wadau wakisherehekea kwa pamoja baada ya kula nondozzz chuo cha uhasibu, kurasini, dar. chini ni keki maalumu iliyoandaliwa kwa sherehe hiyo ilofanyika ukumbi wa kizota, sabasaba.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka michu hizi nondoz zinaanza kushuka thamani sasa zimeshakuwa nyingi hapa mjini tehetehetehe.

    ReplyDelete
  2. lakini mheshimiwa hizi sio nondoziiii ni diploma tuu....je tumekubaliana je diploma tuziiite nondozi???naomba kujua hawa watu majina yao na kabila zao... Mdau Japan nauliza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...