Michuzi na wadau,
Hebu chekini jinsi Saeed Ghanbari anavochapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa ka kulewa na kuzini (haja owa bado).
Mdau IRAN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 43 mpaka sasa

  1. ndivyo inavyo takiwa na hapa bongo!!
    anyway kupunguza ukimwi iyo ndio dawa sahihi.

    ReplyDelete
  2. Hebu tuwekee na mjeledi ya Ukimwi hapo tulinganishe!

    ReplyDelete
  3. Hii ndio inaitwa SHARIA ukiwa pampula halafu kiwembe kazi unayo. namna hii Lazima uoe mapema na yeye kapata wapi hiyo pombe

    ReplyDelete
  4. Haisaidii hii! Hapo wanamuumiza mwili tu lakini roho iliyotenda hayo haijaguswa! Tibu Roho kwanza ndipo mwili utaweza kupona!!

    Kaka Gee.

    ReplyDelete
  5. What's wrong with what the guy did? He drank and had pre-marital sex, so what? Who is to tell us when we are/not married? This is simply appalling! Are they telling us that (let's keep it simple for now) when you aren't "married" but in a monogamous relationship and have sex with your significant other is now wrong? Labda ni mimi tu, am i missing something here?

    ReplyDelete
  6. Dah hao jamaa wanaomchapa mijeledi wanaonekana ni watakatifu sana!

    ReplyDelete
  7. hako ka meza ni kioo au ni bati tu!!!? Hi sheria ikija bongo mimi nitaanzisha BIZINESI ya kuuza hivyo vi-meza tu nitengeneze vijisenti!

    ReplyDelete
  8. sawa hio sheria ya kuchapwa kwa kuzini na kulewa, nnavyojua mimi huyo anaetakiwa kutoa adabu anatakiwa asiwe na dhambi ndio amuhukumui mwenzie sio atoe adabu hiyo kwa wenzie yeye mwenyewe amejaa dhambi hapo ndio msamaha utatoka, otherwise hio sheria watu wanaitumia vibaya .

    ReplyDelete
  9. Hebu walete hiyo adhabu Bongo. Watachapwa wengi sana. UKIMWI haujakomesha uvinzi! Gesti za mjini bado zinajaa mchana!

    ReplyDelete
  10. Msaada kwenye tuta kwa wanaoijua hii sharia vizuri. Kwa kosa la kuzini, anayetakiwa kuchapwa ni dume tu au wote wawili wanatakiwa kulambwa mijeledi?

    Nahisi guesthouse 'bubu' huko zitakuwa zina dili sana, na ukifanikiwa kuingiza ile mipira ya kiume unaweza ukatajirika sana

    ReplyDelete
  11. Kaka michuzi hapo naona sheria aijaenda inavyotakiwa, kama kweli sheria inafuatwa kwa nini hao wachapaji wamevaa balaklava kuficha sura zao, hii inaonyesha jinsi gani huongo unapewa kipau mbele kuliko haki. Labda na hao wachapaji ndio mchezo wao huo huo pengine nao ni makafiri kama huyo jamaa.

    ReplyDelete
  12. Mahakama ya Kadhi, Sharia vinakuja bongo, yetu macho!!

    ReplyDelete
  13. Duh...mambo hatari!ahh huo unafiki tuu au sio,manaake nasikia unaweza ukafanya zinaa ya kisheria inayojulikana kama MUTAA,yaani 'temporary marriage'inayotambuliwa na kijisheria chao...sasa kuna utofauti gani baina ya hayo na yale ya pichani???

    ReplyDelete
  14. Tunaomba mnaoandika muwe mnafikiria kwanza!! Huyu anony wa 8pm unayesema anyehukumu asiwe na dhambi, uliambiwa na nani kuna mtu anayejijua kama ana dhambi ama hana?
    Na wewe wa 7:42pm usijikute mzungu saanaa ukaona kwamba pre-marital sex ni kawaida..!! Wewe ni muumini wa dini na dhehebu gani linaloruhusu pre-marital sex? Kwenda kuishi ulaya kusiwafanye mkajiona wadhuuunguuu!!Kumbukeni mliyofundishwa na maustadhi/wachungaji zenu ndio muandike huo upuuzi wenu!!

    ReplyDelete
  15. This is dictorship, it helps nothing, by your information there are people HIV/AIDS positive in IRAN, there are people who use drugs, who sell drugs, drugs trafficer, as well as prostitute who are selling their bodies, and don't forget gays as well. HUU NI UNAFIKI. There is no a perfet human being on the global.

    ReplyDelete
  16. Wanaume wa kibongo hapa US wangepigwa wengi. Maana malimbukeni wengine wanalewa kama maji wanabaki kujirusha, kuanguka na kutapiga. Hapo sijazungumzia kuokota wazungu club na kuwapeleka makwao. Be careful kutakuwa na rape charges!!! Vijana jihadharini.

    ReplyDelete
  17. Utazania wao ni MUNGU. Ni nani asiye na dhambi? Hapo ni kwavile wengine hawajakamatwa tu.

    Anayeuza pombe ina maana anamuuzia huyo mtu moja tu? Au hiyo pombe aliinywia wapi?Au aliipika mwenyewe nyumbani kwake?

    Ni nani aliyeanzisha hichi kitu kinaitwa ndoa? Halafu iweje wanaume waoe wake zaidi ya mmoja lakini mwanamke sio ruksa. Huoni hapo kuna self interest conflict?

    Honesty, It doesn't worth it

    ReplyDelete
  18. naam ;naona tanzania sas tumeanza kuwa wachambuzi wazuri wa habari.
    nilifunguwa kwa haraka kuona maoni ya watu na nimefurahishwa na uchambuzi hadi hivi sasa.

    nimefurahishwa na kila hoja iliyotolewa .
    kuhusu namna ya kudhibiti ukimwi,
    pia kuhusu kumhukumu mwenzako wakati wewe mwenyewe madhambi yako hujayasafisha na hili ni muhimu sana
    pia namna ya kupambana na uzinzi , la kwanza ni kutibu nafsi au kuadhibu
    ahsanteni

    ReplyDelete
  19. Hii ni sawa kabisa, sio watu wanaishi kwenye society wakidhania ni sifa kuzini au kulala la wake/waume za watu na it's all good and ok. Zinaa inamadhara chungu mzima katika jamii and whether one accepts it or not, zinaa is detrimental to society.

    ReplyDelete
  20. Iran ina idadi ya watu wanaokadiriwa kufkia milion 70,walioathirika na ukimwi ni watu elfu kumi,sawa na asilimia 0.01% ya idadi hiyo y watu wote nchini iran..
    katika hawa waathirika 10,000, asilimia 12% ya hawa waathirika,yaani 1200 Tu ndio wameambukizwa kutokana na kuzini...
    SHARIA INAFANYA KAZI,ZIPU MUDA WOTE ZIMEFUNGWA!!!!

    ReplyDelete
  21. tanzania ikijiunga OIC itakuwa bomba sana.

    ReplyDelete
  22. unafiki mtupu, ndio maana mashoga wengi katika nchi za kiarabu!!!!

    ReplyDelete
  23. Nakubaliana na anony wa 8:02,na inavyo onekana hao jamaa wawili walio cover sura zao ndio waliolambiwa kipenzi chao...

    ReplyDelete
  24. ole wao waliokaribisha waarabu kwenye nchi zao,hakuna walicholeta zaidi ya unyama na unafiki wao.ulishaona wanajenga hospitali ya maana au shule ya maana?they do need help.

    ReplyDelete
  25. duh,wanyama tu hao.

    ReplyDelete
  26. Nina hakika sheria za sasa zinatoshereza kumuhukumu mtu anayeshikwa kwa uzinzi. Sharia ya kumchapa mtu viboko haifai hasa kwa mazingira ya Tanzania ambapo 'mob-psychology' na chuki vimeshika kasi mbaya mitaani kwetu. Watachapwa hata wasozini na watahachwa wazinzi waliokubuhu sababu ya ushawishi wao katika jamii. Zihachwe sheria zetu zifanyekazi, kama zina mapungufu tutoe maoni Bunge lizirekebishe

    ReplyDelete
  27. This is absolutely crazy!! Mimi nisingeweza hata kuangalia. Mimi sizimii unafiki kabisa hao wachapaji usijekuta machoko!!

    Mdau Boston, US.

    ReplyDelete
  28. HIZI NI NCHI ZILIZOLAANIWA ZINAZOENDELEA NA ADHABU ZA AINA HII. NA NDO MAANA ILIFAA SADAM ANYONGWE KWA KITANZI MBELE YA CAMELA ZA TV ILI DUNIA NZIMA IONE NA KUAMINI KUWA "muosha huoshwa". Mahakama ya Kadhi na ifie mbali hatuitaki Tanzania.

    Nassor
    MWANAKWEREKWE(ZNZ)

    ReplyDelete
  29. katiak jina la Yesu!!!
    jamani hahahaaaaaa sio siri zinga la unafiki na uongo wa hali isiyoelezeka kwa lugha za kibinadamu...
    ao wengine ni watakatifu???au
    apo mwanamke kauawa kwa kupigwa mawe

    ReplyDelete
  30. hakuna anaejuwa zaidi ya mungu hii ni amri katika quran mungu ndio mjuzi wa kila kitu , wewe binadamu unasema mungu hajui wewe unajua kuliko mungu, una akili kweliko mungu kwa hakika ndio maana tunakwisha kwa ukimwi hata ukitumia kinga gani mungu akisha kataa uzinifu hakuna ataweza kupinga

    ReplyDelete
  31. Nyie mnaosema mahakama ya kadhi ifie mbali mshindwe na mlegee kabisa. Makafir wakubwa, wanzinzi na walevi wakubwa nyie.

    Yaani michuzi hii ndo dawa pekee ya UKIMWI, vinginevyo wabongo tutamalizika. Naomba usiku na mchana, Sharia itue bongo. Yaani hapo hamna ufuska wala ufisadi. Baaabake!! nadhani hata mafisadi wa EPA wangepewa adhabu hii tena sokoni mchana kweupeeee, pe. Ka mtu angeiba mali ya serikali. Baabake. Mdau ulotuma hii big up sana.

    MBxc.

    ReplyDelete
  32. Wadau msichanganye mambo, nani kasema Iran ni nchi ya Kiarabu? na wapi kumeandikwa mahakama ya Kadhi itahukumu watu uzinzi na ulevi?! acheni kuropoka mambo msoyajua. Iran ni nchi ya Kiislamu tu tena si ya Kiarabu. Iran inapiga marufuku pombe, hata hivyo watu wanaweza kutengeneza pombe hata majumbani.(kwa nayeuliza aliipata wapi). Kenya kuna mahakama ya kadhi lakini hakuna anayepigwa bakora kwa kuzinzi na kulewa. Sera za upotoshaji na uchochezi acheni.
    Na we mdau wa mwanakwerekwe, unapinga mahakama ya kadhi au mlevi na mzinzi nini wewe? endelea tu kwani mahakama ya kadhi yaitoshughulishwa na wewe, we idhuru tu nafsi yako na usubiri adhabu ya Mola.

    ReplyDelete
  33. Mimi sijui sheria lakini nahisi huyu jamaa angekuwa katoka kumkabidhi UKIMWI mkeo, mamako, au bintio , ungetamani hata afe.

    We unayezungumza mambo ya roho, huyu jamaa kwao inawezekana hii ni jinai na huadhibiwa na mahakama.

    By the way, tukitaka kuondoa makosa duniani kiroho inabidi tuache polisi na mahakama, ambapo nahisi badala ya kupungunguza itaongeza jinai. Tumeona watu waliofaulu kiroho (viongozi wa dini) wakinajisi visichana na vivulana.

    Makosa yoote hata ya ufisadi ni matatizo ya kiroho, lakini historia na elimu inaonyesha inforcement hupunguza dhambi (zinazodhuru jamii) na jinai.

    SERIKALI, JESHI, BUNGE, MAHAKAMA, MAGEREZA OYEEE.

    ReplyDelete
  34. kama ni 80 atakuwa hakuzini.

    ReplyDelete
  35. HIYO NDIYO SHARIA KWAWALE MNAOTAKA TANZANIA IWE NA KAZI WAKIISLAMU NDOHIVYO JE MTAWEZA AUMNATAKA KAZI WAKUTALIKISHATU??

    ReplyDelete
  36. Hiyo imetulia sana;mi naikaribisha kwa mikono miwili bongo kwani itapunguza kwa kiasi kikubwa madhambi yanayoleta laana ktk jamii.Kwa tathmini ya haraka niliyoifanya kupitia baadhi ya maoni hapo juu inaonesha tayari watu wameshaingiwa na hofu juu ya sheria hiyo,hii ikimaanisha kwa yeyote yule tayari sheria imeshamtachi kabla hajafanya kosa,that means it works out!!.Hata kama nimkosaji kiasi gani lakini siwezi kuukwepa ukweli wa kimantiki,nafsi huwa inanisuta kwa makosa ya dhuluma kama vile kuiba mke/mpenzi wa mtu,kula mali ya uma n.k....vipi mwenzangu nafsi yako?

    ReplyDelete
  37. Mimi naomba sheria hii itumike kwa mafisadi pia. Kwanza wanyan'ganywe mali zao zote, halafu wafungwe miaka mingi na siku ya kutolewa gerezani wachapwe mijeledi ya nguvu.Huyu anayechapwa kwa kula nyama si yake amekosea lakini na mafisadi wanaosababisha maafa na maangamizi ya jamii kwa kuiba na kutukosesha mahitaji muhimu si watu wa kuonewa huruma.

    ReplyDelete
  38. Mi nadhani Mungu ana-control madhambi kwa adhabu. Ndiyo maana kaumba moto au jahanam na kututahadharisha.

    Kiujumla kuna watu hawafanyi dhambi kwa kuogopa moto, hii si mbaya. Kuna watu wanafanya mema kwa kutaka malipo kutoka kwa Mungu, hii ni bora kidogo. Wengine huacha maovu na kufanya mema kwa sababu wanampenda Mungu, hii ni ngumu kwa kama asilimia 95 ya watu. Japo kuna dini kadhaa zinjidai ni kundi la tatu, ukichunguza utakuta wako kundi la kwanza.

    Ama kuacha dhambi kwa kuogopa adhabu ndiyo falsafa inayotumiwa na mahakama zetu duniani (secular na dini) kuhakikisha watu wasiikosee jamii.

    Kuwa na vyombo (polisi na mahakama) na kutangaza adhabu kunazui kosa (dhambi au jinai). Mkosaji asipozuilika na kukosea, basi adhabu ationja na itakuwa funzo kwake na kwa wengine wapuuzao sheria.

    Kwa serikali yetu ya bongo si kila dhambi ni jinai. Na hivyo nchi zoote. Ila za kiislamu, kuzini ni dhambi ambayo ni jinai pia tofauti na hapa kwetu.

    Kiujumla watu kama 80% wanafata dini lakini amri za dini pekee zimeshindwa kusafisha tabia za watu kwa sababu tofauti, afrika ikiwa ni ujinga na umaskini. Lakini matumizi ya vyombo vya sheria (polisi na mahakama) kumeweza kupunguza hata dhambi na jinai nzito.

    ReplyDelete
  39. WE UMEDAKWA NA KOSA NA USHAHIDI UPO KWA NINI UNAWEKA MASHARTI KWAMABA USIADHIBIWE MPAKA HAKIMU NA POLISI WAWE WASAFI? IKIFIKA AROBAINI YA MAKOSA YAO NAWO WATAADHIBIWA TUU. WE CHUKUA ZAKO NA SIKU NYINGINE UWE MAKINI (KUKOSEA AU KUNYOOKA).

    DHANA KWAMBA WASAFI NDO WANAWAADHIBU WAOVU NI POTOFU NA IKIFUATWA BASI DUNIA NZIMA ITAKUWA VURUGU MAANA HATUTAKUWA NA POLISI WALA MAHAKAMA. KILA UKISHIKWA NA KOSA UNASEMA WE MBONA UMEKOSEA JANA?

    Ki msingi kama huwezi kuthibitsha kuwa hakimu na polisi ni waovu basi wao ni wasafi, tangulia segerea.

    Kama umesoma penal codes zinasema "EVERY ONE IS ASSUMED INOCENT UNLESS PROVEN OTHERWISE"

    ReplyDelete
  40. Kama kuna mtu anafata dini halafu hataki mkosefu aadhibiwe basi mtu huyo pia ni mkosefu na ana dhambi kwani anapinga hata dhana ya Mungu kuumba moto.

    Kama kuna mtu anatetea wakosefu akijuwa wamekosea, basi naye ni shirika la wakosaji.

    TUMEKWEPA MIJELEDI MUNGU KALETA UKIMWI TUKWEPE NA HIYO (KWA KONDOMU?).

    ReplyDelete
  41. Nauliza hivi je aliokuwa wanazini nae je yuko wapi? au alikuwa anajizini mwenyewe?

    ReplyDelete
  42. Naam haswa hii ndio dawa ya kinasokomo na kina pimbi ni bora ianzishwe na huku bongo ili na hawa mafisadi wote wale kitanzi. Ninaamini ikianzishwa basi hata ukimwi utakwisha Inshallah.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...