Home
Unlabelled
old trafford ya kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh...hilo ndilo bilicanas la kigomaa!!watu pipoooooooooooooo
ReplyDeletekachiriii kataaaa,kachiriii kata
'the man'
Duh Jamani samahani labda kwa kuwa too observant... lakini New...Old... sijui tuchukue lipi tuache lipi, hii haijakaa vizuri..yahitaji umaniki kidogo
ReplyDeleteanon wa 6:31pm,... nadhani "old trafford" ni jina moja. Hivyo hiyo inaashiria hapo ni New "Old Trafford" , inaonyesha pengine mtaa wa pili kuna "Old Trafford" nyingine...
ReplyDeleteMi nimependa alivyochora kwa usafi kabisa.. inapendeza
Doh!kumbe kwetu kigoma pia kuna Old traford!basi kumbe pameendelea,mimi sikuiacha hiyo,na nimeshindwa hata kuelewa ipo sehem gani.
ReplyDeleteLooh jamani Kigoma siyo chovu kiasi hiyo hapo ni sehemu moja tuu uswahilini(kama Kigogo/Mburahati/Kinondoni shamba/Temeke mikoroshoni/Tandika Azimio vile) kwa wasioijua Kig vizuri na ndo mahala Mchekea kwa sie wenye maisha ya kawaida but kuna viwanja(sehemu za kujirusha) makini tuu pengine mkija viona mtakubali wenyewe hivyo msihofu Kigoma haiko kama watu wengi wanavyo ifikiria washirika!!!
ReplyDelete