dan mruanda akila sahani moja na andrey bikey
salum swedi akimdhibiti vilivyo samuel eto'o kiasi ya kwamba nyota huyu wa barcelona hakuonekana kama yupo uwanjani
dan mrwanda akikatisha kwenye uchochoro wa rigobert song. pamoja na kukosa mabao mawili ya wazi leo dan mruanda alikuwa mwiba kwa simba hawa wasiofugika
andrey bikey (kulia) akilambwa kadi ya njano kwa kumfanyia rafu dan mruanda huku rigobert son akitaka kuleta lalamu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2008

    Bwana Issa haukupata picha ya Song mdogo?Napenda the way anavyocheza.Slow but sure.He looks so sexy and so does Eto'o.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2008

    ASANTE KWA KUTUPA UKWELI KWANI MTANGAZAJI MMOJA WA TV ALISEMA AMEPEWA KADI NYEKUNDU KWA KUMJIBU VIBAYA REFA! NADHANI MTANGAZAJI ALITAKA TUMUONE KUWA YEYE NI MZALENDO SANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...