Mfanyakazi wa Zain Tanzania, Ramadhan Hassan akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kumpata mshindi wa sh. milioni 1 wa promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2 ya Zain Tanzania, Aloyce Yambi wa Karatu. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Zain Tanzania, Celine Njuju, Meneja Masoko (Kitengo cha Wateja) wa Zain Tanzania, Kelvin Twissa na kulia ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdallah Kahatu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Leo naona mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania kasahau kubeba peni na ka notebook :-)....bangaiza yao hao jamaa huwa inanichekesha sana

    ReplyDelete
  2. ZAIN JARIBUNI KUMSAIDIA YULE DADA WA MWANANYAMALA ALIEZAA WATOTO WATATU KWA MPIGO WAWILI WANAUME NA MMOJA MWANAMKE NA HANA MTU WA KUMSAIDIA WALA MUME MTAPATA FUNGU LENU.

    ReplyDelete
  3. kelvin you look old men take care of yourself hit the gym .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...