THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

kila mdau alifurahia kiwango cha soka walichoonesha taifa stars dhidi ya cameroun leo
samuel eto'o anavua jezi kuwazawadia vijana waliokuwa wakiokota mipira iliyotoka nje. hapo naona kila mmoja kaondoka na kipande chake maana jezi moja vijana takriban ishirini...


Kuna Maoni 16 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Nimekubali michuzi.. ila naona kuna wachache ambao wenye roho ya korosho walishapanga cha kuandika baada ya mechi.Jamani tumetoka droo na timu ambayo ni no.1 kwenye rank za FIFA hapa Africa, huu ni ushindi kwetu. Taifa stars oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 2. Anonymous Anasema:

  Kuna dogo mmoja(among ball boys) ndio Eto'o mwenyewe alimkabidhi,dogo amepata kumbukumbu nzuri sana hata mie naimeezea mate!

 3. Anonymous Anasema:

  Mdau wa hapo,kama ungekuwapo kushuudia mechi ya leo hakika ungekubaliana mani kwamba tulistahili zaidi ya droo,kama kina Mrwanda wangekua na macho miguuni,Soma habari hii kutoka bbc uone jirani zetu walivyotumia vizuri home advantage

  Shock results grip qualifying
  A series of stunning upsets brought 2010 World and Nations Cup qualifying alive on Saturday.

  A sequence of big names were humbled as we reached the halfway stage of this phase of the process.

  Egypt, Angola, Ghana, Morocco and South Africa were all beaten.

  Cameroon and Ivory Coast were held to draws.

  Egypt were facing a disappointing draw in Malawi until things got even worse for Hassan Shehata's team in Blantyre.

  Chiukepo Msowoya's volley in stoppage time at the end of the game sparked celebrations across Malawi, but gloom in Egypt.

  The reigning African champions now lie third in their group, and face a tough battle to reach the next phase.

  Ghana may be the top-ranked team in Africa at the moment, but that did not count for much when they encountered Gabon in Libreville.

  Michael Essien
  Michael Essien was in the Ghana team beaten by Gabon
  The Nations Cup hosts from earlier this year had a strong side on display, but were not able to continue their good start to the campaign.

  2006 World Cup finallists Angola - who host the 2010 Nations Cup but must still try to qualify for South Africa - went to Kampala and were beaten 3-1 by a triumphant Uganda.

  Angola though do still retain the advantage in their group.

  South Africa face the opposite challenge - they host the 2010 World Cup but must still qualify for the Nations Cup.

  That task was made more difficult when they went down 1-0 to Sierra Leone in Freetown - just reward for some strong performances by the Leone Stars.

  Rwanda are the surprise front-runners in group 8, after a thumping 3-1 win over Morocco.

  Cameroon were furious with their goalless draw in Tanzania and Ivory Coast had to come back from a goal down to secure a draw against Botswana.

 4. Al Musoma Anasema:

  Kama Eto'o kashindwa kufunga basi difensi ya Bongo kiboko. Wale waliotazama mechi ya kombe la dunia kati ya Karuni na Argentina mwaka 1990 watakumbuka jinsi Wakameruni walivyomzuia asiyezuilika - Maradona huku mmoja wao akiwa kapigwa redi kadi...

 5. Anonymous Anasema:

  we anony June 14, 2008 11:50 PM
  acha ushamba kwani etto ndio nani???

 6. Anonymous Anasema:

  kikwete usisahau mafisadi

 7. Anonymous Anasema:

  Anony wa june 15,2008 2:56,Samweli Eto'o anatambulika duniani kwa sifa zifuatazo
  1.African Cup of Nations Top Scorer: 2006, 2008
  2.African Player of the Year: 2003, 2004, 2005
  3.FIFAPro World XI: 2004-2005, 2005-2006
  4.UEFA Champions League Best Forward: 2006
  5.UEFA Team of the Year: 2005, 2006
  6.Spanish La Liga Top Scorer: 2006
  7.FIFA World Player of the Year3rd place: 2005
  TAFUTA MCHEZAJI MWINGINE UNAYEMJUA WEWE TOKA AFRICA ALIYEPITA SIFA ZA KIJANA HUYO
  Binafsi namuheshimu kwa CV yake hiyo,ila jana alinifurahisha zaidi kwa sababu hakudhihirisha CV yake kwetu.
  Watu kama nyie ndio mnaokuwa wachawi uzeeni maana hukubali maendeleo ya mwenzio,

 8. Roving Reporter Anasema:

  Yasijekutokea yaliyotokea huko Honolulu wakati Jezi ya Beckham ilivyozua kizaza, kati ya wazee wa watoto wawili ambao inasemekana, walikuwa marafiki wapenzi.
  Soma zaidi kuhusu tukio hilo kwa kufata linki belo:

  http://www.usatoday.com/news/nation/2008-04-25-2128710380_x.htm

 9. Anonymous Anasema:

  Etoo kiboko hakuamua kuonesha ujuzi wake kwani hakuwa na haja.kwanini avunjwe mguu wakati yeye ni mshambuliaji bora duniani.

  timu yake ina uhakika wa kupita.

  kweli tunashangilia draw?
  maximo aondoke na mbele anatakiwa amuite Boban.asitufanye wajinga.ana kula pesa zetu halafu anawafukuza wachezaji wetu.

 10. Anonymous Anasema:

  HUYU 2:56 AM 15 JUNE NI KATI YA WATU WANAODANDIA MAMBO BILA KUYAJUA, KWA UPUMBAVU WAKE YEYE ANAJIFANANISHA KISIFA NA ETOO, ANGEKUWA NI MTU ANAYEPENDA KUJUA NA KUFAHAMU MAMBO ANGEANZA KUWAULIZA WANAOMFAHAMU ETOO KISHA ANGEANDIKA KUHUSU ETOO LAKINI KWA UJINGA WAKE KAKURUPUKA NA KUANDIKA UPUUZI WAKE.

 11. Anonymous Anasema:

  Watanzania tunachekesha sana!Kutoka Draw na 'Cameroon'basi Taifa Stars imeshapanda hadhi na sasa ni miongoni mwa timu bora sana barani afrika!Very Funny.Waliokuwa makini pale uwanjani watagundua kwamba Cameroon hawakucheza mpira wa kusaka ushindi,mpira wa kujitoa mhanga wakisaka ushindi fulani ambao wasingekubali kuukosa kirahisi!Ukitaka kubali usipotaka hiari yako.Mchezo uliochezwa na Cameroo siku ile ni sawa na Pulizo.Litajaa upepo kwa kadri ya uwezo wako utakavyo weza kulipuliza.Pale utakapo weza kulijaza upepo na likapasuka ndipo utakapo jisifu kwamba una nguvu ya mapafu tosha kabisa kuweza kulipasua Pulizo lile.Siku ile Cameroon walikuwa wanacheza mpira kulingana na kiwango cha Pressure waliyo kuwa wakiipata toka Taifa Stars.Timu yetu ya Taifa Stars ilipozidisha mashambulizi ndivyo Cameroon ilivyozidi kujihami zaidi.Lakini TaifaStars walishindwa kulijaza Pulizo upepo had lipasuke.Cameroon walikuwa wakisubiri wafungwe japo goli moja tu ndipo watanzania wangeshuhudia uhodari na umahiri wa timu ya Cameroon.Walikuwa wakicheza mpira wa kumchosha mpinzani lakini siyo wa kusaka magoli.Kama hilo hamkuligundua pale uwanjani basi nawapa pole.Maana nimeona ushabiki wa wengi ni wa kinafiki umepitiliza uzalendo na wala hautatusaidia.Pale mtu anapo thubutu kumbeza au kumdharau mchezaji kama ETOO eti aa mchezaji gani kiwango chake kimeshuka sana!Kiwango kishuke kwa mechi ya siku moja?Basi watanzania bado tuna matatizo makubwa.Kama hatuwezi hata kulibaini tatizo tulilo nalo tutawezaje kulitafutia ufumbuzi sahihi?Kila mtu anajifanya anajua.Hatambui mapungufu yake na wala haoni umuhimu wa kujifunza toka kwa mwenzake aliyemzidi zaidi maarifa!Timu ya Cameroon imejaa wachezaji wa Kulipwa wa Kimataifa.Kwa hiyo kila wanapocheza wako makini sana mchezaji asije akaumia na kukosa mechi katika timu yake iliyo mwajiri kwa pesa kubwa.Sisi Taifa Stars mchezaji hata akivunjika mguu hakuna Timu ya Kimataifa itakayo patwa na hasara kwa kumkosa mchezaji huyo.Kwa hiyo uchezaji wa timu mbili za namna hiyo lazima utatofautiana.Cameroon ndio wanao ongoza katika kundi lao kwa pointi nyingi.Sare kwao haikuwa na hasara yoyote kama ambavyo Sare kwetu ilivyokuwa.Sisi tulikuwa tunahitaji kushinda siyo Sare.Cameroon wao hata Sare kwao haikuwa na hasara.Cmeroon tayari wameshajenga jina kubwa katika Soka la Kimataifa.Kwa kutufunga sisi isingewaongezea sifa yoyote ya kutisha.Labda kama wangefungwa!Sisi kuwafunga wao kungetuongezea sana sifa.Lakini kama tungefungwa na Cameroon hakuna amabaye angeshangaa.Kulingana na matokeo yetu ya mechi za huko nyuma.Tulifungwa na Timu mbovu kama ya Cape Verde.Tulishindwa kuifunga timu ndogo kama ya Mauritius.Kwa hiyo tutakapo kuwa tukitafakari ile Draw yetu na Cameroon tusiote Mapembe tukadhani sasa Taifa Stars imesha pevuka!Baado sana ndugu zanguni.Tusubiri kipigo huko kwao Yaounde wiki mbili zijazo!Tujitahidi kupitia hizi Academies zilizo anzishwa sasa ili tupate wachezaji watakao weza kucheza soka ya kulipwa katika klabu za ulaya ndipo tutakapo anza kuvuna matunda ya vipaji vya vijana wetu.Lakini kuwalinganisha kina Etoo na wachezaji wetu ni ujinga ulioje!Kwa wana siasa kufanya hivyo sitashangaa!Lakini hata wewe nawe?

 12. Anonymous Anasema:

  huyo etoo si lolote si chochote.. kapagawa na mtoto wa kibongo mboni masimba, ataweza wapi kufunga magoli? hakuna cha kuvunjika mguu wala nini..

 13. David Villa Anasema:

  Kwa kumkubusha tu aliyeandika MAONI mazuri hapo juu ni kwamba Cameroun na Stars wanacheza tarehe 21-June 2008,na siyo wiki mbili zijazo kama ulivyoandika.
  POINTS ZINGINE ULIZOSEMA WENYEWE na huyo HAPO JUNE 16 12:31AM NI SAHIHI(KWA WATU WENYE UPEO MKALI WA KIMPIRA NA SIYO USHABIKI).Ni kweli kabisa walikuwa wanakwenda na mpira wetu,tulikuwa tukipata kasi nao wanakuwa wakali kama mbogo,tukipunguza nao wanashusha makali.Ni bahati mbaya kwamba walioweza kuligundua hili ni watu wachache sana.BADO NAOGOPA MAELEZO YETU HAYA,TWAWEZA KUULIZWA KAMA NI HIVYO KWA NINI BASI WAMFUNGE MAURITIUS GOLI 3 KWAO,KWANI KULE NDO HAWAKUOGOPA KUUMIA?NGUMU SANA KUIELEZA HII

 14. Anonymous Anasema:

  TFF ANZISHENI MKAKATI WA KUHAKIKISHA VIWANJA VYOTE VYA MICHEZO MIKOANI VINACHUKULIWA NA SERIKALI KWANI VILIJENGWA NA WANANCHI CHINI YA USIMAMIZI WA SERIKALI WAKATI WA UTAWALA WA CHAMA KIMOJA.

 15. Anonymous Anasema:

  Mijitu Mingine bwana,

  Eti inafurahia sare kwa kua ni dhidi ya Cameruni ya kina Etoo,

  Yaani Etoo mmemuona Kifaaaaa!!!!!!?????,

  Kwa taarifa yenu ile ni michongo tu ndo maana akachezea Barca, lakin kiuchezaji Etoo ni fala tu kama mafala wengine.

  Kakabwa na Nsajigwa mpaka akawa haonekani kama yupo.

  Pale ilikua tuwapige bao wale wasen..@e na sio droo,

  Mi sikuona timu ya kutuzuia tusifunge sema tu umakini haukuwepo kwa Staz.

  Anyway, Maximo kayaona hayo yote, na uhakika pale Mjini Younde lazima Mrwanda, Ngassa na Gabriel kila mtu apige yake kama matatu hivi kabla ya kuishushia mvua ya magoli Cape verde

  Mimi

 16. Anonymous Anasema:

  Nashangaa sana huyo Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sande Kayuni kushindwa kuwapongeza wachezake kwa kufanya vizuri katika mchezo kati ya Stars na Cameroon lakini anabakia kugombea jezi na watoto waokota mipira.

  Kimsingi kitendo hiki ni cha kijinga na kinaonesha ni jinsi gani Kayuni alivyolimbukeni wa mambo na upeo mgodo wa kufikiri.

  Kama SANDE KAYUNI amediriki kugombnea jezi ya Samuel Eto'o atashindwaje kugombea chakula na wachezaji?, huu ni ujinga na mtu kama huyu hatufai kutuendeshea taasisi kubwa kama TFF.

  Kibaya zaidi ni kwamba eti jamaa anataka kwenda mahakamani kulishitaki gazeti la Majira kutokana na kuandika uozo wake.

  Mimi nipo hapa Toronto lakini taarifa za Kayuni zimenichefua ile mbaya, ujinga na aina hii ni wa kupuuzwa hafai kuwepo hapo TFF, Tenga kwa nini huyo jamaa unamkumbatia? Kayuni acha ulimbukeni leo unagombea jezi, kesho unagombea chakula au maji kisha kanywa Eto'o acjha ujinga pumbavu mikubwa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! xxxxxxxsxeeeeexsweeeeeeeex/ksjkl;wjns weeeeeeeeeeeeeeeee!.