mama wa mitindo asia idarous akikabidhiwa tuzo ya mbunifu bora wa mavazi bongo na mkurugenzi wa kampuni ya smiling faces, Auntie carolyne, kwenye onesho la Red Carpet katika hoteli ya Regecy Park hotel ya Mikocheni, Dar. Asia alishinda baada ya wadau kutoa maoni yao kupitia kituo cha DTV ambapo alishindanishwa na baadhi ya wabunifu wakubwa nchini
supa modo belina akionesha moja ya mavazi mapya kibao yanayobuniwa na mama wa mitindo asia idarous. hili gauni la jioni ni mojawapo ya mikwaju itayooneshwa kwenye shoo kabambe ya kila mwaka ya Lady in Red inayofanyika hoteli ya Kempinski Februari 6, 2009.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. O.M.G jacki Mwambenja .umepotea wapi?

    ReplyDelete
  2. That red dress looks hot! I like it! Keep it up dada Belina! kazi nzuri sana! And i keep on insisting that others who are in that sector should follow your steps.... i am sick of all the khangas and vitenges clothes that most of them do. Congrats for taking a different route. That is what business competition means! You have to step up the game always! Good job sister!

    ReplyDelete
  3. Huyu dada Belina anaokena bonge la modal girl. Michuzi tupatie detail na address zake tuanze kuhangaikia. Kitu kimetulia jamani.
    Mdau

    ReplyDelete
  4. duuuuuu jamani kweli tanzania kuna wanawaaake uyu dada mbona kama beyonce?we michuzi uyu asia anatutaka nini?

    ReplyDelete
  5. she is hot men iwil be there at kempsik

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...