Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Video ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipozungumza na WanaCCM mwaka 1995 katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi huko Chimwaga, Dodoma, kwenye mchakato wa kumtafuta mgombea wa kiti cha uraisi awamu ya tatu kwa tiketi ya CCM. Wagombea watatu, Benjamin Mkapa, Cleopa Msuya na Jakaya Kikwete walipitishwa na hatimaye Mh. Mkapa akashinda kugombea urais.


Msikilize Mwalimu kwa kubofya link hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Hivi kweli watu wa CCM Wanasikiliza Hotuba hizi za Mwalimu,Huyu Mzee alikuwa na akili na aliweza kuona mbali,Hotuba yake hii ina maana sana..kila alichosema hiyo 1995 bado kipo valid leo miaka 13 imepita...Ukweli wa mambo ni kwamba CCM imeshindwa ku-deliver na sasa waTanzania wanawatafuta wapinzani wawajaribu!!Mwalimu naomba huko uliko ujue kuwa CCM sio chama cha Wakulima na Wafanyakazi bali ni chama cha Wafanyabiashara,Matajiri na Mafisadi...Mwalimu pumzika salama wala usisikilize mambo ya Tanzania utakosa raha!!!

    ReplyDelete
  2. I can't download that speech, I hope it's the same for other readers. It seems the link doesn't exist or closed!

    A wise word to Mr Michuzi,"Do system testing/checking before putting something on public arena which doesn't work".

    This has happened before, not once or twice but many times. I know you got other things in life but you should adhere to 'quality at first time' paradigm!?

    We come to your site, of course, we don't pay a peny for this [thank you very much] but we deserve better. Or you want to underpin "Cheap is always expensive in everything"


    I know there are lots of 'stupid' comments posted here every single day of Almighty God, but I wonder if you could dare to post this one [just like my other comments] even if it's for your own [blog] continous improvement! Learn to accept 'postive' criticism Kaka.

    Mzee
    [Hate me or love me]

    ReplyDelete
  3. Mzee asante sana,lakini mimi blogger uliyotuandikia imegoma kufunguka bahati mbaya

    ReplyDelete
  4. Kabla hamjalaumu check computer zenu, mbona mimi imefunguka na nimesikiliza

    http://nukta77.blogspot.com/2008/12/jknyerere-dodoma-tanzania-1995.html

    ReplyDelete
  5. mimi nimefungua zote,audio na video. hongera michuzi na da subi. jamani mzee yule alikuwa mkali sana wa kuona mbali.kama viongozi wa sasa wakisikia hotuba hii watazimia

    ReplyDelete
  6. Tundikeni hotuba za Mwl. Nyerere ktk www.youtube.com bila kusahau 'tag' yenye neno Tanzania ili watu sehemu mbalimbali Afrika na ulimwenguni wamtambue na kuijua Tanzania.

    Pia wengine wote kina Fresha Jumbe Mkuu wa Japan usisahau kutundika ktk YOUTUBE maana wimbo wako kwa jina 'TUSIBWETEKE' una ujumbe mzito ila usisahau kuweka 'tag' Tanzania.

    Mwisho pia FM Academia wekeni video zenu na 'tag' Tanzania hii ni njia ya kujitangaza na pia kuitangaza nchi nzuri Tanzania.

    Mdau
    Honolulu visiwa vya Hawaii.

    ReplyDelete
  7. ni kweli huwa inakera sana kukuta kitu halafu hakifunguki nukta 77 nimekuvumilia sana aiseee

    ReplyDelete
  8. imefunguka! Hotuba dakika 20-na kama mdau alivyosema hapo juu-manenno ya mzee mchonga bado mali!! Ahsante kwa kutuwekea vitus

    ReplyDelete
  9. Government deploys police in Tarime to curb clan fighting

    2008-12-23 11:45:31
    By Anna Mrosso, Musoma


    The police force in the country has deployed more officers and facilities in Tarime in a bid to curb clan fights which erupted on December 21, this year between the Wairegi and Wanyabasi.

    The Police Officer in charge of Mara region, Stephen Buyuya said they had introduced patrol police to curb the fights.

    ``The security committee in the district will meet today (yesterday) to discuss reconciliation.

    The meeting will bring together leaders from political parties with its head being the regional commissioner, Issa Machibya,`` said Buyuya.

    Buyuya called upon residents of Tarime to respect the rules of the land to restore peace and tranquility in the district.

    ``The fights are a hindrance to law abiding citizens in the area as most of them are preparing for the season`s festivals.

    The police force will ensure that there is peace to enable `wananchi` especially Christians to celebrate in peace,`` said the officer.

    According to Buyuya at least four civilians and one police officer were injured during the fights at Nyamwaga.

    He mentioned those injured as Chacha Nyamkema (29) who was shot on his left shoulder, Koroso Marwa (23) and Samweli Marwa (40) who sustained injuries from arrow shots.

    He named the wounded officer as Corporal Mohamed who he said sustained injuries from a spear on his right shoulder.

    According to Buyuya, the fights resulted from cattle theft which took place at Nyakunguru ward at Kibasuka on December 21, around 3am .

    ``People suspected to be cattle thieves invaded the house of Babu Kisiri and stole 10 cows as well as 2m/-.

    Villagers tracked the footsteps which eventually ended at Genkuru village where Wairege clan resides,`` he said.

    He said the Wanyabasi clan attempted to enter the premises of Wairege to see if their stolen cattle were there, but the latter barred them from doing so leading to a fight.

    ``The police were notified and came to the area to contain the situation. The police in collaboration with the government attempted to reconcile the two clans but efforts proved futile as the Wairegi clan came equipped with spears and arrows saying they were ready for a fight with the Wanyabasi,`` said the police officer.

    Narrating further, he said the number of armed tribesmen were 1,000 who later on attacked the vehicle carrying Wanyabasi, stoning them and at the same time using spears to attack them.

    ``Once again, the police intervened by using tear gases to disperse them,`` said the police officer.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  10. Wadau mnaolalama kuwa blogu ya nukta77 haifunguki, kwa kweli nasikitika sina uwezo wa kuilazimisha ifunguke kulingana na kasi ya intaneti unayotumia. Unachoweza kujaribu ni kusubiri sekunde kadhaa baada ya kubofya linki, kisha u-stop page na ku-reload/refresh inaweza kusaidia. Watu zaidi ya 2000 wamefika na kusikiliza hotuba na kuondoka zao, il hali wengine wameacha maoni. Sinalo la kufanya. Kama ni kuchokonoa template layout kuondoa madoido yoyote kama vile kupunguza ukubwa wa picha na kuondoa kabisa baadhi ya widgets, pengine ndiyo yalikuwa yakiongeza uzito, nimeyapunguza sana.

    Yeyote mwenye kutaka nimtumie sehemu ya audio ya hotuba hii ama zile za awali aniandikie kupitia subi.nukta77 (at) gmail.com
    Tafadhali nitumie anwani yako ya @gmail. Anwani za @yahoo ama @hotmail zinashindwa kupokea ukubwa wa audio za hotuba hizi.

    ReplyDelete
  11. No one is 100% perfect, that's every one has strenghts and weaknesses,but real Mwalimu's strengths overcomed weaknesses,he built a good foundation for our country but Fisadi,are misleading our country,we,youngs we have a great tusk to restore the lost hope, for ur information Tanzania is not a peaceful country anymore, its guided by dictatorship gvt,though its too underground,if you have ur relatives who are in the system(fisadi network) you won't realize and understand what i mean,if your in TZ,recall how many issues/things you supposed to get for free,that's its your right but yet you attempted to lobe throug corruption,refer in hospitals,education,or any ,
    Kama viongozi wote wangekuwa kama Mwalimu real tungekuwa mbali, let bad fortune fall on all leaders leading our country badly
    Mwalim's speeches will never fade!
    by frank

    ReplyDelete
  12. HIVI MNAJUWA KUWA MWALIMU ALIKUWA ANAFUNDISHA BIOLOGY NA AKAENDA KUFANYA MASTERS YA ECONOMICS NA NI MWAFRIKA WA PILI KUFANYA MASTERS IN THE UNITED KINGDOM. THE MAN WAS KICHWA. NINAMAANISHA NI MWAFRIKA WA PILI SI KWA TANZANIA BALI KWA AFRIKA YOTE. SIKILIZA HOTUBA ZAKE NA SOMA VITABU VYAKE NDO UTAJUWA HUYU MTU HAKUWA WA MCHEZO PAMOJA A KAZI NGUMU YA URAIS BADO ALIANDIKA VITABU.

    ReplyDelete
  13. KWA KIFUPI, MARHUM MWL. ALITAMBUA TANZANIA ILISHAINGIWA NA UDINI NA UKABILA. LAKINI KABLA YAKE, WAKATI WA UKOLONI YALIKUWEPO HASA KATIKA ELIMU. AKAJITAHIDI KUONDOA. ALIVYONGATUKA VIKARUDI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...