wadau wengi wameomba taswira hii ya kilima nanihii pale masake, dar, ili kuaga mwaka kwa kumbukumbu za uroda wa sehemu hiyo. nawasilisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. KILIMA NANIHII KIPO MASAKI YA MSASANI DAR. SIO MASAKE.

    KHERI YA MWAKA MPYA WANABLOG WOTE.

    ReplyDelete
  2. Kiongozi si useme tuu ni kilima Nye...

    ReplyDelete
  3. Hapo siyo masaki bali ni oysterbay na kilima hicho ni kilima ny...e ambacho kimeanzia kwenye junction ya msasani rd na haile selassie rd na kinaishia kwenye junction ya chole. Enzi za zamani nilipokuwa naendesha gari nikifika pale naachia mafuta baada ya kuja race ukiachia unasikia mwaaaa kila kitu kinasisimuka. Otherwise ni taswira nzuri hasa baada ya Kandoro kun'goa viduka vya wapemba na grocery za akina jacky pale. Ndiyo maana jacky karudi kinyumenyume mpaka mita 100 kabla kufikia kilima hicho

    ReplyDelete
  4. Si useme tuu kua ni KILIMA NYEGE!!

    ReplyDelete
  5. hahahahaha yaani Mhishimiwa Michuzi umenikumbusha mbali sana tena sana kukitoa hiki kilima chetu nanihii , nimecheka mno na kulikoni ,yaani mwaka wa kutua bongo mungu akipenda lazima nipite hapo kukitabaruku tena kwa moto chini ndio inakuwa poa sana, hahahaha, Kaka Michuzi wewe kweli mwisho.Anyway asante sana hii kweli funga mwaka ,Nami napenda watakia wote wadau na Kaka Michuzi Heri ya Mwaka Mpya 2009. Inshallah Mwenyezi Mungu atusaidie kuwatia haya Mafisadi waache tabia zao chafu mwaka 2009.

    ReplyDelete
  6. Ahaah aa haa, Balozi leo umenikumbusha starehe yangu na watoto na wife pia anapenda, tehe tehee .
    Ebwana ee hicho ndio kilima na nanihinoo...si mchezo babaake. kama haujala uroda pale pole mtu wangu,. Yaani mimi huwa nikifika pale, naanza kuchochoea mafuta kabla mita chache nyuma, halafu nikiona mbele hakuna gari au kafoleni kaki uzushi, nakandamiza mafuta kinona, mzee mzima nikifika pale napaa tu, sasa sikilizia raha yake hiyo, siwezi kuieelezea labda wadau wanisaidie

    ReplyDelete
  7. Sasa we Michuzi hiki "Kilima NYEGE" kina uhusiano gani na NYU YIA jamani!?!

    ReplyDelete
  8. Mimi nakaa Mbagala sielewi, kuna kumbukumbu gani hapo za uroda??? halafu uki-download hiyo picha umeiita "nyege.jpg" (image) .... ndo unanichanganya zaidi... tuweke wazi sisi tuishio tanganyika kuhusu hii kilima.

    ReplyDelete
  9. Kaka michuu na wewe mchokozi kweli! Kilima nini tena hiki? Kweli unauanza mwaka vizuri LoL!
    Happy New Year to you brother misupuu!

    ReplyDelete
  10. Hahaha kilima Nye?? hahaaha! Jackies Au Kona ya CHole road. kuelekea Tanganyika School.

    ReplyDelete
  11. Ebwana si mchezo bro Michuzi umenikumsha hicho kilima nyege, ila umenikata kishenzi kwa kukiita kilima nanihii yani nimecheka mpaka basi. Nahisi nitauanza mwaka vizuri kwenye eve leo usiku. Nakutakia heri ya mwaka mpya Bro ukiendeleza libeneke la blog ya jamii. Mdau wa Philadelphia, PA.

    ReplyDelete
  12. Mimi hapa napakumbuka kama sehemu hatari ya waendesha vyombo vya moto kama motokaa, malori au pikipiki na ajali nyingi hutokea ktk juction ya barabara ya Msasani rodi na Haile Sellasie rodi.

    ReplyDelete
  13. michuzi kumbuka hata watoto wako hasa yule wa kike wa uganda anasoma hizi topic za maneno machafu (matusi)........ eti nyege

    ReplyDelete
  14. Hahahahah Michu umenimaliza leo, ubarikiwe na kazi zako daima, umenikumbusha enzi zile naenda wa washkaji slipway, tukifiKA hapo yoyote anayeendesha gari lazima akandamize wese, hapo wote unasikia Happooooooooo! mzee tunashuka ziiiii, raha si mchezo.... ambaye hapajui jamani hasa wewe ndugu wa mbagala, nenda slipway ukifika barabara ya chole endesha kama 50km/hr hivi ikiwa hakuna foleni wala hatari mbele uone raha yake na wewe.... Wallahi Michu leo umeniacha hoi sana. NB: Mamlaka husika ikifika siku ya kuboresha barabara jamani hapo paacheni kama kawaida manaake raha yake we acha tu... hahahahah

    ReplyDelete
  15. Patrick Ndio umepatia na aliyesema unashukia Tanganyika school. si masaki si Msasani ni Oysterbay au naweza kusema kusema katikati na msasani. sawa na watu wanavyokosea kusema Cine Club Ni Mikocheni au Kwa Nyerere ni Mikocheni Ubavu wote Unaotizamana na TMJ ni Msasani mnatakiwa muelewe Ramani vizuri, TMJ ubavu ule ndio mikocheni kwahiyo huwezi kusema Mikocheni kuna bahari Hakuna. watu wengi maduka yaliokuwa Msasani kwa nyerere wanasema mikocheni hata kwenye adress zao.

    ReplyDelete
  16. Pamembendeza baada ya makontena na viosk kubomolewa.

    Kumbe City wakitaka kusimamia taratibu za jiji wanaweza.

    Sasa wafanye hivyo hivyo sehemu zingine kwetu uswahilini.

    ReplyDelete
  17. KWA CHINI KIDOGO KWA JACKIE...WATU EEHH!

    ReplyDelete
  18. Kilima hiki kilikua kilima nye...until when I grew up nikaonja vitamu zaidi....& since then it has never been the same kilima nye...again...lolz
    Loreen,USA

    ReplyDelete
  19. Hapo ni Oyster Bay siyo Masaki, Masaki ni kule mwisho kabisa. Inabidi urudi darasani ukajifunze tena Geography ya Dar.

    Happy New Year

    ReplyDelete
  20. Watu kwa kujifanya mnaijua mitaa ya uzunguni ili muonekane babu kubwa mngekuwa mnajua jogurafia vizuri nazani wengine mngeweza kuwa hata mapilot.Wewe mdau unaejifanya unajua hadi kilometa ngapi take that!!!

    ReplyDelete
  21. michuzi we kiboko. waliozoea kutapika kwenye boti za kwenda zbar watuambie.......

    ReplyDelete
  22. Sijui pamependeza nini?lami imechanganyika na mchanga bwana,kwanini barabara zetu hawaziwekei kingo za pembeni hawa wakaratasi wetu wa kinigeria hawa wasanii(WAKANDARASI)

    ReplyDelete
  23. yan ata kabla sijafungua emails za wadau nilipoona tu hii pic nkajua ni palepaleeeeeee kwa enzi zetu walhahi tuvokua twanogewaaaa weee
    hahahhahahaaaaaaaaa sina mbavu yan leo ndo nafungua blogu kusoma hii kifungua mwaka 2009
    ila du sikujua chaitwa kilima nyege,,,ila nyege ni tusi kwani???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...