THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

poha pivi?

Aoccdrnig to rscheearch at an Elingsh uinervtisy, it deosn't mttaer in waht oredr the ltteers in a wrod are, the olny iprmoatnt tihng is taht the frist and lsat ltteer is at the rghit pclae. The rset can be a toatl mses and you can sitll raed it wouthit a porbelm. Tihs is bcuseae we do not raed ervey lteter by it slef but the wrod as a wlohe.
gdooybe
umda, rad


Kuna Maoni 13 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  hapo Vipi?
  Nimekupata mdau, kinachomata ni concept. Hapa blogging watu wengi wanakosoa sana lugha za watu eti spelling errors!! cha muhimu ni mtoa mada unamaanisha nini, na unawakilisha mada gani au vipi, libeneke kawa kawa
  mdau
  Dar

 2. Anonymous Anasema:

  Ooops, this will fuck up the spell checker.

  By Big Sam

 3. Anonymous Anasema:

  anonymous wa kwanza spelling error sio tatizo, tatizo linakuja pale grammar inpokwenda kushoto!

 4. Mkulungu Anasema:

  Hapo vipi?

  "According to research at an English university, it doesn't matter in what order the letters in a word are, the only important thing is that the first and last letter is at the right place. the rest can be a total mess and you can still read it without a problem. This is because we do not read every letter by itself but the word as a whole"

  Yes you are right it didn't cost me energy to think the letters but the word and that is what i have understood the paragraph.

 5. Anonymous Anasema:

  Mchangiaji wa kwanza kukosolewa ndio kujifunza atii.
  Ukitu,ia concept ya kusoma herufi utapotea maana maneno mengine yana maana zaidi ya moja.

  Mdau USA

 6. Anonymous Anasema:

  HII HAINA TATIZO KAMA IKO KWENYE TENSES SAHIHI NA GRAMMAR SAHIHI, KINACHOGOMBA NI KUTOKUWA KATIKA TENSES SAHIHI NA GRAMMAR SAHIHI, AND MASSIVE OF COMMON MISTAKES IN ENGLISH, KAMA VILE KUTAFUSIRI LUGHA MOJA KWENDA KWENYE ENGLISH DIRECT WORD BY WORD, KAMA KISWAHILI NI ILE TUNAITA SWANGILISH,IT IS VERY UTTERLY HARD TO UNDERSTAND ONE WHAT IS TRYING TO SAY, SPELLING DOES NOT MATTER MUCH AS WE TEND TO THINK.

 7. Anonymous Anasema:

  Da.. hii ni poa sana

 8. Anonymous Anasema:

  Da.. hii ni poa sana

 9. Anonymous Anasema:

  true...watu wamezidi kupoteza muda kukosoa wengine


  si ajabu hao wakosoaji hawataelewa hii passage

 10. Mfukuampunga Kalambamaji Anasema:

  Very interesting!. I've heard that before, but wow...I actually read the whole passage without any hesitation. I only kinda stuck a bit at the end, "umda" and "rad".

 11. Anonymous Anasema:

  inaonesha kwa kiswahili kidogo umekosea "Hapo vipi" mbele nyuma hiyo zimejichanganya zijimenyachanga kwa kiswahili inaonesha ngumu au kama kuna mtaalamu aweke kwak iswahili tujaribu kiengereza rahisi. kama ukiweza kukijuwa. haya uweni jamaa anajifanya kiengereza zaidi kuliko kiswahili hahaha si kweli kiswahili zaidi hapo kwenye kiengereza nimejuwa kusoma ila kuelewa nimeshindwa tafsiri naomba jaman. Ndosi.

 12. Anonymous Anasema:

  Mfukuampunga kalambamaji kweli hapo umelamba maji.
  tatizo unakaa sana kwenye mipunga yako huko shamba. jamaa neno "umda" and "rad". kaandika kinyume ni kiswahili , akimaanisha
  mdau dar.
  Ukivuna mpunga usinisahau walao debe moja

 13. Anonymous Anasema:

  KWA KIFUPI, UNAPOSOMA KITABU HAUSOMI SILABI HADI SILABI BALI UNASOMA SILABI YA KWANZA NA KUENDELEA, LAKINI SIKU HIZI SI HIVYO, WATANGAZAJI WA REDIO WANAPOSOMA MAGAZETI HUSOMA SILABI MOJA MOJA KAMA MWANFUNZI WA DARASA LA KWANZA.