Mwakilishi wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania(MCT) Pili Mtambalike akimkabidhi vitabu viwili vya mapendekezo ya wadau kuhusu muswada wa sheria ya haki ya kupata habari, 2007 na mapendekezo ya wadau kuhusu muswada wa sheria ya vyombo vya habari, 2008 kwa Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Mh. George Mkuchika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...