mshindi wa rafda 2008 saidi tambwe akiwa na modo wake aliyevaa vazi alilobuni katika fainali za redds africa designers awards (rafda) hoteli ya kempinski, dar


jaji mkuu, Sonwabile Ndamase (mwenye jaketi la kijani, ndiye mbunifu wa shati la mandela) akiwa na meneja wa redds george kavishe (kulia) na washindi wa rafda 2008
saidi tambwe na modo wake wakitamba baada ya kutangaziwa ushindi
mkongwe zahir ally zorro na mwanae banana pamoja na ismail wakitumbuiza kwenye onesho
meneja wa redds premium lager george kavishe (kulia) na majaji wa fainali hizo
modo wa kimasai, neshno, akionesha kivazi cha masoud wa kipanya
mshereheshaji joketi akiwa kazini
burudani ya ngoma za kitamaduni ilikuwepo











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ivi huu ndo uandishi gani?? eti modo wa kimasai!!

    ReplyDelete
  2. Naomba nieleweshwe kwa nini yule modo wa "kimasai" kaandikwa kabila lake na huyo mchekeshaji halijaandikwa au halijulikani?

    ReplyDelete
  3. neshno kanenepa...
    aliyeshinda ameonesha kipaji cha hali ya juu, watanzania tunajitahidi sana siku hizi.. big up. Can Jokate be as well mc wa kitchen party au sendoff au hata sherehe yeyote ya kijamii... eti kuna mtu ambaye ameshamshuhudia huko??? naye anayaweza kweli, i like her.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...