leo nimepata bahati ya kugongana uso-bin-uso na profesa pius z. yanda ambaye ni mmoja wa wasomi waliokuwa kwenye jopo la utafiti wa athari za mazingira duniani liliopelekea makamu wa rais wa marekani al gore kupokea tuzo ya nobel. profesa yanda, pamoja na kuwa pia mkurugenzi wa taasisi ya institute of resource assessment (www.ira.udsn.tz) ya udsm pia ni mkurugenzi wa afrika wa the pan african start secretariat (http://pass-africa.org)
niko na profesa wa uchumi, yaw nyarko, wa chuo kikuu cha new york university (http://www.nyarko.com/) cha marekani ambaye pia yupo a-taun kumwaga pepa katika mkutano wa kimataifa wa africa travel association juu ya hali ya uchumi katika sekta ya utalii na safari duniani
Aisee,
ReplyDeleteNimefurahi kuwaona wasomi hao hapo juu. Ila nasikitika kwamba Prof. Yanda eti alikuwepo kwenye jopo la wasomi LILILOSABABISHA Al Gore apate Nobel Prize! Well, kwa hiyo yeye alitumia akili zake ili Al Gore apate tuzo. AliTUMIWA. Hii reputation haijakaa vizuri, hasa kwa Professa.
Na marekebisho kidogo tu ya lugha; ukishasema chuo kikuuu cha...sidhani kama kulikuwa na haja ya kuanza na university of... na pia ukishasema taasisi ya....sidhani kama kulikuwa na haja tena ya kuanza na institute of.....
Najua hii utaibania tu.
Asante
MICHU MVI TAYARI SASA ZIMECHOMOVA!BABA AU MORGAN IMEKATAA LEO.
ReplyDeleteHata Maprof uwe unawapiga KONOOOOOOOOZ tu, unawaogopa?
ReplyDeleteProf Yanda kichwa sana tu, basi tu nchi yetu haijui kuwatumia watu kama hawa mpaka akina Al gore waje wawachukue wawatumie au wafe ndo utasikia sifa zao. Big up sana prof. Yanda. Mwanafunzi wako wa MSC. NARAM
ReplyDeleteUzee huo unapiga hodi Michuuz!Vipi Dogooooooooooz tayariiiiiiiiiiz!
ReplyDelete