habari zilizoingia sasa hivi ni kwamba kilimanjaro band 'wana njenje' (pichani) watatua a-taun jumapili ijayo tayari kutumbuiza wakati wa mkutano wa siku nne wa sullivan jijini hapo.
kiongozi wa njenje waziri ally ameiambia globu hii usiku huu kwamba watatua a-taun jumapili na kufanya onesho lao la kwanza siku ya ufunguzi wa mkuatno huo juni 2, 2008 na pia wakati wa ufungaji june 6, 2008.
na mambo yakienda mswano huenda wakatia timu matongee pub & nightclub wikiendi itayofuata. waziri kasema usiku huu kwamna wakazi wa a-taun wakae mkao wa kuduarika na vibao vya vipya kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2008

    Chei chei babu Njenje, mi niko na swali 1 tu, kwa bau Njenje eti hivi babu Njenje mvi huwa zinaanzia utosini kuenea kichwa kizima, au zinaanzia kichwa kizima kuja utosini? naomba jibu tafadhali, kwa ajili ya bendi nzima nzima naomba kuuliza yafuatayo:-
    1. Je mno CD/DVD zozote, sisi tulioko ughaibuni tunaweza kuzipataje?
    2. Je ni kweli mmetoa nyimbo mpya au ni zile zile za siku zote?
    Natumani kwa uungwa wenu mtanijibu tu insh. Kila la khri katika safari yenu ya Arusha, ila sina hakika Arusha na Mduara, wenyewe wa huko wanaweza kuduarika kweli? mdau

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2008

    WEWE MTOA MAONI WA KWANZA SWALI KAMAHILO KWANINI USIMUHULIZE BABAYAKO SIANAZO ZAKUTOSHA? AU BABUYAKO.AU MFATE MKIWA WAWILI ATAKUJIBU NAKUKUFUNDISHAKWA VITENDO ATAULIOKUA UNAYAWAZA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2008

    Michuzi kwa A-Taun bwana.Utarudi tena?Wana A-Taun kaeni chonjo michuzi kila kukicha A-Taun!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2008

    anon wa kwanza,unaongea pumba,sasa unamuuliza mzee njenje mambo ya mvi ili iweje?

    mama yangu anaattend huu mkutano wa sullivan,ni wa wadosi jamani.nitawapa fowanwan baada ya yeye kurudi

    sexy gal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...