,I like that! If only this kind of stuff had started long ago,we would have covered miles already! Anyway keep it up guyz.Make TZ a great african nation! Looking forward to your bashing performance.Wakina Dada haya ngoma hiyo jitokezeni.Tutabakia wasindikizaji dunia hii hadi lini?I'll be watching closely on progress.Cheers!Yrs in Tanzania.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2008

    Jamani ..People ...!try to be appreciative,nyie mlitaka apake ma- make up ndo muone uzuri wake ?She's cute !!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2008

    mmmmh miss who and who? Kwa kweli kaaeni chini muangalie video za miss US na sehemu nyingine. Haya mambo ya Miss tanzania Uk,Canada,Sweden n weteva hazivutii sababu mademu ndo kma vile. Can Do Better

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2008

    Eh!eh Waswahili acheni !tabia zenu za kuponda kusiko na maana,hili shindano ni muhimu sana na mojawapo ya njia za kuhudumisha utamaduni mambo leo,
    Tabia zenu za uswahilini Uswahili acheni,amjatangaziwa kuwa huyu binti anatafuta mchumba!?
    Akichaguliwa Bint wa Kidosi mnaanza
    kulalamika!?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2008

    jamani eeh msitoke kwenye mada.....hebu kajiandikisheni mshiriki tuwaone na nyie kama mwavutia kushinda huyo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2008

    anon wa 6:20 umeongea kama pumba vile,correct me if am wrong

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2008

    Miss Mvungi mwenyewe dont mind them machizi watu wengine hilo nitangazo tu limewekwa ,Anon 9:07 umenifuahisha ulivyomshushua huyo anon wa 6:20 umemshushua kiutamu tamu na ushamba wake.angetoa ushauri kwa namna nyingine sio hivyo

    Janeth UK

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 27, 2008

    Huyu dada ni mzuri sana. Yaani hapo hajapaka make up wala nini.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 27, 2008

    jamni naomba msaada kwa hili. je hata mie wa UK naruhusiwa kuingia shindano hili au? naomba nisaidiwe kuuliza si ujinga.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 27, 2008

    miss mvungi havutii

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 27, 2008

    Hongera sana Nashe!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 27, 2008

    anon wa 1:04 kuna shindano la miss bongo uk jaribu kwenda www.bongouk.com labda utapata information zaidi

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 27, 2008

    Hongera mwana wa Mvungi! Songa Mbele dada!! Kifungulo wanasema "Tunalenga JUU!! Lenga JUU Mamma aachana na wanga.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 27, 2008

    Avutie amekuwa embe ili mlile. Hamna mwelekio nyie

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 28, 2008

    dats mbony mvungi sio nashe jamani....gal u rock!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 28, 2008

    ivi nyie watu mna matatizo gani,mnataka mtu asifiwe hata kama sio mzuri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...