hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa wizara ya utalii na mazingira waliofanikisha mkutano wa 33 wa africa travel association kwa kazi mbalimbali za sekretarieti ya waandaaji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2008

    Pigeni picha lakini Kaeni pembeni, angalieni msijekanyaga na kuchafua zuria la sivyo vueni viatu!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2008

    Mimi nisingekubali kuvaa sare kama wanafunzi wa primary.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 24, 2008

    MICHUZI MIMI NIMOJAWA WATU WASIO KUBALI KUWA BALLALI KAFARIKI,NIMESOMA KWENYE GAZETI MASHARTI YA KUHUONA MWILI NI MENGI .KAMAKWELI NNADHANI WANAOGOPA TUSIJE TUKAMCHOMOLEA MALEEMU

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2008

    Salamu nyingi toka Bulgaria kwa huyo dada wa mwanzo
    KILI

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2008

    MICHUZI IVI JK KASHATUMA NDEGE SOUTH KUWACHUKUA NDUGU ZETU WALIOJARIBU KUHUKIMBIA UFISADI BONGO.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 24, 2008

    Mbona ni wanawake watupu?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 24, 2008

    wanapendeza sana michuzi.Hongereeni.Wewe unayesema mbona ni wanawake watupu angalia sana,hukusoma photograph kwenye Geography ya Form IV.Kama hukusoma mwombe Muhidin akupige brashi.Mwanaume yupo kabana sehemu fulani kwa taarifa yako.Nadhani ni mmoja.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 24, 2008

    wanaume 2 in the middle

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2008

    wewe ANONYMOUS WA 3 mbona unatoka off topic,sasa balali ndio utalii na maliasili..we vipi wewe...soma kichwa cha habari!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 24, 2008

    Jamani kuweni makini, hata kuangalia nako mpaka mpate semina elekezi ..?! Wanaume wako wawili katika hiyo picha wajihi wao unajieleza wazi !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...