Home
Unlabelled
nyama choma a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu ukienda kuji sullivan usiache kupiga picha ya kwa NiKI utuwekee angalau nijione nakula wale samaki. Misamaki ya huku kwenye maboksi sio mitamu kama yenye manjano na mdalasini. SIku nitafika siku nitafika nitakula wali na sombe mah! jamani tunateseka wenzenu! asikuambie mtu
ReplyDeleteHongera kwa kazi yako njema ila nakupa tahadhari, kuna project mbili jamaa fulan wanatoka nazo, najua zitapigwa vita ila naona km zitafanya blog nyingine, haswa hii isitembelewe kabisa. Na ujue kipigwacho vita ndo hufuatwa na wengi. Point mojawapo kwanin wameanzisha hiyo wanadai ni kutokana na 'kubaniwa' posts zao. Mtu anatuma post ya maana inafinywa badala yake unaweka vitu km hivi, kupiga picha sufuria/jiko la nyama na kuweka post yenye kujenga nchi cjui kipi bora.
ReplyDeletemi sikuzote nasisitiza blog bure kuanzisha haina haja kumlaumu michuzi km vp mtu anzisha yako uweke posts zako, ila wakadai "Ukianzisha hospitali ikakua levo ya kitaifa km KCMC unaweza amua leo bethdei yangu sitaki kufungua kwaio hakuna huduma". Jibu ni hapana, huwezi. Japo ni yako, wananchi watakushtaki. Michuzi jamaa wana pwenti. Kwanini usiweke onyo kuwa posts zitaeditiwa kabla ya kupostiwa? Kwanini km unapewa nyingi mno usiwe na michuzi today, michuzi people na michuzi own. Hizo za people unazimwaga humo KUMAanisha si wewe bali wao. Kwan delenyuzi hamkagui makala za wasomaji?
michu!kwa stahili hii sidhani kama hiyo nyama ina iva!
ReplyDeleteKaka michu wadau wafahamu hayo ndo mambo ya A -Tomn ni kung'ata kwa kwenda mbele na kama utakwenda A-Town na usipate nyama choma basi unakuwa ujakamilisha mambo.Habari ndo hiyo.
ReplyDeleteRangi
dah dada mwenye nguo ya orenji alikua na njaa sana naona!
ReplyDeleteMhu hiyo imenikumbusha A taun, nilikuwa nakula nyama choma kama sina akili nzuri na jinsi wanvyouza kwa kilo, na sio vijimishikaki, tujinofu tudogo tumewekwa tutatu kwenye vijiti basi kama wanavyouza DSM, nilkuwa najikuta kwa siku nimekula kuanzia nusu kilo mbaka kilo na nusu ya nyama ya mbuzi au ya ng'ombe. Hatari kweli kweli ukikaa karibu na hilo tanuri la nyama chuma, unakula tu hata hujui umekula kiasi gani mradi umeshiba.
ReplyDeleteMdau unayesema watu wanafungua blogu na hawatakuja huku kuangalia matanuri ya nyama choma, wafungue tu hiyo haina noma wala nini. Wafungue blogu zao zinazoendana na interests zao na hiyo haitatufanya sie wengine kutokuja kuperuzi kwenye blogu ya Michuzi. Nina uhakika na wao pia watakuwa wanakuja kuperuzi na kupost vitu vyao kwenye blogu hii. Kwa hiyo haina haja kumtishia NYAU mtu mzima.
MIMI NIKO NA MDAU ALOTAIPU PARAGRAPH MOJA KWA BOLD.
ReplyDeleteKUWA: TABIA YA MICHUZI KUAMUA KUTO-POST BAADHI YA MAONI NI CHOO. NA MWANDISHI WA KUSIFIKA KAMA YEYE HII SIO KAZI YA KI-PROFESSIONAL.
KAMA BLOG ZA NCHI ZA WENZETU. KUNA FREEDOM OF SPECH TENA HATA LUGHA CHAFU HUWA ZINAPOSTIWA ENDAPO MDAU ANA POINT ILA TU KAMA AMETAIPU LUGHA CHAFU KUPITA KIASI, BASI OWNER WA BLOG ANAZI-EDDIT TU.
SASA SIJUI KWANINI MICHUZI HAREKEBISHI HILI SWALA? NDIO MAANA WADAU WENGINE WAKAZOZA KUWA MAYBE ANAKATIWA POCHI NA BAADHI YA WATU ASITOE MAONI YANAYOWAHUSU.
Michuzi mbona watu wanasifia sana A-Taun kuna nini mji Dar bwana ndio maana ofisi zote muhimu ziko hapo. Kuna beach, Twin tower, International Airport na hata wewe Michuzi makao yako makuu na global yako ni Dar. Acheni zengwe A-Town mara zote. Michuzi usiiminye.
ReplyDeleteMzaramo.
Mdau wa kwanza kabisa siku hizi NIKI imechoka ila hapo nyuma yake kuna The Arusha Carnival ni mbaya mno.Jumapili bonanza ya balaa.Ze mdau habari ya kuteseka Ugaibuni ni wewe watu wengi tu tunakula maisha kama kawa na hizi hizi dili za boxi
ReplyDeletendo maana leo nimefungua to blog kukawa na harufu ya moshi kumbe ni hapo uwanja wa fisi!
ReplyDeleteWe Michuzi wenyewe mnachekeleeea hapo!
ReplyDeleteKumbe hamjui kuwa mnakula MINYOO na TEGU tu hapo.
Nyama haziivishwi vizuri hizo.
Khaa!
Sasa Michuzi unasifia nini hapo, huo moshi na nyama mbichi? Wote hapo mnanuka moshi na mnasmoke. Yaani mnaonekana kama LOST TRIBE nafikiri umenielewa.
ReplyDeleteMdau
= BAD KOLESTRO...UZITO MKUBWA...GAUTS...UGONJWA WA MOYO..
ReplyDeleteSHUKRANI
hao wanaojifanya tegu sijuii miyoo waongo wamekulia kwenye mategu na minyoo shenzi taipu
ReplyDelete