pambano kati ya taifa stars na malawi 'the flames' limemalizika sasa hivi na matokeo ni 1-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2008

    Tupo na amani kiasi,lakini uwezo mdogo si utani.Wamalawi hawakustahili sare kwa mchezo wa leo,walikua juu dhidi yetu kwa zaidi ya robo tatu ya mchezo hadi tulipo bahatisha goli shukrani kwa "krosi mkono" ya Fred Mbuna.Bado tunasafari ndefu.
    Ushauri kwa TFF mashindano ya ligi ya Taifa kutafuta timu zitakazocheza ligi kuu,ambayo hushirikisha timu zote za mchangani ndio hasa yangetengeneze timu za mikoa,yaani wachezaji wale bora toka kila kanda ndani ya mkoa waunde timu ya mkoa husika.
    Hapo tunaweza sema vipaji vitaonekana,na makocha wa timu za taifa wanaweza kupata urahisi wa kuchagua wachezaji wa timu hizo.
    Kwa wanaohudhuria mechi za mchangani a.k.a "ndondo" watakubaliana nami kule ndio hasa jikoni na ukitaka kufaidi soka ya Bongo iliyosheheni vipaji nenda tu pale Kinesi Cup Magomeni mwenbe chai,au kwenye makombe ya mbuzi,jezi,ligi za kanda n.k utakubaliana nami kuhusu hazina ya soka Bongo inavyopotea.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2008

    Jamaa hawakung'oa tena kozi za mabomba vyooni na viti?
    Sisi waBongo bwana!
    Taabu kwelikweli!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    picha za televisheni nazo zina mapungufu mpira unaonyeshwa upande mmoja wa uwanja,kivuli kinaleta giza,hili ni tatizo la tv zote za hapa kwetu hakuna wa kumcheka mwanzie hasa tunapoonyeshwa mpira kwenye luninga, wakati mwingine tuombe msaada wa ujuzi GTV si vibaya au vipi waungwana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...