kwako kaka michuzi,

pole na kazi kikubwa kaka nataka kuwaambia watanzania wenzangu kuwa ile blog iliyokuwa inatunyima raha iitwayo theutamu IMEFUNGIWA RASMI na bado anafuatiliwa kwa karibu na mpaka sasa imeshajulikana mwanzilishi yuko Tanzania na anashirikiana na wawili mmoja akiwa UK na mwingine US.

Kibaya zaidi ni kuwa wote waliotuma barua pepe kwenda kwenye email ya utamu wako recorded na wanafuatiliwa kwa ukaribu kabisa.

Nawaambia watanzania wenzangu waache kutumia blogs kuchafuana bila ushahidi wowote,Epuka kutuma barua pepe huko ukidhani hutojulikana kazi kwenu mliokuwa mnatuma barua pepe kwenda huko....

habari ndio hiyo kaka.

mdau..!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 72 mpaka sasa

  1. ....ASANTE SANA KWA HABARI NJEMA.
    NO MO UTAMU

    ReplyDelete
  2. Acha kuongea pumba wewe. Email records zitatolewa vipi na nani? Unafikir upo Bongo? Nyamaza fala wewe.

    ReplyDelete
  3. Sawa Sawa,ipegwe chini na ikiwezekana mwana Blogu aende Segelea akatumikie kifungo kwa sababu huyo ni Fisadi wa kupotosha jamii!!Pumbavu kabisa!

    ReplyDelete
  4. Habari njema kabisa. Washindwe na wafilie mbali. Hata siamini wameachiwa vipi wanyanyase mabinti wa watu kwa miaka yote hiyo miwili

    ReplyDelete
  5. Wewe mdau, uliyetuma hii barua, usidanganye watu. Ujue kwamba the Utamu ilikuwa ikitumia Gmail ambayo inakuwa hosted na Google. Ili upate access to any email from google. You must get a court injuction from the US.

    Kwa hiyo wote mnaotishiwa wala msijali hawa watu, wanawatishieni tu, hawana lolote. Matumbo yao moto kwa sababu wanajua wataumbuliwa na machafu yao

    There is no politician from Tanzania who residing in Tanzania can do so, considering the fact that, none of the persons is domiciled in the United States.

    Google can not risk a privacy lawsuit by giving you email access of an individual be it in the UK or US, and the site could only be taken down by the owner or if it was being housed in Tanzania (within the Jurisdiction)

    Niaminie, the Utamu unarudi libeneke.This is a 21st century where logic and freedom of speech rules.!

    ReplyDelete
  6. bwana asifiwe,ushetwani wa ze utamu umefika mwisho

    ReplyDelete
  7. Huyo aliyetuma mesegi kwa michuzi atakuwa ni yule rais wa watanzania dc, cha msingi hapa ni kwamba watu wajirekebishe maana kama uko clean huna haja wakukoseshwa raha na utamu, mbona watu kibao hatukuandikwa bwana wewe kama umeandikwa ndugu yangu unatakiw au renovate life yako period. na pia kila mtu ana haki ya kikatiba yakutoa maoni ili mradi asivunje sheria so mzee wa dc clean up your closet kabla jamaa hajaanzisha blog ingine.
    Mchuzi usinibanie Mzee wa anfield

    ReplyDelete
  8. KIUKWELI KABISA KUNA KILA SABABU YA KUSHEREHEKEA MAANA NI WENGI WAMENYIMWA USINGIZI NA HII BLOG. KILA SIKU NILIKUWA NAPITA SI KWA KUANGALIA KUMEWEKWA NINI BALI JE NIMO?? KWANI NI WENGI WAMECHAFULIWA NA HUYU NAWEZA MUITA MPUMBAVU WENGI WAO HAWANA KOSA LOLOTE. POLENI SANA KWA WALE WOTE WALIPATA DHAHAMA KWA NAMNA MOJA AU NYIGINE.

    ReplyDelete
  9. Afadhali familia za watu zinusurike. Malipo ni hapa hapa duniani mzee wa utamu ukumbuke.

    ReplyDelete
  10. HALOHALOOOOOOO AFADHALI BLOG ILIKUWA IMEJAA UMBEA TU NA MAJUNGU ILE.......ALIYEFACILITATE KUFUNGWA JAMANI ABARIKIWE SABA MARA SABINI

    ReplyDelete
  11. aleluyaaa!!!! lakini mh kwanini waliotuma emails wafatiliwe? kosa lao nini ? i thought aliye publish ndo ana kosa since alikiuka masharti ya blogs yani aliregister as porn site badala yake akaweka picha za watu bila idhini yao. au?

    ReplyDelete
  12. mkuu hiyo mikwara ya mbuzi tu wewe......Kama waliotuma email itumwe tu haiwahusu kitu hiyo etii wanafatiliwa alafu iweje??Acha hizo wewe sema kwamba site imefungwa basi ndio hicho cha muhimu sio kukata watu mikwara ohhh hivi na vile....... hamna mtu wa kumkamata kwa njia ya email hata siku moja huo mkwara mbuzi wako tu......kwa hiyo aanza upya tena

    ReplyDelete
  13. Afadhali ifungwe ni upumbavu. Watu wazima hawana cha kufanya kazi kufuatilia maisha ya watu na kibaya zaidi kuongezea chumvi ili kumharibu mtu kabisa.

    ReplyDelete
  14. bwana asifiwe sana,Mana mwishoni we utamu uliweka list ya lawyers wa Tanganyika Law society eti hao ndo wanakutumia ujinga wako.Kuna mpaka majina ya majaji uliyaweka we kidudu mtu.Poleni sana wooote yaliyowakuta kupitia mahala pale.

    ReplyDelete
  15. Nachokifahamu ni kuwa Nchi hii hakuna Sheria ya Data Ptoctecton Act.Hivyo hakuna Mtu yeyote atakayechukuliwa Hatua kutokana na Hili.

    Cha msingi ni Kufurahi tu kwamba hii imefungwa,ili kwa uopande mmoja au mwingine imesaidia kupunguza maambukizo ya ukimwi sababu wale wote ambo ni watu wachafu na wazinzi walianikwa wazi na kufahamika.

    Mie naomba irudishwe tu ila wasiweke picha mbaya .wawaweke watu ambao ni waharibifu.Kama siye tufanyavyo katika jamiiforums,Mafisadi tunawaanika wazi hivyo na hawa mafisadi wa ngono lazima nao waanikwe wazi.

    Nchi hii ina uhuru wa maoni na ibara ya 19 inampa mtu uhuru wa kufanya atakalo kwa kuwa hakkuna sheria nyingine ambayo ipo inayokata kuandika habari kuhsu mtu flani.

    KWa uzoefu wangu wa Mambo ya IT ,usiwatishe watu kuwa watatafutwa kwa kuwa walichangia kitu flani zaidi ya kufurahia imefungwa..Hiyo haipo na usiletee mambo ya kizamani kwan kuwa watanzania wana jua nini cha kufanya.

    No body own the internet,this is what i know


    Karibuni Jamiiforums.com,Nipo na Mzee mwanakijiji,Mtanzania, tunawasubiri tujadili yanayohusu Mstakabali wa taifa letu na siyo mambo haya na michuzi usiweke mambo kama haya hapa.

    ReplyDelete
  16. Kaka Michuzi pole kwa mihangaiko. Mimi bwana sipendi ku-comment kwenye globu yetu ingawa napenda kusoma kinachoendelea. Naandika kufuatia tangazo la huyo jamaa yako anayejiita mdau kwamba globu ya utamu imefungwa na anawaonya wale waliokuwa wanatuma comment kwamba watafuatiliwa. Mi nadhani jamaa yako ni mzembe wa kufikiria..hivi anafikiri kwamba watu wote hatuna uwezo wa kufikiri?

    Sasa KWELI MTU ANAFUATILIWA KWA kosa lipi? WHICH CRIME? kutuma maoni kwenye globu ya utamu? Au anataka kuwatisha watu anafikiria kila mtu ana akili fupi..tutatishika na cheap fear kama hizo?..please sir/madam watu tumeshapita level ya kutishiwa tishiwa..Ni kweli personally niliiona hiyo globu once na kweli sikuipenda na wala sijaifungua tena..lakini huyu jamaa yetu anapokuja na porojo nyingi hapa eti watu wanafuatiliwa..nadhani amekosea audiance wa kuwapelekea ujumbe huo. Hata huyo mwenye hiyo globu..usishangae ukimpeleka mahakamani ukashindwa kosa la kumcharge nalo! Ana kosa lipi..unless wewe ni victim...

    Otherwise mkuu Michuzi..nadhani wadau wengine..inabidi wawe wanafikiria kabla ya kuleta porojo..hata kama umeamua wewe kuwa mlinda maadili wa Tanzania..lakini ni vema ukajua arguments za kuleta hapa..siyo kutisha tisha watu...

    Nimeandika kuonyesha kwamba sijapenda hicho kitendo cha kutisha watu as if..kuangalia globu yoyote hata kama ni ya ngono.. ni kosa...eti wanafuatiliwa?..please!!!!

    Again, Iam not endorsing what Utamu does..but neither am I endorsing such arguments eti watu wanaotembelea hiyo globu wanafuatiliwa...

    Nikikuuliza kama Tanzania tuna sheria inayodhibiti makosa kama hayo..utaleta porojo za FBI nk..nikikuuliza watu wanaotuma comment wamekosea nini..like wise..utaanza kujiuma uma..Get life brother/sister....

    ReplyDelete
  17. Acha uongo wewe, wanafuatiliwa na nani Manumba ? ama FBI ? hao FBI wako busy na kumtafuta Osama bin Laden, Sio hivi vidagaa vidogo vidogo Na HABARI NDIO HIYO.

    ReplyDelete
  18. huyo jamaa hatafungua blog nyingine?

    ReplyDelete
  19. Napenda kuwataadharisha mimi kama babu sijapenda huyo jamaa anayo yasema ila kwa kifupi hiyo tangazo mimi naona kalituma mwenyewe theutamu kwa michuzi kuwa iko removed ila the utamu atarudi maana hii itakuwa mara yake ya pili kufanya hivyo wa hiyo msibweyeke na kujiachia kwa kuwa mzee ze utamu hayupo ila kikubwa sana labda picha anazo chache sasa anataka msherekee kwa kujiachia awaanike atakapo ifungua tena ila kikubwa ni yeye mwenyewe kaiblock kwa muda awaone mnajipya lipi .
    ni hayo tu kutoka kwa babu yenu !!

    ReplyDelete
  20. nakuonea huruma sana we mdau usiyejua mambo ya technology mimi nimesha fanya kazi ya kutengeneza website za kampuni 15... 1 ya US,1 CA,2 Kenya,1 Rwanda na mabaki hapa Home Kwa wazawa issu si right wala bin haki ishu ni crack mkuu... kama unataka uhakika wewe weka imail yako kwa wadao usubiri kifuatacho ITV... iweke hapa kwa wadau kwa uhakika zaidi.... Mapaa wa technology Moshi...

    ReplyDelete
  21. He will be back for sure...

    ReplyDelete
  22. hekoooooo, safi sana maana utamu alikuwa na roho ya kishatani , sasa aondoe ukungu kwenye akili yake, mtu unawezaje kuwa unaishi kwa kufuatilia maisha ya watu?? poleni sana wote waliowekwa kwenye utamu japo msijali sana maana utamu na watu wake wana matatizo ya ubongo. na hao waliotuma barua pepe wasubiri tuu wasianze kuchechetuka maana hakuna kinachoshindikana katika dunia hii, WE WILL SOON FIND OUT. asante kaka michuzi hii ni habari njema leo..

    ReplyDelete
  23. hapo mmeambiwa na mdau kuwa mliokuwa mnamtumia Emails theutamu mnafuatiliwa,jamaa amekosea nini?kwani ni vigumu kuwafuatilia?kumbuka kuwa unavyomtumia email basi ujue watu wanaweza kutrace na kujua IP ADDRESS ya computer uliyotumia hivyo kujua upo nchi gani na umetumia ISP gani,hivyo kukupata inakuwa easy,naona waosha vinywa wanaanza kuwayawaya baada ya kusikia watafuatiliwa.kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  24. Hii Blog Utamu itarudi tu. Ni ku-ihost nje ya Tanzania. Watanzania wengi wahafahamu, wanafikiri wakina Interpol, CIA, wanashughulika na ma-blog ya uchwara, la-hasha. blog za x ziko nyingi tu za kudumu itakuwa hii ya utamu. Ukihost nchini utakamatwa tu, internet-computer system inatoweka alama IP protocol, utafuatiliwa na kugundulika hadi nyumbani au ofisini kwako na kompyuta unayotumia pia. MAMBO UTAMI- IRUDISHWE TAFADHALI

    ReplyDelete
  25. tehehehe...ze utamu. Imetesa watu. Lakini watu hizo picha zilikuwa ni za adobe au ni kitu kweli? Kama wewe unapiga picha za ajabu na kuweka sehemu zitakapoweza kupatikana...imekula kwako!
    Mimi ninapomlaumu ni alipoanza kuweka picha za watu na kuwakashifu...hapo ndo unaweza kusema he has done wrong. Waliokewa picha wa-sue for defamation...awalipe.
    Lakini mtuma picha...sidhani kama ni kosa. Labda kama kuna sheria ya ivyo.

    ReplyDelete
  26. HII NI HABARI YA KUSIKITISHA KWA KWELI. UTAMU ILIKUWA GLOBU MOJA BOMBI SANA. KWA WALE MLIOKUWA MNAKOSA USINGIZI ACHENI UTOTO, KWANI NI NANI ASIYEFANYA NGONO?

    ReplyDelete
  27. Michuzi 1. Vizuri kutolewa The Utamu mie pia sikuogopa ila unaweza tu kupigwa picha na mkeo ukawekwa watu wakaanza kuongea pumba wengine wakaamini hata kama si kweli.

    2. The utamu kusema kweli Asilimia pengine 70 unaweza kusema waliokuwa wanasemwa wanaendana na ukweli wanayofanya na si vizuri watanzania kufanya yale haipendezi.

    3 The Utamu imefungwa naomba kuuliza wana Blog humu je sababu utamu alichokuwa anakosea ni kuweka picha tupu je? na Tanzania Global publisher Itafungwa lini?

    GLOBAL PUBLISHER wale magazeti nao wanaoongea umbeya itafungwa lini najuwa ISSA MICHUZI comment hii atabania sababu anawakubali wale ila mie nchi kama TAnzania sioni kama inatakiwa iwe na gazeti kama lile PLz wadau tuanze na pia Tanzania GLobal Publisher ifungiwe sababu nao wanahabari za uzushi.

    ReplyDelete
  28. THA UTAMU HAINA HATIA BWANA

    ReplyDelete
  29. KAKA MICHUZI SASA INABIDI WEWE NA WENZIO MTUTAFUTIE VILIWAZO KWANI UTAMU ALIKUWA ANATUPA MAVITUZI AMBAYO YALIKUWA YANATUSHAWISHI KURUDI TANZANIA. BLOG YA THE UTAMU PIA IMECHANGIA ASILIMIA KUBWA KATIKA NYANJA YA UTALII, KWANI WATALII WENGI WALIKUWA WAKIITEMBELEA BLOG HII KABLA YA KUFUNGA SAFARI ZAO KUJA BONGO ILI WAJIPATIE MAVITUZI TOKA KWA TOTOZI. ANGALIENI POSITIVE PIA SIO KILA SIKU MKO NEGATIVE TU, WANABLOG KIBAO WAMEMAINDI SANA, NA HATUJI TENA BONGO, KWA HERI

    ReplyDelete
  30. mdau kama huamini kuwa gmail account,yahoo account,outlook express account from 2000 up to 2007,excite account,DomainName Passkeys,FTP Servers tunaweza ku HUCK.... upload hako ka account chako hapa kwa wadau alafu usubiri kifuatacho ITV..... Mapapaa Moshi, kilimanjaro. Tanzania
    Karibu sana Mdau Mbishi... Hii ndo Bongo Tanzania....
    KARIBU SANA MKUU... I remain.

    ReplyDelete
  31. MIMI NDIO UTAMU MWENYEWE; NATAKA KUTOA TAMKO RASMI:
    " NITARUDI TENA MUDA SIO MREFU NAENDA LIKIZO KIDOGO KUPUMZIKA, SAMAHANI KWA KUTOWAAGA RASMI, NITAKUJA TUENDELEE KULISUKUMA GURUDUMU LA KUREKEBISHA TABIA, AHSANTENI SANA"

    ReplyDelete
  32. Yaani mzee wa Utamu anavyosakwa hata Bin Laden ana afadhali...
    Mie nakufa kwa kicheko kwa jinsi watenda maovu mjini wanavyopumua na kujipa moyo, ETI UTAMU CHINI!!!

    ReplyDelete
  33. Anonym was 7:33 am 7th October. the statement "sheria ya data protection act" is wrong. shria na act is the same word just in different langauges. and when you say nchi hii you mean tanzania au wapi maana internet crimes are a bit more complex in determining what laws apply. the bottom line is that the blog obtained photos illegally. it also contained defematory comments on people. the way i see it the blog would be closed. But even if one were to pursue action bongo against the owners kama wako tz kwanza hatuna adequate internet crime laws na the compensations zitakazokuwa awarded would nto be worth i. but yes i am glad it is off hiyo blog maana it was run unethically

    ReplyDelete
  34. Babu naona uko makini. unayoyasema ni kweli. Mzee wa utamu yuko gado ameipumzisha tu blog yake aone watu mnavyobwabwaja, baada ya muda atarfudi na full mass nondo, kwani alishafanya hivyo wakati fulani, watu wakashangilia, aliwapa wiki moja tu, alivyorudi, kila mtu kimyaaaaa, maana alirudi kwa kishindo.
    Mtaalamu

    ReplyDelete
  35. KUANZIA LEO MIMI NAGOMA KULA,MPAKA UTAMU IRUDISHWE,AU ITABIDI NIJIPIGE KITANZI,NIFE KABISA,BILA UTAMU MAISHA HAYANA RAHA

    ReplyDelete
  36. mie ni mmojawapo wa watu waliokuwa victimized na huyo THEUTAMU.

    nimeripoti police na walikuwa kny process za KUTOA PICHA ZANGU kny hio website,,,,only to find the blog has been removed!.....wewe theutamu.....one day they will get you....trust me,u wont DIE untill you pay back all the lives that you have RUINED!

    too bad i didnt make a copy,now theres a case (SEXUAL HARASSMENT)against yule aliyeniweka pale ila hakuna EVIDENCE!...

    i wont rest untill i bring you all to JUSTICE!!!

    NEEMA

    ReplyDelete
  37. long live the utamu,wewe ndio mkomesha vinunganembe vya ulaya na otovu wao wa adabu..wanafikiri ati wamekublock mbona wanachekesha tupo likizo ya autumn..mavituzi baada ya short break.ni blogg yetu kama blogg zingine na halazimishwi mtu kuitembelea..ukitaka toa maoni au usiifungue na kuingia kwenye uhondo mavituzii....hongera rude pichaz na washashi wengine..pigeni vita mafisadi basi kwani muiba wa utamu umewachoma na maadili yenu mabaya ya ukahaba...utamu itaendelea hakuna hackers wala mabingwa wa itv....wala ip adress blockers..tunarudi mtamboni karibuni..alluta continua

    ReplyDelete
  38. DUH! KUMBE WATU WENGI HIVI WALIKUWA WANATEMBELEA UTAMU BLOGG!!!THIS MEANS HII MOVE IMEWA AFFECT WATU WENGI EEH? IN A CHRISTIAN SENSE WATU WALIKUWA WANAZINI SANA TU KILA WAKICLICK LINK YA UTAMU BLOGG....JEHANAMU TUANDALIE SEHEMU YETU TAFADHALI!

    ReplyDelete
  39. Huyo mwenye The Utamu blogu ana ugonjwa wa akili. Hebu wamwumbue tujue ni nani! TUNATAKA JINA LAKE!

    ReplyDelete
  40. Mtu hawezi kufanya kitu kwenye intaneti akadhani kuwa atakuwa anonynous. Hata mbumbumbu wa intaneti kama mimi niliweza kudaka initials za huyo aliyepo UK!! Initials zake ni MPL

    ReplyDelete
  41. Ni bahati mbaya baadhi ya watu walikuwa wanatumia ile website kudhalilishana. lakini hii ilikuwa ni hatua muhimu kuliko zooooooote iliyochukuliwa kupambana na ukimwi!
    Hizi ni zama za uwazi na ukweli la sivyo taifa zima litaangamia. Government should have supported this kwani ni viongozi wangapi, walimu wangapi waliokufa na hiv? Kukaa kimya inasaidia vipi? Kwanini tunafanya uasherati wakati kifo kiko nje nje? Na pia ni watu wengi waliojijua wana hiv halafu wana-spread kwa makusudi sio kwamba atakwambia ninao. Na ukishaathirika nothing you can do about it sidhani kama huwa wanachukuliwa sheria zozote na pia watu wengi huogopa kujitokeza. Hii ilikuwa ni njia mojawapo nzuri aggressively kupambana na ukimwi. Kitu cha maana ni kutovunjiana heshima. Ndugu zangu inabidi tujichunge sana saa nyingine ni bora kufa masikini kuliko starehe za siku mbili tatu ambazo mwishoni hazina maana. Na pia kusheshimiana kama mtu umeamua kuwa kwenye relationship, linda maisha ya mwenzio na familia. Pia tujenge culture ya kujitegemea badala ya kutegemea mteremko. Be aware AIDS kills. Unakohoa kidogo unakuwa na wasiwasi, unaumwa malaria kidogo wasiwasi, ukivuka mwaka furaha kuuubwa. Aim to live 80 years and not 40!

    ReplyDelete
  42. WE THE UTAMU MUNGU AKUPIGE RADI NA MWAKA HUU HUTAUMALIZA TULIOMBA MUNGU UCHAFU WAKO UFUNGWE AKAJIBU NA BADO ROHO YAKO ITAFUNGWA LAANA KUM WAHED!!

    ReplyDelete
  43. DUH , WATU WATAKUWA HAWANA KAZI HASA HASA WALE WA LONDON WANAO DAKA KWA MAANA HILE BLOG ILIKUWA INAWAWEKA BUSY SANA KAZI KUTUKANA WATU BADALA YA KULEA "WANAFIKIRI KUKAA NA MTOTO NA KUMNUNULIA NGUO NDIYO KULEA" MMMHHHH YETU MACHO

    ReplyDelete
  44. Blogger Content Policy

    Blogger is a free service for communication, self-expression and freedom of speech. We believe Blogger increases the availability of information, encourages healthy debate, and makes possible new connections between people.

    We respect our users' ownership of and responsibility for the content they choose to share. It is our belief that censoring this content is contrary to a service that bases itself on freedom of expression.

    In order to uphold these values, we need to curb abuses that threaten our ability to provide this service and the freedom of expression it encourages. As a result, there are some boundaries on the type of content that can be hosted with Blogger. The boundaries we've defined are those that both comply with legal requirements and that serve to enhance the service as a whole.
    Content Boundaries

    Our content policies play an important role in maintaining a Googley experience for you, the users. Please respect these guidelines. From time to time, we may change our content policies so please check back here.

    PORNOGRAPHY AND OBSCENITY:

    * Pornography and Obscenity: Image and video content that contains nudity, sexually graphic material, or material that is otherwise deemed explicit by Google should be made private. Otherwise, we may put such content behind an interstitial.
    * Pedophilia, Incest and Bestiality: Users may not publish written, image or video content that promotes pedophilia, incest and bestiality.
    * Commercial Pornography: We do not allow content that exists for the primary purpose of monetizing porn content or driving traffic to a monetized pornography site.
    * Child Pornography: Google has a zero-tolerance policy against child pornography, and we will terminate and report to the appropriate authorities any user who publishes or distributes child pornography.

    HATEFUL CONTENT: Users may not publish material that promotes hate toward groups based on race or ethnic origin, religion, disability, gender, age, veteran status, and sexual orientation/gender identity.

    VIOLENT CONTENT: Users may not publish direct threats of violence against any person or group of people.

    COPYRIGHT: It is our policy to respond to clear notices of alleged copyright infringement. More information about our copyright procedures can be found here.

    PRIVATE AND CONFIDENTIAL INFORMATION: We do not allow the unauthorized publishing of people's private and confidential information, such as credit card numbers, Social Security Numbers, and driver's and other license numbers.

    IMPERSONATION: We do not allow impersonation of others through our services in a manner that is intended to or does mislead or confuse others.

    UNLAWFUL USE OF SERVICES: Our products and services should not be used for unlawful purposes or for promotion of dangerous and illegal activities. Your account may be terminated and you may be reported to the appropriate authorities.

    SPAM, MALICIOUS CODES AND VIRUSES: We do not allow spamming or transmitting malware and viruses.

    ReplyDelete
  45. Blogger Terms of Service

    Welcome to Blogger! Before you begin using Blogger, you must read and agree to these Blogger Terms of Service ("Terms of Service") and the following terms and conditions and policies, including any future amendments (collectively, the "Agreement"):

    * Google Terms of Service - Google's general terms and conditions (http://www.google.com/terms_of_service.html)
    * Google Privacy Policy - How we maintain and protect your personal information in Blogger (http://www.google.com/privacy.html)
    * Blogger Content Policy - How we promote free expression and responsible publishing (http://www.blogger.com/content.g)

    Although we may attempt to notify you when major changes are made to these Blogger Terms of Service, you should periodically review the most up-to-date version (http://www.blogger.com/terms.g). Google may, in its sole discretion, modify or revise these Terms of Service and policies at any time, and you agree to be bound by such modifications or revisions. If you do not accept and abide by this Agreement, you may not use the Blogger service. In the event of an inconsistency between the Blogger Terms of Service and either Google's general Terms of Service (http://www.google.com/intl/en/terms_of_service.html) or the Google Privacy Policy (http://www.google.com/privacy.html), the Blogger Terms of Service (http://www.blogger.com/terms.g) shall control. Nothing in this Agreement shall be deemed to confer any third-party rights or benefits.

    1. Description of Service. Blogger is a web publishing service and optional hosting service (the "Service"). You will be responsible for all activities occurring under your username and for keeping your password secure. You understand and agree that the Service is provided to you on an AS IS and AS AVAILABLE basis. Google disclaims all responsibility and liability for the availability, timeliness, security or reliability of the Service or any other client software. Google also reserves the right to modify, suspend or discontinue the Service with or without notice at any time and without any liability to you.

    You must be at least thirteen (13) years of age to use the Service. Google reserves the right to refuse service to anyone at any time without notice for any reason.

    2. Proper Use. You agree that you are responsible for your own use of the Service, for any posts you make, and for any consequences thereof. You agree that you will use the Service in compliance with all applicable local, state, national, and international laws, rules and regulations, including any laws regarding the transmission of technical data exported from your country of residence and all United States export control laws.

    You agree to abide by the Blogger Content Policy (http://www.blogger.com/content.g) and the rules and restrictions therein. Although we may attempt to notify you when major changes are made to the Blogger Content Policy, you should periodically review the most up-to-date version. Google may, in its sole discretion, modify or revise the Blogger Content Policy at any time, and you agree to be bound by such modifications or revisions.

    Violation of any of the foregoing, including the Blogger Content Policy (http://www.blogger.com/content.g), may result in immediate termination of this Agreement, and may subject you to state and federal penalties and other legal consequences. Google reserves the right, but shall have no obligation, to investigate your use of the Service in order to (a) determine whether a violation of the Agreement has occurred or (b) comply with any applicable law, regulation, legal process or governmental request.

    Much of the content of Blogger.com and Blogspot.com -- including the contents of specific postings -- is provided by and is the responsibility of the person or people who made such postings. Google does not monitor the content of Blogger.com and Blogspot.com, and takes no responsibility for such content. Instead, Google merely provides access to such content as a service to you.

    By their very nature, Blogger.com and Blogspot.com may carry offensive, harmful, inaccurate or otherwise inappropriate material, or in some cases, postings that have been mislabeled or are otherwise deceptive. We expect that you will use caution and common sense and exercise proper judgment when using Blogger.com and Blogspot.com.

    Google does not endorse, support, represent or guarantee the truthfulness, accuracy, or reliability of any communications posted via the Service or endorse any opinions expressed via the Service. You acknowledge that any reliance on material posted via the Service will be at your own risk.

    3. Privacy. As a condition of using the Service, you agree to the terms of the Google Privacy Policy (http://www.google.com/privacy.html), which may be updated from time to time, as expressed in the most recent version that exists at the time of your use. You agree that Google may access or disclose your personal information, including the content of your communications, if Google is required to do so in order to comply with any valid legal process or governmental request (such as a search warrant, subpoena, statute, or court order), or as otherwise provided in these Terms of Service and the general Google Privacy Policy. Personal information collected by Google may be stored and processed in the United States or any other country in which Google Inc. or its agents maintain facilities. By using the Service, you consent to any such transfer of information outside of your country.

    4. General Practices Regarding Use and Storage. You agree that Google has no responsibility or liability for the deletion of, or the failure to store or to transmit, any Content and other communications maintained by the Service. Google retains the right to create limits on use and storage at our sole discretion at any time with or without notice.

    5. Content of the Service. Google takes no responsibility for third-party content (including, without limitation, any viruses or other disabling features), nor does Google have any obligation to monitor such third-party content. Google reserves the right at all times to remove or refuse to distribute any content on the Service, such as content which violates the terms of this Agreement. Google also reserves the right to access, read, preserve, and disclose any information as it reasonably believes is necessary to (a) satisfy any applicable law, regulation, legal process or governmental request, (b) enforce this Agreement, including investigation of potential violations hereof, (c) detect, prevent, or otherwise address fraud, security or technical issues, (d) respond to user support requests, or (e) protect the rights, property or safety of Google, its users and the public. Google will not be responsible or liable for the exercise or non-exercise of its rights under this Agreement.

    6. Intellectual Property Rights. Google's Intellectual Property Rights. You acknowledge that Google owns all right, title and interest in and to the Service, including all intellectual property rights (the "Google Rights"). Google Rights are protected by U.S. and international intellectual property laws. Accordingly, you agree that you will not copy, reproduce, alter, modify, or create derivative works from the Service. You also agree that you will not use any robot, spider, other automated device, or manual process to monitor or copy any content from the Service. As described immediately below, Google Rights do not include third-party content used as part of the Service, including the content of communications appearing on the Service.

    Your Intellectual Property Rights. Google claims no ownership or control over any Content submitted, posted or displayed by you on or through Google services. You or a third party licensor, as appropriate, retain all patent, trademark and copyright to any Content you submit, post or display on or through Google services and you are responsible for protecting those rights, as appropriate. By submitting, posting or displaying Content on or through Google services which are intended to be available to the members of the public, you grant Google a worldwide, non-exclusive, royalty-free license to reproduce, publish and distribute such Content on Google services for the purpose of displaying and distributing Google services. Google furthermore reserves the right to refuse to accept, post, display or transmit any Content in its sole discretion.

    You represent and warrant that you have all the rights, power and authority necessary to grant the rights granted herein to any Content submitted.

    You may choose to submit, post, and display any materials on or through the Blogger service or Blogspot.com under a public license (e.g. a Creative Commons license), whether by manually marking your materials as such or using Blogger service tools to do so. For avoidance of doubt, Google is not a party to any such public license between you and any third party. Also, for avoidance of doubt, Google may choose to exercise the rights granted under (a) the public license or licenses, if any, you apply to your materials or (b) this Agreement.

    7. No Resale of the Service. Unless expressly authorized in writing by Google, you agree not to reproduce, duplicate, copy, sell, trade, resell or exploit for any commercial purposes (a) any portion of the Service, (b) use of the Service, or (c) access to the Service.

    8. Publicity. Any use of Google's trade names, trademarks, service marks, logos, domain names, and other distinctive brand features ("Brand Features"), including "Blogger," "Blogger.com," "Blogspot," and "Blogspot.com," must be in compliance with this Agreement and in compliance with Google's then current Brand Features use guidelines, and any content contained or referenced therein, which may be found at the following URL: http://www.google.com/permissions/guidelines.html (or such other URL Google may provide from time to time).

    9. Representations and Warranties. You represent and warrant that (a) all of the information provided by you to Google to participate in the Service is correct and current; and (b) you have all necessary right, power and authority to enter into this Agreement and to perform the acts required of you hereunder.

    10. Termination; Suspension. Google may, in its sole discretion, at any time and for any reason, terminate the Service, terminate this Agreement, or suspend or terminate your account. In the event of termination, your account will be disabled and you may not be granted access to your account or any files or other content contained in your account although residual copies of information may remain in our system for some time for back-up purposes. Sections 2, 3, 5 - 8, and 10 - 15 of the Agreement, along with applicable provisions of the general Terms of Service (including the section regarding limitation of liability), shall survive expiration or termination.

    11. Indemnification. You agree to hold harmless and indemnify Google, and its subsidiaries, affiliates, officers, agents, and employees from and against any third-party claim arising from or in any way related to your use of the Service, including any liability or expense arising from all claims, losses, damages (actual and consequential), suits, judgments, litigation costs and attorneys' fees, of every kind and nature. In such a case, Google will provide you with written notice of such claim, suit or action.

    12. Entire Agreement. This Agreement constitutes the entire agreement between you and Google and governs your use of the Service, superseding any prior agreements between you and Google. You also may be subject to additional terms and conditions that may apply when you use or purchase certain other Google services, affiliate services, third-party content or third-party software.

    13. Waiver and Severability of Terms. The failure of Google to exercise or enforce any right or provision of the Terms of Service shall not constitute a waiver of such right or provision. If any provision of the Terms of Service is found by a court of competent jurisdiction to be invalid, the parties nevertheless agree that the court should endeavor to give effect to the parties' intentions as reflected in the provision, and the other provisions of the Terms of Service remain in full force and effect.

    14. Statute of Limitations. You agree that regardless of any statute or law to the contrary, any claim or cause of action arising of or related to use of Google services or the Terms of Service must be filed within one (1) year after such claim or cause of action arose or be forever barred.

    15. Choice of Law; Jurisdiction; Forum. These Terms of Service will be governed by and construed in accordance with the laws of the State of California, without giving effect to its conflict of laws provisions or your actual state or country of residence. Any claims, legal proceeding or litigation arising in connection with the Service will be brought solely in Santa Clara County, California, and you consent to the jurisdiction of such courts.

    16. Copyright Information. It is our policy to respond to notices of alleged infringement that comply with the Digital Millennium Copyright Act. If you believe that your copyright has been infringed on the Service, please refer to http://www.google.com/blogger_dmca.html for information on how to file or respond to a notice of infringement.

    ReplyDelete
  46. msimlaumu utamu kwa kuweka pix jamani sio yeye aliekuwa anaingia kwny facebook na hi5 za watu ni hao hao marafiki zenu wa hi5 na fb ndo walikuwa wanatuma pix ziwekwe hata mie nishawekwaa ila ckumind wala nini nilikuwa naendeleza libeneke as usual...

    ReplyDelete
  47. kwa upande mwingine mimi naona huyu utamu alipata ka publicity kutoka kwa michuzi vile!!! maana wengi hata walokuwa hawamjui walimtambua baada ya habari zake kuandikwa humu....

    ReplyDelete
  48. Jamani kuna sheria gani ambayo ilikuwa inamruhusu the utamu achukue picha ya mtu then ai-publish kwa maneno ya kashfa bila kuwa na ushahidi wa jambo ambalo analisema, mimi niliwahi ku-comment kuwa huu mchezo wa watu kumtumia the utamu picha thn wanaanza kumtukana kwa sababu zao tuu sio mzuri coz wewe unapomuita mwenzio mchafu,je wewe unauhakika kuwa ni msafi???
    niliwahi kuwauliza watu wote wanao-comment kwenye the utamu je what constitute uchafu wa mtu?? mwisho wa siku imefungwa na akipatikana au wakipatikana kuna grounds zote za kuwachukulia hatua za kisheria nyingi tu.

    ReplyDelete
  49. Ni kusherekea tu kuwa hiyo blog imeondoka....lakini legally hawezi kupata matatizo mtu yeyote especially aishie US...I am not sure about UK internet laws.

    Google mpaka watoe hizo email zilizoingia kwa huyu mtu kama ni kweli ni lazima Fed court iwaambie.

    Huko bongo sijui Google itawapa hizo email kwa kigezo gani?

    Na pia prosecutor atakua na kazi kweli kuiwakilisha case yake.Kama ni kigezo cha kuchafuliwa jina ....kuna watu wanaushahidi wa yale yaliokuwa yanasemwa humo kwa hiyo wengine watazidi kujichimbia mashimo tu mambo yao yakiwekwa hadharani.

    Kama ni bulling ni kwa 18 and bellow...huwezi ukawa mtu mzima ukawa bullied tuuu....

    ReplyDelete
  50. Michuzi mbona blog yako ilipokuwa inakohoa kohoa karibia week nzima hatukukimbilia kesema imefungwa? You should know better.

    ReplyDelete
  51. Blog yetu ya Utamu ilipata mafua tu kama blog nyingine, Libeneke linaendelea kama kawa, mtambo wa kurekebisha tabia mpaka kielewelke safari hii!!!

    ReplyDelete
  52. UTAMU IMERUDI. USA KUNA UHURU WA MAWAZO. NYIE MLIOKAA KIBONGOBONGO SHAURI YENU NA MAJUNGU YENU. MOJA YA SABABU BLOG YAKO NI BEST MISUPU NI KWAMBA UNAACHIA MAWAZO YATAMBAE. WENGI WAMEKUIGA WAMESHINDWA SKIN ZAO NYEMBAMBA

    ReplyDelete
  53. Laanatulahhi mafirauni wakubwa, hiyo utamu ndio nini haswa maana hapa naona mshangao tu. Na nyie mnaosema ushwetani vipi najua nyie kama sio mlikuwa mnaenda kushungulia nyushi za watu! Astaghafirrullahi! Batoto ba siku hizi habana kazi nyingine ni mambo ya ngono tu! Napoteza mida yote shauri ya hiyo khabari. Washa ifungwe jela kabisa hiyo utamu habana kutoka mpaka milele! yaani mpaka maisha yake yote yeye utamu nafungwa halafu watu wote nabata ushungu!

    ReplyDelete
  54. Aisee nilikuwa sina raha baada ya utamu kupotea maana nikirudi toka kupiga box kitu cha kwanza ni Ze utamu ilikuwa ndo home page yangu. Utamu amesaidia kurekebisha wadada na wa kaka macho juu maana hapa dc utadhani mwezi mtukufu wa ramadhani bado unaendelea kumbe utamu kawatuliza watu..adumu utamu kama chama tawala.
    Nawakilisha live from DC

    ReplyDelete
  55. KWA UFUPI ZAIDI NAONA WALIOZINISHWA NI WENGI KULIKO WALIOFURAHI NA KIFO CHA UTAMU. WALIOANIKWA NA SISI TUSIOHUSIKA TUNAONA HUZUNI LAKINI WALE WANAOHISI WATAANIKWA ZE UTAMU WAMEFURAHI ZE UTAMU KUFA KABLA YA WAO KUANIKWA.
    NA WALIONIKWA NDIO WANAOONGOZA KUPELEKA HABARI NA PICHA KWA ZE UTAMU.
    HOPE JAMAA WANAKUJA KIVINGINE.
    MIE LANGU JICHO AMI JEI

    ReplyDelete
  56. HABARI NDIYO HIYO, UTAMU IKO VAKESHENI IT WILL BE BACK. KWA WALE MEMBERS WA UTAMU KAENI MKAO WA KULA. LET ME TELL U ABOUT UTAMU, IMENIEPUSHA MIE NA JANGA. ALMANUSURA NIMKATIE MTU KITUMBUA, LAKINI BAADA YA KUPATA DATA ZAKE KUPITIA UTAMU, NA NIKAFANYA INVESTIGATION NIKAJUA NI KWELI, NIKAJIONA KAMA NIMEPONEA KWA TUNDU. IDUMU UTAMU!

    ReplyDelete
  57. ETI WANAFUATILIWA ILI WAFANYWE NINI ACHA UPUUZI WA KITANZANIA WA KUONEANA TU BILA YA SABABU.

    ReplyDelete
  58. THE UTAMU GANI ILIYOFUNGWA YA HUKO KWENU TANZANIA SIYO? MBONA MIMI NIKO HAPA UNITED KINGDOM, NDIYO KWANZA NIMERUDI TOKA JOB NIKASOMA KWA MICHUZI HAPA KUWA THE UTAMU IMEFUNGWA NAKAJARIBU KUIFUNGUWA MBONA IMEFUNGUKA NA INA STORY ZA LEO SAFI TU, NI UONGO HAIJAFUNGWA NA WALA HAITAFUNGWA, KWA NINI IFUNGWE, IKIFUNGWA MIMI BINAFSI NITAWASHITAKI GOOGLE. NA NAJUWA HAWAWEZI KUFUNGA, LABDA HUKO TANZANIA IMECHUKUWA TECHNOLOGIA A KICHINA YA KUFUNGA WEB MSIZOZITA ILI WATU WASIONE, LAKINI HAPA BADO TUNAIONA, NAHISI HA USA BADO IPO INAENDELEA.

    ReplyDelete
  59. SASA THE UTAMU IKO HEWANI TENA , POLENI KWA MLIOFANYA SHEREHE, MTAMBO WA KUREKEBISHA TABIA UMERUDI KWA KISHINDO

    ReplyDelete
  60. Kwa taarifa yako wewe uliye tishia watu, hakuna sheria inayo dhibiti website duniani kote. Kuna sheria za kudhiti website ambazo ni nchi na nchi na zinatofautiana na sio nchi zote zinasheria hizi. Kwa mfano UK inaweza kuwa na sheria ya kufunga website isiwe accessible ndani ya UK ila mtu aliye bongo anaweza kuiaccess kama inahusika na ugaidi au mambo mengine ambayo yanahatarisha usalama wa HER MAJESTY na raia wake.
    Sasa wewe usidhani unadeal na watu wasiojua wanachokifanya jaribu kuwadanganya na kuwatishia hao hao.

    Watanzania tuamke na tuache kusikiliza watu kisa wapo Ulaya au Marekani, tunatakiwa kuangalia ukweli upo wapi. Kwamimi sioni tatizo la web blog ya The Utamu, ipo kwaajili ya kurekebisha tabia za watu,

    Mungu Ibariki THE UTAMU!!!

    ReplyDelete
  61. Mimi nadhani hii ilikuwa pia ni janja ya Utamu kupata publicity maanake by now kila mtu ni lazima anaijua.

    ReplyDelete
  62. Jamani mbona the utani iko hewani? Yaliyotokea ni kikohozi tu, jamani tukaendeleze libeneke. Utamu iko hewani

    ReplyDelete
  63. Nimesoma Blog ya michuzi na kuajaribu kucheki tena kama hii theutamu blog is not working sio kweli inafunguka kabisa .Mimi niko Germany na nimeisearch sasa hivi na imefunguka ,mwanzo imesema kama uko below 18 usifungue na ukipress button ya kuaccept inafunguka kiulaini kabisa.Hivyo bado haijafungwa endeleeni kufuatilia
    Wenu.
    Mdau

    ReplyDelete
  64. Kaaaaz Kwel! Mrengo wa kushoto 102 na mrengo wa kulia 201. Wa kati ?

    ReplyDelete
  65. utamu is back

    ReplyDelete
  66. Babu hapa !!
    Niliwaambia kijana kaamuwa kuwarusha kidogo vijana hoo imefungwa jamani utamu hadi kufutika aidha jamaa aitwe na mungu zaidi ya hapo hakuna kitu maana nae anawaingizia google pesa kwa matangazo kwa hiyo hizo ndoto na hata akifungiwa lazima atatowa kitu kingine mmesikia wajukuu zangu kikubwa nikutulia tu na kujichunga na maovu maana mzee wa utamu atawaanika ni hayo tu kutoka kwa babu yenu wa Morogoro mji kasoro bahari !!!!

    ReplyDelete
  67. Kaka Michuzi hebu naomba unitumbukizie blogu yangu kwenye page yako kama hutajali... Ni blogu niliyoianzisha kwa ajili ya Elimu ya Kompyuta ni hii http://kimox.blogspot.com

    ReplyDelete
  68. Wewe anon. no3 hapo juu ndiye uneyeongea pumba. Yaani hujui kama emails zinaweza kuwa tracked down?
    Which planet are you in?....Don't talk rubish..if you don't understand how the internet works just shut your big mouth up!!!

    ReplyDelete
  69. HATA SASA NIMEFUNGUA HAITAFUNGWA ZE UTAMU NEVER

    ReplyDelete
  70. all mails can be traced. unless you use it on a cafe once and not both cafe and yours personal pc. all in all its good to be nice to one in ciber.

    ReplyDelete
  71. AnonymousMay 07, 2009

    the point am trying to make u guys to understand is that kama mtu unasema blogs inamaadili mabaya unafungu ya nini na kuisoma si uache. Infact ni kwamba kila mtu alikuwa anaipenda ze utamu ndio maana mlikuwa mkiifungua kama ilikuwa inamaadili mabovu ugeacha ila mimi kwa mtazamo wangu nadhani utamu ilikuwa ni mtambo wa kulekebisha tabia by this point nadhani watu wamelikebishika kwa kiasi fulani. so all the best the utamu u must open new blogs. it was real fun kwa sababu tumewajua wasambazaji wa ngono. Poleni kwa wale wote mliotolewa nadhani mtakuwa mmejilekibisha kwa kiasi fulani.

    ReplyDelete
  72. AnonymousMay 19, 2009

    ni vizuri imefungwa coz watu walikuwa hawana amani .. pia sio maadili mema kubandikana kwenye mitandao kusemana vibaya kama mnamatatizo na mtu kwanini msimface mkamwambia kuliko kutoleana maneno machafu katika barua pepe au mitandao ya net,.. ni vizuri ilivyofungwa.. kumbukeni huwezi kumbadilisha mtu tabia kwa kumuanika kwenye mitandao bali unaweza kumsaidia kwa kumpa maneno yenye busara ambayo yatamgusa na kwa chance kubwa anaweza kujirekebisha kama ataona ulichomwambia its worth..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...