Aoccdrnig to rscheearch at an Elingsh uinervtisy, it deosn't mttaer in waht oredr the ltteers in a wrod are, the olny iprmoatnt tihng is taht the frist and lsat ltteer is at the rghit pclae. The rset can be a toatl mses and you can sitll raed it wouthit a porbelm. Tihs is bcuseae we do not raed ervey lteter by it slef but the wrod as a wlohe.
gdooybe
umda, rad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. hapo Vipi?
    Nimekupata mdau, kinachomata ni concept. Hapa blogging watu wengi wanakosoa sana lugha za watu eti spelling errors!! cha muhimu ni mtoa mada unamaanisha nini, na unawakilisha mada gani au vipi, libeneke kawa kawa
    mdau
    Dar

    ReplyDelete
  2. Ooops, this will fuck up the spell checker.

    By Big Sam

    ReplyDelete
  3. anonymous wa kwanza spelling error sio tatizo, tatizo linakuja pale grammar inpokwenda kushoto!

    ReplyDelete
  4. Hapo vipi?

    "According to research at an English university, it doesn't matter in what order the letters in a word are, the only important thing is that the first and last letter is at the right place. the rest can be a total mess and you can still read it without a problem. This is because we do not read every letter by itself but the word as a whole"

    Yes you are right it didn't cost me energy to think the letters but the word and that is what i have understood the paragraph.

    ReplyDelete
  5. Mchangiaji wa kwanza kukosolewa ndio kujifunza atii.
    Ukitu,ia concept ya kusoma herufi utapotea maana maneno mengine yana maana zaidi ya moja.

    Mdau USA

    ReplyDelete
  6. HII HAINA TATIZO KAMA IKO KWENYE TENSES SAHIHI NA GRAMMAR SAHIHI, KINACHOGOMBA NI KUTOKUWA KATIKA TENSES SAHIHI NA GRAMMAR SAHIHI, AND MASSIVE OF COMMON MISTAKES IN ENGLISH, KAMA VILE KUTAFUSIRI LUGHA MOJA KWENDA KWENYE ENGLISH DIRECT WORD BY WORD, KAMA KISWAHILI NI ILE TUNAITA SWANGILISH,IT IS VERY UTTERLY HARD TO UNDERSTAND ONE WHAT IS TRYING TO SAY, SPELLING DOES NOT MATTER MUCH AS WE TEND TO THINK.

    ReplyDelete
  7. Da.. hii ni poa sana

    ReplyDelete
  8. Da.. hii ni poa sana

    ReplyDelete
  9. true...watu wamezidi kupoteza muda kukosoa wengine


    si ajabu hao wakosoaji hawataelewa hii passage

    ReplyDelete
  10. Very interesting!. I've heard that before, but wow...I actually read the whole passage without any hesitation. I only kinda stuck a bit at the end, "umda" and "rad".

    ReplyDelete
  11. inaonesha kwa kiswahili kidogo umekosea "Hapo vipi" mbele nyuma hiyo zimejichanganya zijimenyachanga kwa kiswahili inaonesha ngumu au kama kuna mtaalamu aweke kwak iswahili tujaribu kiengereza rahisi. kama ukiweza kukijuwa. haya uweni jamaa anajifanya kiengereza zaidi kuliko kiswahili hahaha si kweli kiswahili zaidi hapo kwenye kiengereza nimejuwa kusoma ila kuelewa nimeshindwa tafsiri naomba jaman. Ndosi.

    ReplyDelete
  12. Mfukuampunga kalambamaji kweli hapo umelamba maji.
    tatizo unakaa sana kwenye mipunga yako huko shamba. jamaa neno "umda" and "rad". kaandika kinyume ni kiswahili , akimaanisha
    mdau dar.
    Ukivuna mpunga usinisahau walao debe moja

    ReplyDelete
  13. KWA KIFUPI, UNAPOSOMA KITABU HAUSOMI SILABI HADI SILABI BALI UNASOMA SILABI YA KWANZA NA KUENDELEA, LAKINI SIKU HIZI SI HIVYO, WATANGAZAJI WA REDIO WANAPOSOMA MAGAZETI HUSOMA SILABI MOJA MOJA KAMA MWANFUNZI WA DARASA LA KWANZA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...