mtaa wa goliondoi leo. sio dar pekee ambako nyundo zinatembea kila kona katika harakati za kubomoa majumba makuukuu na kujenga mapya. a-taun nako ni nyundo mtindo mmoja. ila, kama ilivyo dar, nyundo hizo haziendi sambamba na uboreshaji ama upanuaji wa miundombinu hasa ya maji safi na machafu pamoja na maegesho ya magari ambayo ni ile ile ya miaka ya 47

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2008

    Al maarufu baracuda. kabla ya kupigwa chini kwa visababu fulani fulani ndio kilikuwa kiota chetu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2008

    Na miss Goliondi road jamani wasingebadili huu mji wauache wakihistoria kama wanataka si wajenge mwingine nje/ Huku tuliko kuna miji imeachwa kama ilivyokua miaka ya 60 na inapendeza sana....Wajenge majumba yao kwa kuanzisha mji mpya na kuaccha kamji haka kama kalivyokua

    Na hiyo planning unayosema haitaweza kuwa nzuri kwa vile hizo sehemu za kupark hamna na hizo maji zitakua shida tu....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    jamani goliondoi road mlipiga hii picha jioni nini huku juu jua na chini giza duu mbona kale kavideo hapo pembeni hujakionyesha? acheni majengo yarekebishwe lisije likatokea tetemeko bure yaanguke manake yasiku nyingi sana. mdau uliyetuletea hii chukua tanoooooo,
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2008

    Nyundo haina deal, mapori kibao ya kujenga miundo mbinu mipya maegesho, nk Miji mipya bwana, haya Kalaghabaho !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...