Kaka Michuzi,
Hongera sana kwa kazi nzuri katika blog yako.Naomba kuweka tangazo lifuatalo kwa wadau wote walosoma Weruweru Girls Secondary School.
Tunapenda kuwataarifu kuwa tutakua na 're-union' siku ya tarehe 08.08.2008 katika jiji la Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi kuhusu kushiriki tunaomba tuwasiliane kwa barua pepe ifuatayo:
Ahsante sana.
Mdau - X-weruweru Class of '95

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2008

    jamani i remember those days...mama Msuya..akiongea kitu assembly..Yess Motherrrrrrrrrrr...
    jamani pple do u remember njau.watu wasioingia debe(disco)wanambiwa waende class afu wanarudi tena bwenni kwa kutumia njau way.hahahhahah weruweru was soo fun i cant wait to see u pple na Dr Asha Rose Mingiro na Mery Nagu na balozi wa Tz uk jamani ni mafomer weruweru.plzz pple lets meet we hav so much to share

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2008

    Edith umenikumbusha mbali kuhusu debe..mie sikusoma werux2 ila nilikuwa nasoma Old Moshi na nilikuwa nahudhuria debe hapo sana...aha those days was great!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2008

    Hahahahaa......"Yes mathaaaaaaaaa". Hatukuwahi sema "No mathaaa" hata siku moja. Njau duh, zilinitoa vigimbiz. Nani anamkumbuka babu mayoo jamani. Yule mchunga ng'ombe.Nakumbuka tulibadilishiwa matha anaitwa Mama Sambaya. Kina Sista Amansia, Kina Sista Archangela, Miss Abdalah na mama yetu mama wa kidato mkuu wa mapozi "Mrs Mgase. Jamani class of 2001 FC wetu alikuwa Jackline.Nani anakumbuka makonzi ya Mrs. Nikko???? Duh yale yalikuwa noooooma. Jamani tukutane tu maana huwa nikikumbuka mwenyewe, nakufa mbavu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2008

    Mama Kam ndio ilikuwa Weruweru, sasa ivi sio kama vile!
    ata Mongela ni weruweru alumnaiiiiiiiiiiii!

    ReplyDelete
  5. Pudensia Hipolity Njau usikose . mwenekitu ycs tafadhali

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2008

    Wadau wenzangu naomba mkumbke kua re-union ni ya watu wote regardless ya skirt gan ulivaa..... Kuanzia wale walosoma tangu majuu kukiwa tambarare hadi kifusi kama cha mlima Kilimanjaro...
    Deadline ya confirmation ni 05/08/08. For more details write to weruweru08@yahoo.com............

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2008

    jamani nakumbuka class ya 2000 mhhhhh! mimi sisemi jamani mko wapi siddi, juliet wote fc, wetu wote ninakumbuka sana njia za njau. mnakumbuka tulivyomwimba mama msuya baada ya kupelekwa shamba kuvuna tulivyokua form four? 2000? tuliambiwa hatutafanyiwa graduation?msimsahau mr. mongi enzi za shamba jamani, ningependa sana tukutane ila ndio nipo ughaibuni.

    ReplyDelete
  8. Jamani class of 2001(Purple skirt). Hebu tushtuane jamani. Mimi nakumbuka kichurachura pale assembly jamani hasa Mr. Niko akiwa on duty. Mnakumbuka G7 jamani tulikuwa tunagoma kufanya adhabu makusudi ili tupewe suspension. Hadi ikabidi wabadilishe rangi ya skirt zetu, wakaweka maroon. Hado Mama Msuya ali-salenda kwa kile kidato. Maana haijawahi tokea tangu weruweru ianze.

    ReplyDelete
  9. jamani fc wetu wa 2001 naskia kaolewa arusha na ni mwalimu wa secondary,julieth pantaleo nae kaolewa na ana mtoto...jamani nyie watu mwalimu addala ni mkuu wa shule ya ashira...mimi nahamu tuwe wote jamani i miss u guyzz..jamani mnakumbuka pared??afu eti Presdent anakagua.lol!!
    nakumbuka mama sule mpishi wa weruweru?jamani wale waliomaliza puple skirt 2001 tuwasiliane en4tz@hotmail.com nawamiss sana afu kuna mwenzetu wa Azimio naskia alifariki akijifungua jamani..nilisikitika sana

    ReplyDelete
  10. jamani sandra ringo,shija moriss,felista,laura,hilda kaniki,julieth,eliza aminiel,adelina,Angel vicent,rebeka piter,joyce minja,na wale wote wa 2001 jamani njoon mana nina hamu ya kucheka sana mama wetu wa mapozi jamani sijui atakuwa kaenda wapi mna bookiping hakuna tena weruweru?jamani mliskia yule store kiper aliyekuwaga na poz sana alifariki??i wish to see u jamani msiache kuja tukumbushane ya enzi izoo

    ReplyDelete
  11. weruweru ilikuwa enzi za mama Kamm, nyie wote cha utoto, tuulizeni sisi dada zenu ambao wengi wetu tuko ktk posts za juu ktk system!! weruweru kiboko, imetoa leaders wengi sana !! bravo

    ReplyDelete
  12. Huu ni uamuzi mzuri kukutana na kufahamiana kwani sasa hivi sijui ni kizazi cha ngapi tangu shule hii ianzishwe.kuna watoto, wazazi, bibi, n.k. tangu enzi za Mother Agnes, Mother Kipahasha na Mama Kamm. Enzi hizo Disco kwa mpangilio na Sala kwa sana.Huu mkutano utakuwa wapi?

    ReplyDelete
  13. its good to read from you all, msikose basi kuja katika re-union.

    ReplyDelete
  14. nafurahi kusoma comments zenu wot, karibuni katika re-union

    ReplyDelete
  15. Nawaombeni sana mpige picha nyingi, mtume online na sisi tulio mbali tuwaone...maana kwa bahati mbaya hatutakuwa nanyi. Tunawatakia kila kheri katika Reunion...please pics za nguvu....Oyee! Wana Weruweru!
    Those good old days"
    Ile shule ingeigwa na serikali yetu, mfumo wake hauna mfano na Serikali yetu ingekuwa mbali sana. Hope you agree!
    Red Skirt!

    ReplyDelete
  16. Ha ha haaaaaaaaaaaaaaa cc tulikuwa Weruweru ya MAMA WA UKWELIIIII Mama Maria Kamm. 1979 ndo tulimaliza. Unakumbuka vita vya kagera? Ausa Munguatosha jamani uko wapi tukumbushane enzi za form four plain? (red skirts). Rose Nyerere mbona jana cjakuona cune club? Warialanga uko wapi? Assumpta Tsere na Zalia Kawawa mnakumbuka Sons and Daughters. Ile shule ilijitosheleza maeneo yote bana.

    ReplyDelete

  17. Wakina Apia Lunko, Sauda Barongo, Claravera Bilaro, Consolatha Shoto, Agines Manamba, Adventina Rwezaula, Estha Nyange, Cyprilina Mbuya, Betha Mamilo, Ana Gwido, Afisa Nzomkunda, Asha Bongi, Benedicta Ngaiza (Red sket 1979)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...