mdau TX (kulia) ambaye ni memba wa kijiwe cha empress kwa fundi mussa akiwa na wafadhili wake wa kampuni ya East Africa Automobile Services wakipozi katika mji wa nanihii-moto huko japan.
hii ndiyo kampuni inayokagua magari yanayokuja ist afrika mashariki na asia.
Mdau Prosper
Kanagawa,Japan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2008

    ah ah kumbe yuko ule mji wa japani! sawa tumekupata!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2008

    braza mithupu huwo mji unaitwa kumamoto.upo jimbo la kanagawa

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2008

    Kwani kuna ya baridi???

    Labda maiti

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2008

    Always vizuri kumuona brother TX

    Regards

    mdogo wako wa Block.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2008

    Bora Tx nae katoka bongo, hii mambo ya kushinda kijiwe cha empress mwisho unawezajikuta unaongea story za uongo bila kujua,
    ukitoka japenga karibu ulaya braza TX

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2008

    haya kaka musa anakusubiri ukampe story za kanagawa na kina kazard na mnyalukosi na mascherano tunakumiss maskani wizard nasikia ukitoka huko japani unaeleke UK kweli?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 26, 2008

    tx are you single?

    miss keys

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2008

    kaka tx usijali maneno ya waosha vinywa, pamoja na kupanda majuu dakika za majeruhi tunategemea ututumie magari! nasikia japan magari unaokota tu barabarani,we kazi yako ni kuship tu,naomba unitumie japo kalimited kamoja ama ka starlet! tunakusubiri wizard

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 27, 2008

    Hatimae msambaa TX kafunga mkanda yupo japon atakayefuatia ni fundi msa Australia.haya sasa TX umeshafika nchi za watu uwache kupiga watu michanga ya macho. wizard wanakusubiri uwatumie japo kibasi kidogo. mdau Paka shume block 41.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...