leo nimeshushuka. nimekwenda nick pub sehemu za njiro na kukuta kiota hicho maarufu kwa kilaji na nyama chima na samaki kimefungwa. kuuliza nikaambiwa kiliteketea kwa moto hivi karibuni. nusu nilie. yaani ukiwa a-taun bila kutembelea hapo unakuwa hujatembelea wadau na machalii kabisa. pole sana kaka nick kwa mkasa huo, Mola akujaalie katika kukifufua upya kiota
Home
Unlabelled
nick pub yaungua
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
aisee porleni sana marchalii, ramaa, barakaa, richardii..na of coz nickiii.!!
ReplyDeletePole sana Nick na Diana Marealle mungu atawasaidia
ReplyDeleteex Arusha Residence
ooooooh thats so sad.pole sana nicky.nakuombea mambo yatanyooka upya.
ReplyDeletePOLE SANA CHALII WANGU.ISIJE IKAWA NI MKONO WA MTU,TUTACHINJA
ReplyDeleteACHA USHIRIKINA WE non 4:21 may 25
ReplyDeleteMCHAWI TU WEWE
Sombyo kwa hiyo umemtoa Niki barabarani?Kweli hujfa hujaumbika
ReplyDeletehahah anon wa 12:37
ReplyDelete