Mheshimiwa balozi wa nanihiiiii…..
Leo tunafunga mwaka wa 2008 na mchezo wa chess katika mkahawa wa vitabu wa SOMA. Wadau wote ambao wapo Dar es salaam wanaweza kuja kucheza au kusomeshwa jinsi ya kucheza gamu la chess.
Wooote mnakaribishwa
Manager wa Mkahawa
Godfrey George Kioko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kenge Dar kubwa!!!! huo mkahawa upo wapi???? manzese au tegeta.... acha ukenge manager eleza kiunaga ubaga..sehemu mkahawa wako unapopatikana....

    ReplyDelete
  2. Ebwanaeeeeh,

    Nimefurahi sana kuona kuna wadau wacheza chess bongo. Mimi nataka kujua huu mkahawa wa vitabu ulipo na ni siku gani maalumu kwa ajili ya kucheza Chess!

    Asante sana,
    King Gambit

    ReplyDelete
  3. huu mgahawa uko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...