African Lyon FC, formerly Mbagala Market raring to go...

If it wasn't for the love of football of a common Tanzanian, African Lyon Football Club would never have been born.

When vendors of Mbagala Market saw that their region was not represented at the top flight, and there was abundant talent in the area, which was being siphoned by other regional super powers, the vendors decided it was time they saw their kids grow up and challenge the best of the country.

With little or no support, under Jamal Kisongo Mbagala Market was formed from what was a part time social team into a competitive team, which quickly grew in the minds of residents of Mbagala, which is the most populated suburb of the commercial capital of Tanzania, Dar.

Mbagala Market kept growing in popularity, and socially became a household name, of which Mbagla residents were proud of, beating the best teams in it’s division, giving a sigh of relief that infact it was possible for unknown stars to make an impact.

Commitment and forward thinking was the way forward, for the team loved by the common man of Mbagala, which extended it’s wings over the south of Dar Es Salaam, uniting Temeke and southerners from Kigamboni into becoming the team from three suburbs, Temeke, Mbagala and Temeke (TMK).

Having failed to qualify for the top flight on two occasions by a single point, the teams stature outgrew it’s owners and members who decided it was time they got a serious investor, who can only take the team forward.
Having accepted that it was becoming difficult under the circumstances to run the club on donations from the vendors, the team was taken over by a formidable partnership of Vipul Kakad and Shabaan Nyaa who were employees of METL Group of Companies.

The partners have vast experience in club matters, as the METL Group had appointed them to look over sponsorship affairs when METL group was sponsoring top flight Simba sports club in the countries most successful sponsorship package.

Having the support of METL Group CEO Hon. Mohammed Dewji (MP), and company’s sponsorship Mbagala Market transformation was dawning.

Mbagala Market changed it’s name to a more professional name and AFRICAN LYON was born on 10th November, 2008, under the stewardship of Vipul Kakad and Shabaan Nyaa, who received support from the vendors to the old leadership of Jamal Kisongo in competing in the First Division and finishing the first group stage unbeaten.

The priority is now to represent the Mbagala residents in the top flight for the first time since independence, and then to challenge the regional and continental accolades.

African Lyon promises to be a modern administered club, a first for Tanzania, with goals of remaining a fierce competitor of the pitch, upholding social responsibilities, sportsman’s spirit.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Lovely website. Just hope the team has management skills to match with it.
    At the moment the society have just about had enough of omba omba teams prompted by poor and old fashioned management skills.
    How long more do we have to wait before we see a team issuing IPOs and trade in Dar Stock Exchange or even sell our stars to the top leagues of the world?.
    The world we are in today is not for wapiganaji,wanamapinduzi ,wakereketwa,wanamageuzi,wazawa etc.
    Instead we need people with capabilities and not jazba to take us to the promised land.
    For goodness sake where are these people ?
    Again, lovely website and I hope that replicates the teams' vision and management skills.
    Kaima in UK

    ReplyDelete
  2. Mh. Balozi
    Webusaiti ya African Lyon imekaa vizuri(inavutia,habari za kutosheleza), uongozi na wanachama wana visheni ya kuona mbali.

    Sasa ni changamoto kwa TFF,Yanga na Simba kuwa na webusaiti zenye hadhi inayofanana na TFF au Yanga/ Simba.

    Mdau
    Jijini London

    ReplyDelete
  3. mwanzo mzuri. tatzo linalokumba vialbu vingi ni kupigania madaraka na kujinufaisha binfasi kifedha. Huu ndio ugonjwa wa kalbu zote za bongo. Ugonjwa mwingine ni ushirikina.

    Huu umetufikisha kuamini eti mtu hashindi mpaka afe mtu mwingine, upatikane moyo wa albino au mapafu ya kichanga. Eti watu hawafanikiwi biashara zao hadi ipatikane ngozi ya binadamu ilio nzima nk.

    Tabia kama hizi zimetufanya watu wengi wenye iman swadiq kaucha kujumuika na taasisi kama hizi na kushirikaina na watu wanopiga ramli na wale wanaomini nguvu za giza za Sumbawanga, Sangoma wa Bariadi, Nganga wa Mbozi, wale wenye matunguri makubwa Handeni.


    Tuawaunga mkono ikiwa hamtashiriki katika vitendo vya imani potofu.

    Mwana sayansi

    ReplyDelete
  4. sasa mbona wameacha jina lao zuri la mbagala market na kuchukua jina la kishamba "african lyon"!? timu ika mbagala, lyon ipo ufaransa, hii imekaaje?

    ReplyDelete
  5. Tatizo la wabongo tayari washaona kuna mchongo mbele ndio wakaichangamkia timu kutoka kwa waanzilishi.
    Kwani si ndo hii ilibadili jina juzi tu na kuitwa Temeke( TMK ) United ? jina ambalo kwa kweli lilikuwa na mantiki kwa sababu ya kuwakilisha wilaya nzima ya Temeke ( sasa hili la African lyon linatoka wapi kama si kuendekeza UTUMWA tu - mmechemsha )
    Kwa wanaoikumbuka Original Moro United ( ZARAGOZA ) ambayo ilanzishwa kwa madhumuni ya kufufua soka mkoani Morogoro leo iko wapi na watu wa Morogoro ambao walipigana kufa na kupona kuhakikisha inapanda daraja wamebaki na nini? ndicho kitakachotokea kwa MBAGALA MARKET.
    Ningewashauri MeTL na makampuni mengine ambayo yana nia ya kuendeleza michezo hasa soka waige mfano wa Azam ambao wameamua kuanzisha timu ya kwao na kuilea kutokea chini hadi kufikia ligi kuu na bado wanaendelea kufadhili timu zingine badala ya kupora kwa kisingizio cha kufadhili haki miliki ya watu wengine.
    Wenzetu siku zote wanathamini miji yao kama ni njia mojawapo ya kuitangaza kupitia michezo,tujiulize wangapi kabla ya Hull City tulikuwa tunajua kwamba Uingereza kuna mji unaitwa Hull? sasa fikiria siku hiyo African lyon imepata mafanikio itatangaza nini cha zaidi moja kwa moja kabala ya mtu kwenda kwenye website hata kwa watanzania wenyewe lakini kama ingekuwa ni Mbagala au Temeke United hali ingekuwaje.
    Mimi nadhani yangefanyika mengine lakini si kubadilisha jina kwa kiasi hicho

    ReplyDelete
  6. Good initiative, terrible name! As mdau hapo juu kauliza - Lyon ipi, ile ya Ufaransa? Kama ni ile ya kule sasa kuna uhusiano upi na Mbagala au Temeke?

    Nilichokisikia wanatamka ni kama "lion" mnyama - kulikuwa natimu na ile timu kongwe ya ligi daraja la 3 mkoa wa DSM enzi zile iliitwa Simba wa Nyika "Lions of the Forest" Sasa hao ni Simba wa Afrika au Lyon(jiji na timu ya mpira huko Ufaransa) ya Afrika??

    ReplyDelete
  7. dah!mdau umenikumbusha ZARAGOZA kweli simchezo

    ReplyDelete
  8. hatatwiga ya kinondoni ilirubuniwa na Pan African leo haipo tena

    ReplyDelete
  9. HAWA JAMAA WANAWEZA KULETA MAENDELEO YA KISOKA NCHINI KAMA MATAJIRI NA WAWEKEZAJI WENGINE WATAWEZA KUFANYA MAMBO KAMA HAYO,JINA SIO BIG DEAL,KWANINI MAJINA YA TIMU ZOTE YANISHIA SPORTS CLUB,HAYA SIO MANENO YA ENGLISH AU SPORTS CLUB,AU FOOTBALL TEAM NI MANENO YA KISWAHILI,TUWACHE MALUMBANO YASIYOKUWA NA MSINGI,HAWA JAMAA WANAFAA WAPIGIWE MFANO,AFRICAN NI NENO LA KAWAIDA AFRICA IKIMAANISHA TIMUNI YA AFRICA,LYON,NI SIMBA KWA KIFARANSA,SIO LAZIMA IWE LION KWA ENGLISH AU ARABIC AMBAZO TUNAZIFAGILIA ZAIDI KULIKO LUGHA NYINGINE,LYON NI LION NA HAINA MAANA KAMA INA UHUSIANO NA LYON YA UFARANSA,AFRICAN LYON NI JINA ZURI SANA,KWANI MBAGALA KUNA MAENEO YA SIMBA KIBAO HATA MIAKA YA NYUMA ILIKUWA YANAINGIA VIJIJI VYA KARIBU NA KUUA WATU,KWA HIO AFRICAN LYON,NI SIMBA WA AFRICA WALIO ZILE SEHEMU ZA MBAGALA,AU JINA NI YOUNG AFRICAN TU PEKE YAKE AU SIMBA SPORTS CLUB,TUWACHANE NA HAYA MAJINA TUNAYO YAFANYA TIMU KUBWA LAKINI HAWANA CHOCHOTE CHA MAANA KTK BARA LA AFRICA WALICHOKIFANYA,WACHA HAWA VIJANA WAJE KUFANYA MAKUBWA BAADAE,NA PIA ITAKUWA MFANO KWA WENGINE NAHIVYO VILABU TUNAVYOVIITA VIKUBWA,HAO SIMBA IKUMBUKWE WALIKUWA MIAKA YOTE ANAWAOMBA HAWA WAMILIKI WA HII AFRICAN LYON,KWAHIO BIASHARA YA OMBA OMBA HAWA WAMILIKI WAMEONA IMEPITWA NA WAKATI,NA WAMEFANYA LA MAANA KUNUNUA TIMU YAO,NA NAAMINI WACHEZANI HAPA WANA HALI MZURI YA KUPATA MKATE WAO KULIKO HIVYO VILABU MUNAVYOVIITA VIKUBWA KWA SERA ZAO ZA OMBA OMBA,
    HONGERA SANA AFRICAN LYON F.C,
    GO GO GO AFRICAN LYON,

    ReplyDelete
  10. kila kitu kizuri na inaelekea mtakuwa na mpangilio na mfano kwa yanga na simba kwa upande wa website.ushauri wangu mmoja tu msiwape nguvu ya kufanya maamuzi au kuchagua viongozi wanachama wenu.wanachama waacheni wawe kama washabiki wa kawaida tu na watoe michango yao wanapohitaji lakini sio mambo ya kuwapa nguvu ya kuchagua viongozi.

    ReplyDelete
  11. kwasisi wazawa wa jijini tunaelewa kuwa Simba zamani iliitwa Sunderland, na Manyema iliitwa Liverpool kabla ya mzee Kambarage kusema "achaneni na upumbavu wa kushabikia majina yasiyotuhusu".

    Mbagala market na siyo Lyon.

    ReplyDelete
  12. inategemea kwa nini umetumia jina la kigeni .

    John na mohahmed yote ni majina ya kigeni .

    ....market ni lugha ya kigeni,pinga na hilo .

    ReplyDelete
  13. Kwa wale waoenda muziki nadhani munaukumbuka ule wimbo wa 'salamu kwa mjomba '( Mrisho Mpoto ), kuna ubeti mmoja mle amesema 'USIUKUBULI UTANZANIA NA KUUTUKUZA UMAREKANI ' kama nimekosea mutanisahihisha , inahitaji uelewa mkubwa kidogo kujua anamaanisha nini hapa,ndicho kilichotokea kwa Mbagala Market,swala ni kwa nini hao wawekezaji walazimishe kubadili jina? limekaa kishamba?au haliingii kwenye computer? kama ni simba wa mbagala kwa nini wasiite Mbagala lion kama wanavyotaka wao kwa maana kiswahili labda kwao kina mzunguko mrefu,Afrika ni pana itamchukua muda mrefu kwa asiyeijua jiografia ya Afrika kuelewa kuwa African Lyon ni Simba wa Africa wa Mbagala kama ambavyo serikali inavyopigana sasa hivi kuwaelimisha wageni wengi wa nje ya nchi kuwa MLIMA KILIMANJARO uko Tanzania na sio Kenya kama ambavyo wengi huko nje wanavyoamini,tuko katika vita ya kuutangaza utalii wetu nje tutumie basi fursa tunazopata kama hizi website kuutukuza Utanzania wetu moja kwa moja kama zilivyo blogu za kina Michuzi ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuitangaza nchi kupitia lgha yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...