THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

magembe wins international star quality award

A local entrepreneur, Mr Magembe Cheyo, of Sumayi Investment Group (SIG) recently won the International Star Quality Award (ISQA) in the gold category from the Geneva-based Business Initiative Directions (BID). SIG becomes the fourth Tanzanian institution to win the prestigeous quality award. Read more
l


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  This is what we like seeing about Tanzanians.... Congratulations Mr Cheyo.

 2. Anonymous Anasema:

  tatizo la wafanyabiashara wa tanzania sio Honesty, magembe alikoanzia mpaka hapo alipofika wala usitake kujua, he was a crook just like other busiess people,eti leo kapata tunzo? je wakifuatilia his business conducts zake sijui hata kama atasimama. any way hiyo ndiyo tanzania.

 3. Anonymous Anasema:

  We anony wa 2 kama una usongo shauri yako, kama alifanya ukuruku ndio akafika hapo mpongeze maana amewini, sasa basi na wewe kafanye ukuruku uwini umpe michuzi picha tukupongeze. nani asie kuruku Tz ndio maana inaitwa Bongo.

 4. Anonymous Anasema:

  Ni kweli namuunga mkono Anony wa kwanza. Hizi ndio habari kuhusu watanzania tunazopenda tungezisikia zaidi. Hongera sana kaka!

 5. Anonymous Anasema:

  Jamani Magembe za cku nyingi tutafutane!

 6. Anonymous Anasema:

  hongera sana,nawengine tuwige hii mifano, sio tena kuanza kukandia manake,manake imekua kawaida ya washindwaji maisha wao kukandaa tu. hongera sanaaaaaaaaaaaaaa