THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

NATIONAL PUBLIC HOLIDAYS - 2009

We have received official communication from the DIRECTOR OF INFORMATION SERVICES, confirming the list of OFFICIAL PUBLIC HOLIDAYS for 2009 as indicated below:


January - 1 New Year Day
January - 12 Zanzibar Revolution Day
March - 21* or 22* Maulid Day
April - 7 Karume Day
April - 10 Good Friday
April - 13 Easter Monday
April - 26 Union Day
May - 1 Workers’ Day
July - 7 SabaSaba Day
August - 8 Peasants Day
September - 21* & 22* Idd-El-Fitri
October - 14 The Mwalimu Nyerere Day and Climax of the Uhuru Torch Race

November - 28 * or 29* Idd-El-Hadj
December - 9 Republic Day
December - 25 Christmas Day
December - 26 Boxing Day
NB:
1) *These Holidays will depend upon the appearance of the new moon.
2) Please note that Holidays falling on Saturday or Sunday will be kept on those days. Act No.10 of 1994 has been repealed and holidays falling on Saturday or Sunday shall no longer be compensated.

Yours faithfully,


Dr. Aggrey K. Mlimuka
EXECUTIVE DIRECTOR
Association of Tanzania Employers
IPS Building, 7th Floor,
Samora Avenue/Azikiwe Street,
P.O. Box 2971,
Dar es Salaam,
Tel: +255 22 2110940
Fax: +255 22 2119434
E-mail:
info@ate.or.tz
Website: www.ate.or.tz

Every Good Employer is a Member of the Association of Tanzania Employers


Kuna Maoni 8 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  haha...Lile Act No. 10 1994 lilikuwa kiboko. Waswahili hapo waliniacha hoi. Eti likizo ikiangukia w/end lazima ilipiwe katikati ya wiki. That was a clear sign of UVIVU.
  Lakini kwa sababu kipindi kile mambo ya shule tena...niliipenda hii sheria.
  Kweli umaskini ni umaskini tu.
  Alafu kwa nini hizi Acts hazipewi majina? Ingeitwa Public Holiday Act 1994...sio Act No. 10. Inakuwa rahisi kwa reference...na katika maongezi na watu mbalimbali wasioatambua sheria. Mtu anaweza kuelewa hiyo sheria inalenga nini kutokana na heading yake sio mpaka uanza kuelezea tena.

  mtoto

 2. Anonymous Anasema:

  Tanzania bwana ndio maana hautuendelei, yaani sikukuu kibao mi nafanya kazi hapa us, mwaka mzima i have seven days in our haliday calender, bongo wamedouble times two, halafu tunajidangaya tunaetendelea watu hawapendi kufanya kazi,lets keep on dreaming.
  mdau usa.

 3. Anonymous Anasema:

  AMERICA IS THE SAME WAY. SIKUKUU IKIANGUKIA SATURDAY AU SUNDAY BASI MONDAY IS A DAY OFF. NI KUWAPA WAFANYAKAZI MUDA WA KUPUMZIKA BAADA YA PIRIKA ZA SIKUKUU ILI WAWEZE KUWA MORE PRODUCTIVE NA SIYO DALILI YA UVIVU KAMA MDAU HAPO JUU ANAVYOSEMA. MIILI YETU INAHITAJI MAPUMZIKO YA HAPA NA PALE. ILA BONGO HOLIDAYS NI NYINGI DUH! HAPA TUNAHESABU KUMI TU KWA MWAKA!

 4. Anonymous Anasema:

  Wewe uliyetoa mfano wa US acha uzushi. Upo US kweli wewe? Au ni unasukuma ma-boksi bila kujua muelekeo halisi...hehehe.
  Wao wame-phrase likizo zao tofauti na sisi. Kwa mfano: Martin Luther King Day always falls on the 3rd Monday ya January, Memorial Day - last Monday of May...nk. Sasa sisi tumechagua a specific date na kusema kuwa ilipishiwe katikati ya wiki. That is uvivu.
  Na la ziada...kila mfanyakazi si ana holiday yake kwa mwaka. Sasa cha kuongeza nyingine ya kazi gani?

  P.S: Hata kama Marekani ingekuwa na kulipishia...lazima tuwaige? Ni mambwana zetu wao?

  mtoto

 5. Anonymous Anasema:

  NA HIZO SIKUKUU ZA IDD KWA NINI ZISIWE NA TAREHE ZENYE KUELEWEKA? MAMBO YA KUANGALIA MWEZI HUWEZI HATA KU-PLAN KITU CHA KUELEWEKA AFTER ALL NI KAMA TUKO KWENYE UJIMA!

 6. Anonymous Anasema:

  we anony wa 10:01 nani kakudanganya wamarekani wanavuta sikukuu? Ni kwamba sikukuu nyingi za marekani huwa zinapanwga sio kwa kufuata tarehe, bali kwa kufuata siku. Kwa mfano, labor day inakuwa Jumatatu ya kwanza ya mwezi wa 9; Martin Luther King, jr. day inakuwa Jumatatu ya 3 ya Januari. Ila kwa sikukuu zinazofuata tarehe maalum mfano Xmass (Des 25), mwaka mpya (jan 1), Independence day (July 4), etc zinasherekewa siku iliangukia basi. Na kama siku hiyo ni weekend ndio imetoka hiyo

 7. Anonymous Anasema:

  HUYU MHES. INAELEKEA HAJUI KUWA UTARATIBU WA KUFIDIA SIKUKUU ULISIMAMISHWA TANGU ENZI ZA RAISI MWINYI AU ANATAKA KUTUAMBIA KUWA KUSIMAMISHWA HUKO HAKUKUA HALALI ILIKUWA NI KINYUME CHA SHERIA! BASI KAMA NI HIVYO WAFANYAKAZI WANASTAHILI KULIPWA FIDIA. KUMBE SHREI NDIYO KWANZA IMEFUTWA NA KUANZIA MWAKA KESHO HATUTAFIDIA SIKUKUU! SERIKALI HII, SIJUI KAMA INA WATU WULIJUALO WANAYOYATENDA. COMMUNICATION BREADOWN NDANI YAO.

 8. Anonymous Anasema:

  sasa marekani ipi??tumwamini nani apa??mara ooo US sikukuu ikiwa wkend inawekwa next public day,mara no if iko wkend ndo iyoiyo!! khaaa nyie wote ni wa mitaa ya manzese tu,,,tehteh teh
  kuna time la kupumzika saaana tu likizo haitoshi 28/30 days??watu tuna kazi za nguvu/kufa mtu (bt sio za kusukuma maboksi)